Waraka kwako shunie

Waraka kwako shunie

Hahaha
Shunie ni kama Ali kiba, hata akikohoa tuu
Watu wanafurahi kishenzi.

Ila na wewe hii ulo kuja nayo lazima umeongeza viewers, japo ile ya zaman mi ndio nlikuwa naikubali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nijazeniiii najazika
 
Asanteee iceman [emoji120][emoji120] halaf wataizoea tu he he nawaza tu ningekuwa you tube
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Fanya mpango asee maana humu unatuchukua kijiji chote.

Sema you deserve to be liked hongera
 
Hahaha hamna mkuu mama watot hawez kubali hilo,nina folder tu kweny pc yangu lina password ngumu balaa
Nilijuaaaa kabisaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kucheka lazima ucheke lakini haya mazoea siyapendiii kabisa hata anko binamu Obe anajua

Mwaka huu kazi unayo, yaani unashambuliwa kama mti wa mwembe shule ya kata
giphy.gif
 
Back
Top Bottom