Waraka kwako shunie

Waraka kwako shunie

Ningesema mimi japo nilikuwa na dukuduku ungenishangaa bora kasema mwingine sina budi kumuunga mkono.

Hata wakati unaileta ile uliyoitoa, niliwahi kuilalamikia uirudishe ile ya mwanzo kale kabinti kalikuwa kameinamisha uso chini, ulikataa pia.

Unatuchosha bana kila siku tuanze kuzoea kipya.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yaan wewe mwifwa
 
Na kweli mpendwa,usije anzishiwa uzi jukwaa la malalamiko kule[emoji23][emoji23][emoji23]

Me mzima msalimie Sakayo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kama huu nimefanya kutumiwa link nikasema kuna nn tena, sasa wakishaona sura unakutana na mthread shunie mwenyewe mbaya ana sura ya babu yake

Zimefika salamu za sakayo lovie
 
Back
Top Bottom