Waraka kwa mitandao ya simu (Vodacom, yas, airtel, halotel, etc)

Waraka kwa mitandao ya simu (Vodacom, yas, airtel, halotel, etc)

TTCL hatuwezi kuwasahau tena inabidi tuwabebe tatizo tusiangalie mambo as what it is but what is should be wakati tunaona kina HALOTEL wanafaa wakati wametokea Vietnam mali ya Huko na huku wamekuja wamebebwa na kuweza kusambaa kwanini na sisi TTCL tusiende mpaka huko..., Kumbuka badala ya kulalamikia Kampuni binafsi na kuzipangia mambo ya kufanya kwanini hayo mawazo mazuri tusiyaweke kwenye Kampuni yetu (Na kama hakuna Tija basi fukuza weka watu wenye Tija) Iwapo kama Taifa na wasomi wote tunashindwa kuendesha tu Kampuni ya Simu ambayo kila kitu kipo wazi, tuna infrastructure yote na tunaweza kufanya copy and paste kweli ndio tutaweza kupanga bajeti ya nchi na kuunganisha all the units kuwa kitu kimoja ?

Ni kwamba hakuna teknolojia ya kuwapa watu target na kufuatilia kwanini hawafanyi ipasavyo ? Dunia hii ya Block Chain tunashindwa kujua nani anatakiwa afanye nini na kwa wakati gani na kwanini hafanya na kiasi gani kinaingia na kwanini hakiingizwi kwenye development ?

Bila TTCL ambayo ni ya UMMA na moja ya Mission yake ni huduma kwa wananchi kuwaachia watu ambao dhima yao ni profit at all costs ni rahisi sana kufanya cartels na mwisho wa siku wote kutoa service ya gharama ila kama TTCL yupo anaweza akawa alternative (yeye anajali Huduma sababu ni mali ya UMMA)

Kwahio hapo tatizo ni nini ? Kwamba tunashindwa kujua meneja wa sehemu husika ni nani na wafanyakazi wa sehemu husika ni kina nani ? Tatizo la kutokuwa na uwajibikaji sio kuuza wala kuachia mali ya UMMA bali ni kuhakikisha kuna uwajibikaji mbona rahisi sana kina mtu akipewa targets na kuangaliwa na kupimwa kwa performance na kuweza kufukuzwa kama hakajidhi hizo performances ?

Ushindani upo na uendelee lakini mali kama hii ni muhimu kuhakikisha hakuna faulo.., kwanini TTCL isifike mpaka Huko Bara la Amerika kama Halotel imeweza kufika huku ? Ukiongelea Tozo na Kodi unataka hizo Tozo zifanye nini kama mpaka dakika hii hakuna lolote linalofanyika na kwanza Kodi zinazidi huduma zinapungua (Hata Bundle kupanda ni sababu ya hizo Tozo)

Naam na wasingepata faida wangeshaacha kufanya kazi na wapo hapa kutengeneza faida wala sio kutoa huduma au kutangaza Injili..., kwahio waache faida na wapate kutokana na uwekezaji wao na jinsi wao wanavyoona wanaweza kufanya makamuzi..., the only alternative ni wewe kutumia Kampuni yako ya UMMA kushindana nao na kuhakikisha unaboresha pale unapoona wewe pana kasoro

