Waraka mfupi kwa Pascal Mayala

Wtz wengine sijui wamejifunzia kiswahili Congo au Burundi , na siyo ajabu huyo mtu wa Playgod badala ya Praygod ni degreeholder.
 
Pamoja na tatizo la R na L,
Hayo majina ya kikoloni yanawachanganya wabantu sana.

Huyo anayeitwa Praygod angeliitwa Kimaro, wala tusingelikuwa na hayo makosa ya kiherufi.
Kimaro ataitwa Kimalo.
Hili tatizo ni janga la kitaifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…