carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,562
- 285,591
[emoji23][emoji23][emoji23]eti sura ya baba,kama we mwenyewe umeikubali haina shida.Ahahaha ili nikimbiwe na hii sura ya baba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwenyewe nimeikubali ndio sura yangu sasa shida wananzengo mathread yatakuwa hayaishi humu[emoji23][emoji23][emoji23]eti sura ya baba,kama we mwenyewe umeikubali haina shida.
NdioKhaaaaa hata wewe
[emoji23]yaani wewe.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwenyewe nimeikubali ndio sura yangu sasa shida wananzengo mathread yatakuwa hayaishi humu
Jaman mtaizoea tu na hiiNdio
Bestie habari yako ni ninii lakini kutamanishana hivyo na mahela wengine tukiona wekundu wekundu tu tunazidi kuumwaBestie kumbe ni kweli wewe ni mweupe.....
Hapana dada kile kigauni kilikuwa kinanisaidia kukuonaHivi nimekuwa mweusi dogo
Yaaah...halafu kulikua na lemba la dada mmoja tena sitaki kumtaja jina nae pia ulikua ukipita tu lazima ulione,avatar ni utambulisho mzuri sanaUkipita tu unaona gauni linapepea
Aahahah sijambo dear hofu kwako tu si unawajua wananzengo wa jf[emoji23]yaani wewe.
Hujambo lakini?
Hapana dada kile kigauni kilikuwa kinanisaidia kukuona
Aiseee yaan nyie mtanifanya niirudisheYaaah...halafu kulikua na lemba la dada mmoja tena sitaki kumtaja jina nae pia ulikua ukipita tu lazima ulione,avatar ni utambulisho mzuri sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shenzy zakoTurudishie kigauni chetu bwana wenyewe tulikizoea
Za kawaida hizo bestie....Bestie habari yako ni ninii lakini kutamanishana hivyo na mahela wengine tukiona wekundu wekundu tu tunazidi kuumwa
Nikitaka hadithi nilikuwa nakuona tu nafata kigauni sasa saiv majanga na hii app mpya mm naona giza giza tuAhahha acha mambo zako bana
Ningesema mimi japo nilikuwa na dukuduku ungenishangaa bora kasema mwingine sina budi kumuunga mkono.Jaman mtaizoea tu na hii
Nahusubiri kwa hamu nikuje mie mgongo wangu una nini bestZa kawaida hizo bestie....
Siku moja nitakupa invitation...
Ila mgongo wako huo [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Ahahahhhhh ujue mwanzo mgumu mtaizoea tuNikitaka hadithi nilikuwa nakuona tu nafata kigauni sasa saiv majanga na hii app mpya mm naona giza giza tu
Hapana ngoja kwanza wapambane na hamu zao mamaNirudishe tena ya mwanzo