Na mimi nakwambia kuna mambo mengi huwa wanafanya na yapo kwenye their Research and Development ingawa Serikali inawapiga sana pini kila wakichomoza kwa red tapes kibao as well as matozo..., Kila mwaka wanatenga fungu kubwa sana kwenda kwenye Promotion na R & D, ingawa sasa hivi kampuni nyingi kuna services zimeshuka kutokana na kwamba wanafanya outsourcing (kuongeza madalali) na mwisho wa siku madalali hao they dont care about company brand au mission...
Mkuu una shauku ya kuona kampuni hii ya umma ikifanya vyema ila inakuangusha, inaangusha na wengine pia. Ina matatizo kadhaa:
1. Kupewa ruzuku. Ruzuku inawafanya wabweteke. Pengine angekuwepo JPM hali ingekuwa tofauti maana badala ya kukamua wangekuwa wanakamuliwa
1. Utaifishaji wa mapato. Serikali inataifisha mapato ya malmala, wakala, taasisi, halmashauri, n.k. Unatoa hela ttcl unakwenda kuvoresha bandari ( mfano). Badala ya kuwaacha nao wawe na vitengo vya R&D
3. Bodi ya ttcl ni butu. Ndiyo inayotoa mpango mkakati wa mwaka mzima na miaka inayofuata. Mkurugenzi na watendani wengine wanapewa tageti tu. Sasa tageti kwa sekta ya mawasiliano haiitaji hata digrii ya heshima kujua kuwa mwaka huu tunahitaji kuwa na wateja kadhaa na nini kifanyike kuwapata (hasa ukichukulia ttcl ni ya umma).
4. Rushwa
5. N.k

Turudi kwenye hoja ya msingi. Wazo kama hili la NIBANDIKE unalichukuliaje? Wadau wanasema tayari limeshakuwepo. Kweli lingekuwepo tusingeshuhudia promotion za kufa mtu?
 
Mkuu una shauku ya kuona kampuni hii ya umma ikifanya vyema ila inakuangusha, inaangusha na wengine pia. Ina matatizo kadhaa:
Suluhisho la Matatizo ni kuondoa matatizo na sio kuachana na kitu ambacho kinaleta hayo matatizo ukizingatia sio kosa la hicho kitu kuwa na hayo matatizo..., Katika ulimwengu wa leo ambao ni wa Teknolojia na Automation huwezi kuwaachia private sectors commanding heights of the economy (na kwa sasa mawasiliano ni moja ya hicho kitu) all you can do is compete with them na wewe kuwa kama pace setter / muangalizi wa kuwapa wananchi choice.., na hilo pia lipo katika Nishati (Tanesco); Usafiri (Mwendo Kasi, Train, Meli et al) na vilevile Affordable Housing (NHC) bila kusahau Afya na Banking....; Lazima UMMA uwe na nyumbani / Alternative ya kukimbilia hususan huku wakiharibu badala ya kuwashikia bunduki unawaambia watu warudi nyumbani
1. Kupewa ruzuku. Ruzuku inawafanya wabweteke. Pengine angekuwepo JPM hali ingekuwa tofauti maana badala ya kukamua wangekuwa wanakamuliwa
Cha kuangalia ni kwanini wabweteke ? Na kwanini wanapewa Ruzuku iwapo wenzao katika same game hawapewi hizo Ruzuku ? Ingekuwa ni Tanesco ningeelewa kama wanapewa Ruzuku ili kuweka miundombinu sehemu ngumu au kushusha bei..,. vilevile hawa labda kama wanapewa Ruzuku kupelekea mawasiliano sehemu ambazo sio lucrative hivyo watu binafsi hawazitaki sehemu hizo..., Jambo ambalo unashindwa kuelewa hata everything ikiwa privatised au mkiingia PPP's bado Kodi zako zitatumika kuwapa watu binafsi ruzuku ili kufidia faida yao (Ndio maana mimi sio mpenzi wa Ubia kwa Sana bali ni kila mtu aingie ulingoni na Kushindana na katika mambo ambayo hayana alternative au yana tija kwa Jamii Serikali ifanye)
1. Utaifishaji wa mapato. Serikali inataifisha mapato ya malmala, wakala, taasisi, halmashauri, n.k. Unatoa hela ttcl unakwenda kuvoresha bandari ( mfano). Badala ya kuwaacha nao wawe na vitengo vya R&D
Kama zote ni mali za UMMA na mwisho wa siku ni kwa manufaa ya UMMA kuna shida gani kama Mawasiliano ikipata pesa nyingi ikaongeza kwenye Umeme ili na wenyewe usambae zaidi ili kesho na Mawasiliano yakitaka pesa itoke pengine ?

