Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji3][emoji3][emoji3] bichwa lako sirudishiTurudishie kabla hatujaenda kumwambia da Mange Shunie katoa kigauni chetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3] bichwa lako sirudishiTurudishie kabla hatujaenda kumwambia da Mange Shunie katoa kigauni chetu
Sasa ile watu walikua wanajua na mie melanin queen wakati ngozi yangu haijulikan nyeusi ama nyeupe nikaamua kuacha kuwavuruga watu. Hapo yenyewe watajua nyuma mashallah kumbe flat screen. Natafuta nyingine itakayoendelea kunifananiaWewe mwenyewe ulinipa tabu mwanzoni, ulivyoweka hii avatar yako ya sasa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"Da mange shunie katoa avatar ya kigauni chekundu"
Hide my id
cheupe dawa.....muzungu[emoji1] [emoji1] [emoji1]Ahahaha ili nikimbiwe na hii sura ya baba
Lete ubishi tuu.[emoji3][emoji3][emoji3] bichwa lako sirudishi
Ndo ubest wa mabusu ya mgongoniHuyu ni bestie angu mkuu hana tatizo mkuu
Amekimbia kesi, kaja huku kumsubiria Shunie ageuke [emoji12] [emoji12] [emoji12] Ngoja nimwitie Khantwe ndio saizi yakeUmeona eeh...
Nimemuona mtuhumiwa wako hapo juu
Yaan navokupenda sijui nimeandika niniKukirudisha nini tena
Hakuna bana me kibonge mweusi nawajaza tuNdio.... nimeamini avatar huwa zina uhalisia [emoji4] [emoji4]
Aanzishe kachanel kake huko..aanze kupiga pesaaMbona mi hii ya saa hii naiona iko sawa tuu.
Sema Shunie angekuwa yuo tube angekuwa ana views billion 1 maana si kwa kufuatiliwa huku
Hahaha@Shunie the Super Star.
Huwezi kuwaridhisha wote best, fuata moyo wakoSasa ile watu walikua wanajua na mie melanin queen wakati ngozi yangu haijulikan nyeusi ama nyeupe nikaamua kuacha kuwavuruga watu. Hapo yenyewe watajua nyuma mashallah kumbe flat screen. Natafuta nyingine itakayoendelea kunifanania
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sikubali kabisaaaHahaha yule mwana yanga natamani abadilishe aweje hata ya kamusoko
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Hakuna bana me kibonge mweusi nawajaza tu
Aliyempa carba Indian hemp Mungu anamuona"Da mange shunie katoa avatar ya kigauni chekundu"
Hide my id
Asanteee iceman [emoji120][emoji120] halaf wataizoea tu he he nawaza tu ningekuwa you tubeMbona mi hii ya saa hii naiona iko sawa tuu.
Sema Shunie angekuwa yuo tube angekuwa ana views billion 1 maana si kwa kufuatiliwa huku
Hiyo yenyewe naona unapambana kuwaambia watu si wewe.Sasa ile watu walikua wanajua na mie melanin queen wakati ngozi yangu haijulikan nyeusi ama nyeupe nikaamua kuacha kuwavuruga watu. Hapo yenyewe watajua nyuma mashallah kumbe flat screen. Natafuta nyingine itakayoendelea kunifanania
Mkuu bora umemweka didy maana ulikua unatuwekea tail za hatarMm hii naikubali hasa hiyo tail
[emoji23][emoji23][emoji23]jina lake na skonko sawa sawaaMbona alizitoa kituko alichotuwekea anajua mwenyewe kila tukimuona tunamwambia atoe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu ni bestie angu mkuu hana tatizo mkuu