Hivi mnadhani kila anayeadhibu ana stress au njaa kali,kuna sehemu usipotumia fimbo hupati hata div 2Tatizo walimu wananjaa Kali sana.wewe mtu unashindia mihogo Kila siku unafikiri utakuwa na mbinu ya kumfundisha mtoto akaelewa zaidi ya kuwa na hasira tu ya kuwachapa fimbo zisizo na msingi
Yaan bado sn ndo kwanza nna miaka 30 tu nikajua hata 40 unaruhusiwa ukitaka kufanya kazi halmashaur n mateso sn55 hiyari, 60 ni lazima, umepambana miaka yote kwanini unataka ustaafu mapema?
Mateso vibaya mno, mbaya zaidi unakaa mkoa ambao upendi kuishiYaan bado sn ndo kwanza nna miaka 30 tu nikajua hata 40 unaruhusiwa ukitaka kufanya kazi halmashaur n mateso sn
Dah kama ulijua niko mkoa wa ovyo tabora yaanMateso vibaya mno, mbaya zaidi unakaa mkoa ambao upendi kuishi
Mpwaaaa mm sio mwalimu, ππππWalimuu mkujee hapaaa, mkisindikizwa na Mpwayungu Village
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sana,wazazi wanachanganya hisia na upendo kwenye malezi ya mtoto.mtoto aliyemshindwa yeye wewe humuwezi,huyo waachie polisi na ulimwengu huku mtaani atakaa sawa tuππInachosha?mfano mimi huwa nawaadhubu wanafunzi kwa ule uchungu wa mzazi kwamba nimsaidie lakini sasa unaambiwa una stress,mr alinikataza mambo ya kuhangaika na watoto wa watu,live your life