After all kushindwa kwa TTCL kutafanya vipi Tigo na Voda nao wafeli
3. Bodi ya ttcl ni butu. Ndiyo inayotoa mpango mkakati wa mwaka mzima na miaka inayofuata. Mkurugenzi na watendani wengine wanapewa tageti tu. Sasa tageti kwa sekta ya mawasiliano haiitaji hata digrii ya heshima kujua kuwa mwaka huu tunahitaji kuwa na wateja kadhaa na nini kifanyike kuwapata (hasa ukichukulia ttcl ni ya umma).
4. Rushwa
5. N.k
Na tunashindwa kubadilisha huo upuuzi how ?
Turudi kwenye hoja ya msingi. Wazo kama hili la NIBANDIKE unalichukuliaje? Wadau wanasema tayari limeshakuwepo. Kweli lingekuwepo tusingeshuhudia promotion za kufa mtu?
Ni kama walivyosema issue kama hii ipo na ilikuwepo na nadhani baadae walikuwa forced na TCRA na wengine baada ya wadau kulalamika issue za kwamba kwanini bundle zinaisha (muda unapoisha wakati hazijatumika) Na kwa kutumia Siasa TCRA wakalikoroga kwa kuja na Bei elekezi (kuingilia biashara za watu)

Na kama nimekuelewa unachosema yaani mimi kama nimenunua 60 GB (hence mitandao ishapata pesa yangu tayari) alafu mimi kutokana na kwamba ndani ya muda wangu sijatumia niweze kuwapa kina Ali, Asha na Mwajuma (ambao kama mimi nisingewapa basi ingebidi waache kununua Sukari ili wanunue hio Bundle) How is this good for me and my shareholders ? (Kumbuka the only language we understand is Profit)
 
Suluhisho la Matatizo ni kuondoa matatizo na sio kuachana na kitu ambacho kinaleta hayo matatizo ukizingatia sio kosa la hicho kitu kuwa na hayo matatizo..., Katika ulimwengu wa leo ambao ni wa Teknolojia na Automation huwezi kuwaachia private sectors commanding heights of the economy (na kwa sasa mawasiliano ni moja ya hicho kitu) all you can do is compete with them na wewe kuwa kama pace setter / muangalizi wa kuwapa wananchi choice.., na hilo pia lipo katika Nishati (Tanesco); Usafiri (Mwendo Kasi, Train, Meli et al) na vilevile Affordable Housing (NHC) bila kusahau Afya na Banking....; Lazima UMMA uwe na nyumbani / Alternative ya kukimbilia hususan huku wakiharibu badala ya kuwashikia bunduki unawaambia watu warudi nyumbani

Cha kuangalia ni kwanini wabweteke ? Na kwanini wanapewa Ruzuku iwapo wenzao katika same game hawapewi hizo Ruzuku ? Ingekuwa ni Tanesco ningeelewa kama wanapewa Ruzuku ili kuweka miundombinu sehemu ngumu au kushusha bei..,. vilevile hawa labda kama wanapewa Ruzuku kupelekea mawasiliano sehemu ambazo sio lucrative hivyo watu binafsi hawazitaki sehemu hizo..., Jambo ambalo unashindwa kuelewa hata everything ikiwa privatised au mkiingia PPP's bado Kodi zako zitatumika kuwapa watu binafsi ruzuku ili kufidia faida yao (Ndio maana mimi sio mpenzi wa Ubia kwa Sana bali ni kila mtu aingie ulingoni na Kushindana na katika mambo ambayo hayana alternative au yana tija kwa Jamii Serikali ifanye)

Kama zote ni mali za UMMA na mwisho wa siku ni kwa manufaa ya UMMA kuna shida gani kama Mawasiliano ikipata pesa nyingi ikaongeza kwenye Umeme ili na wenyewe usambae zaidi ili kesho na Mawasiliano yakitaka pesa itoke pengine ?

After all kushindwa kwa TTCL kutafanya vipi Tigo na Voda nao wafeli

Na tunashindwa kubadilisha huo upuuzi how ?

