Waraka kwako shunie

Waraka kwako shunie

Jaman mtaizoea tu na hii
Ningesema mimi japo nilikuwa na dukuduku ungenishangaa bora kasema mwingine sina budi kumuunga mkono.

Hata wakati unaileta ile uliyoitoa, niliwahi kuilalamikia uirudishe ile ya mwanzo kale kabinti kalikuwa kameinamisha uso chini, ulikataa pia.

Unatuchosha bana kila siku tuanze kuzoea kipya.
 
Back
Top Bottom