Utakuwa na tatizo la L na RNajaribu kukuelewa
mi nikilewa ndo nakuwa na hilo tatizo!Utakuwa na tatizo la L na R
Dr hermanNajaribu kukuelewa
I'm not a drDr herman
π I know not now , but a future to be au nakosea?I'm not a dr
basi subili UKIREWA iri uwe na HIRO TATIZOmi nikilewa ndo nakuwa na hilo tatizo!
unastahili kulambwa ban wewe!basi subili UKIREWA iri uwe na HIRO TATIZO
Hata baadhi ya walimu nao wana hiyo changamoto!Tatizo la R na L linazidi kuwa kubwa nchini.
Vitabu vya Kiswahili vya shule ya msingi vinali-address lakini naona hali bado mbaya.
Ndo hasi waraka?Nimekaa hapa nabarizi natazama runinga ya Taifa zamani TVT kwa sasa TBC namwona pascal Mayala katika banda la TCRA...Pascal kwanini dada wa mwisho ambae ni mteja katika banda hilo mmeandika jina lake JOSEPHINE PLAYGOD? Ni PLAYGOD ama ni PRAYGOD?? Hili tatizo la "R" na "L" kwasasa linashika kasi. Jamani waandishi wabobevu kama nyinyi mtusaidie liishe...
Kuna boya lingekuja kumuita Kimalo πππPamoja na tatizo la R na L,
Hayo majina ya kikoloni yanawachanganya wabantu sana.
Huyo anayeitwa Praygod angeliitwa Kimaro, wala tusingelikuwa na hayo makosa ya kiherufi.
π πmi nikilewa ndo nakuwa na hilo tatizo!