Waraka mfupi kwa Pascal Mayala

Waraka mfupi kwa Pascal Mayala

Nimekaa hapa nabarizi natazama runinga ya Taifa zamani TVT kwa sasa TBC namwona pascal Mayala katika banda la TCRA...Pascal kwanini dada wa mwisho ambae ni mteja katika banda hilo mmeandika jina lake JOSEPHINE PLAYGOD? Ni PLAYGOD ama ni PRAYGOD?? Hili tatizo la "R" na "L" kwasasa linashika kasi. Jamani waandishi wabobevu kama nyinyi mtusaidie liishe...
Wtz wengine sijui wamejifunzia kiswahili Congo au Burundi , na siyo ajabu huyo mtu wa Playgod badala ya Praygod ni degreeholder.
 
Pamoja na tatizo la R na L,
Hayo majina ya kikoloni yanawachanganya wabantu sana.

Huyo anayeitwa Praygod angeliitwa Kimaro, wala tusingelikuwa na hayo makosa ya kiherufi.
Kimaro ataitwa Kimalo.
Hili tatizo ni janga la kitaifa
 
Back
Top Bottom