Ni kama walivyosema issue kama hii ipo na ilikuwepo na nadhani baadae walikuwa forced na TCRA na wengine baada ya wadau kulalamika issue za kwamba kwanini bundle zinaisha (muda unapoisha wakati hazijatumika) Na kwa kutumia Siasa TCRA wakalikoroga kwa kuja na Bei elekezi (kuingilia biashara za watu)

Na kama nimekuelewa unachosema yaani mimi kama nimenunua 60 GB (hence mitandao ishapata pesa yangu tayari) alafu mimi kutokana na kwamba ndani ya muda wangu sijatumia niweze kuwapa kina Ali, Asha na Mwajuma (ambao kama mimi nisingewapa basi ingebidi waache kununua Sukari ili wanunue hio Bundle) How is this good for me and my shareholders ? (Kumbuka the only language we understand is Profit)
Kuhusu NIBANDIKE umenichanganya kidogo. Kwamba tayari ipo. Pili tcra wataforce mazingira kama hayo. Tatu inawezekanaje kampuni zijinyime mapato kwa huduma kama hiyo. Swali ni je, ipo? Kadhalika sizungumzii pale ambapo mtu kabakiwa na data kibao na muda umemuishia na hana pa kupeleka zaidi ya kurudisha mpira kwa kipa. Hapana. Nakuwa na MB zangu 2k na mke wangu ana shida na jambo lake chap aidha whatsapp au tiktok, au X, au JF na kaishiwa muda huo. Pia nimesema wataweka vigezo na masharti na viwe wazi.

Kuhusu serikali kutaifisha mapato ya sekta zake kuna shida. Kuna mdau huku alileta ishu ya Tanapa jinsi ambavyo inashindwa kujiendesha kisa mapato yote kwenda serikali kuu kwanza kisha wanapewa mgao wa hela walizozalisha. Same applies to ttcl, et al.

Pia bado sijaridhika sana na majibu kuhusiana na changamoto nilizoainisha hapo juu kuhusiana na ttcl ikiwepo na mashirika mengine. Mfano, nani wa kuiwajibisha bodi ikiwa haijadeliver?
 
Kuhusu NIBANDIKE umenichanganya kidogo. Kwamba tayari ipo.
Naomba nielezee wazo lako katika sentensi moja au mbili preferably not more than three..., Na nina uhakika takwambia service kama hio Ipo tayari na nyingine kama hio ya mtu kuweza kuhamisha data zake, bundle kama siku zikiisha baada ya watu kulalamika TCRA na Serikali ilitaka ku enforce kitu kama hicho (not sure kama walifanikiwa ingawa it was politically motivated without making any business sense)
Pili tcra wataforce mazingira kama hayo.
Hapa sijakuelewa if I had my way hawa TCRA ningewapoteza kabisa hakuna wanachofanya zaidi ya kuleta red tapes na kusababisha mambo yazidi kuwa magumu.., waache soko huria liamua na kama vipi tuna TTCL yetu hayo so called mawazo mazuri sisi kama UMMA tupeleke huko na kuwaachia watu na biashara zao (for Profit) watengeneze as much money as they can...
Tatu inawezekanaje kampuni zijinyime mapato kwa huduma kama hiyo.
Nimekwambia kuanzia mwanzo bandwith ni kama barabara kwahio so long as magari (watumiaji) hawajafikia capacity unaweza kuwaongeza (ndio maana hata zamani mitandao ilikuwa inatoa offer usiku au offpeak times ili kuvutia watu) sasa kama tayari kuna wadau ambao huwa wananunua (Magari yapo barabarani) kuwaambia hao wenye magari watoe lift kwa watu ni kukosa zile fedha kama hao wanaopewa lift wangepanda gari zao wenyewe (kununua bundle)
Swali ni je, ipo?
Nipe Wazo lako kwa ufupi takupa alternative which works like that one already, tena huenda kwa ubora zaidi kwa mtoa huduma (i.e profitable)
Kadhalika sizungumzii pale ambapo mtu kabakiwa na data kibao na muda umemuishia na hana pa kupeleka zaidi ya kurudisha mpira kwa kipa. Hapana. Nakuwa na MB zangu 2k na mke wangu ana shida na jambo lake chap aidha whatsapp au tiktok, au X, au JF na kaishiwa muda huo. Pia nimesema wataweka vigezo na masharti na viwe wazi.
Naam wewe utampa mke wako (ambaye kama hakuna alternative ingebidi anunue au akuombe buku au jero anunue kumbuke wewe pesa zako tushatia ndani hizo ni zetu tayari na mpaka wewe ununue MB 2k Means matumizi yako ni around 2K (hivi hujawahi kushangaa kuna watu wanapewa offer za MB nyingi na nzuri kuliko hata wewe ? Jibu ni kwamba the offers are customized na kama wewe tayari ni teja na utanunua hakuna haja ya kukupa offer kukuvutia)

