Waraka kwako shunie

Wewe mwenyewe ulinipa tabu mwanzoni, ulivyoweka hii avatar yako ya sasa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa ile watu walikua wanajua na mie melanin queen wakati ngozi yangu haijulikan nyeusi ama nyeupe nikaamua kuacha kuwavuruga watu. Hapo yenyewe watajua nyuma mashallah kumbe flat screen. Natafuta nyingine itakayoendelea kunifanania
 
Hiyo yenyewe naona unapambana kuwaambia watu si wewe.
Hii ndo jeiefu bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…