By the way hata mke wako akitaka bundle kwanini asikutumie nipige tafu (kuna makato na profit kwao) AU hata wewe umtumie (Mnunulie Bundle / Vocha) au kutuma (Mpesa)
Kuhusu serikali kutaifisha mapato ya sekta zake kuna shida. Kuna mdau huku alileta ishu ya Tanapa jinsi ambavyo inashindwa kujiendesha kisa mapato yote kwenda serikali kuu kwanza kisha wanapewa mgao wa hela walizozalisha. Same applies to ttcl, et al.
Kuna tofauti katika ufujaji ambao unaendelea lakini nimetoa mfano.., kama TTCL kuna excess wakati Tanesco inahitaji kuongeza Generator wakati zote ni mali za UMMA hakuna ubaya kufanya lolote ili kudumisha huduma kwa mwananchi.., ila sio sasa pesa zinachukuliwa ili watu wakale bata au mama anunue magoli au Chama tawala kipeleke kwenye kampeni.... Dawa sio kuacha maboresho bali kuacha ufujaji...
Pia bado sijaridhika sana na majibu kuhusiana na changamoto nilizoainisha hapo juu kuhusiana na ttcl ikiwepo na mashirika mengine. Mfano, nani wa kuiwajibisha bodi ikiwa haijadeliver?
First of all Bodi ni ya nini; and how does Vodacom na wengine wote wana make profits ? Wote hao ni watumishi wetu kuna watanzania wengi kila siku wanahangaika hawana ajira ni rahisi sana mfano unaweza kumuajiri Meneja na Management nzima Tanesco na kuwaambia umeme ukikatika kwa 2% (Yaani usipokuwa on for 98% kwa mwaka) nyote hamna kazi plus katika kila mshahara kutakuwa kuna some percent inawekwa pending kulipwa mwisho wa mwaka as bonus usipotekeleza haya kazi hauna na bonus yako / mshahara wote kwishney.., Vilevile TTCL kama Customer Care / Customer Satisfaction itakuwa less than 70% Management yote nje waje wengine..., and at that time kunakuwa na Transparency (every nook and cranny ) inakuwa wazi kwa wenye mali kuona yaani mauzo, matumizi na R&D (After all sisi UMMA hio ni Kampuni yetu)
 
Yawezekana hizo kampuni zina huduma ambayo inafanana na wazo nililoweka ila sio kamili kama hiyo, hivyo waendelee na huduma zao bila kufikia hatua ya idea niliyoweka hapa.

Kadhalika mengi umeingea na inainekana wewe ni mtaifa. Changamoto inakuja unawatetea watu ambao ni viwavi tena viwavi jeshi. Zipo taasisi kupitia wakuu wake wa idara kipindi kama hiki wanawapatia staff bahasha hadi mil 400. Na sio taasisi moja. Fedha za umma hizo. Hao kampuni ya simu ya umma nao hawakwepi hapo. Hivyo kama walishasaudiwa na kupewa kila aina ya miundimbinu ili walete tija na tija haionekani, hakuna sababu ya kuwatetea. Ni kuwaletea menejimenti toka PPP wapate akili.

Nilikwambia cable ya ttcl imekatika maeneo ya tabata tangu juzi na inakanywgwa tu na magari. Jioni hii cable hiyo imemaliziwa la lori ambalo limeikta toka usawa wa nguzo. Sasa kama walikuwa na taarifa na wakapuuzia, na wao wapuuziwe tu maana hawabebeki
 
Back
Top Bottom