We huna akili. Ulitaka aseme kwamba wameshinwa? Jibu hoja hapo juu kuwa je tumenyolewa kama lisu alivyodai? Bora lilipochapwa lisasi tu mana halina maana zaidi ya kuwa kibaraka wa wazunguKama walijua Angeshindwa kwanini walimtandika Risasi?
Walijua yeye ni kitisho cha kuwaumbua.
Nchi hii kuna watu wa ajabu sana... Kwa Mwananchi wa kawaida ambae anajua kushangilia tu yeye atapokea taarifa kama ilivyo na kushangilia.., ni ngumu sana kudanganya watu wote kwa wakati wote.. Wengi wameingia mkenge.. Naona propaganda kwamba "WANAUME wamekubali kutulipa"..,
.., kuweka kumbukumbu sawa,
USD300M sio deni..., ni kulinda uaminifu.. ni kama bonus.., hakuna deni lolote walilokubali kwa mujibu wa maelezo ya pande zote mbili..., bonus haiwezi kuwa deni., "Kama malipo ta kuonesha nia njema ya kufidia fedha zilizotokana na upotevu wa mapato kupitia biashara ya kampuni hiyo"
Kwa hiyo BARRICK watalipa bilioni 600 (USD300M) na sio ile trilioni 450 ambayo tulielezwa na kuaminishwa awali kwamba ndio tunawadai!? Tunashangilia tena.. Sisi watu wa maajabu na hatujawahi kuacha kujishangaza.., Zile kelele za trilioni 400 ambazo tulielezwa tunawadai BARRICK zimeyeyuka ghafla..
Bado BARRICK wanakwenda kuchenjua wenyewe. Wanakwenda kupeleka wenyewe sokoni, kwenye masoko ya kimataifa Belgium, RSA, Britain. Baadae Mauzo baada ya safari yote ndio analeta mezani faida ya Mauzo GOT na BARRICK wagawane 50/50 percent . Hii unaona iko sawa tu!?
Ukimsikiliza Profesa Kabudi na Dr. John Thornton, kuna eneo Kabudi anasema WAMEKUBALI lakini Thornton anazungumzia subject to APPROVAL ya wakubwa zake huko kuliko na head quarter zao ambazo huenda zikahamia Mwanza kwa mujibu wa makubaliano..
..., ukimsikiliza Dr John Thornton anasema "proposal zote lazima zipitishwe na London Board of Directors na Acacia ..." Tunafanya propaganda ambazo hazina faida hata.L kidogo....., changa la macho ....., kutoka madai ya trilioni 426 hadi bilioni 700 bado unashangilia tu.
My prudence would have been to hold this press conference until everything has been approved by their shareholders and the board in London.., to avoid any potential embarrassment in future.
Usishangae BARRICK/ACACIA wakagoma..., au wakaja na counter proposal.. maana hata kama BARRICK ni majority share holder wa ACACIA.., minority wakigoma itabidi kutumia kwenye usuluhishi au kuwalipa minority kama watakubali kununuliwa. its bit tricky.. lets remain sober for now.. Nasubiri press release ya BARRICK/ACACIA..
We are dealing with Barrick gold not acacia!At a news conference in Tanzania, Reuters reported Barrick chairman John Thornton said the deal would need to be approved by independent shareholders and directors of Acacia Mining.
Wamelipa, lakini wamempelekea dada Mange ili ajikimu yeye na watoto wake huko marekani.Hivi si tuliambiwa tunalipwa zaidi ya tirioni 300, Sasa zimeshukaje had I bilioni 700,hali hiyo ni pesa inakusanywa ndani ya mwenzi mmoja? Na huo ni ushindi au kushidwa kwa Tanzania??
Hivi unafikiri IQ za wanaCCM zilivyo watakuelewa??Tundu Lissu hajakosea chochote kama ambavyo ina ya Maghufuli ni njema kwa taifa. Bahati mbaya kabisa Ushauri wake ulichukuliwa na mihemuko ya kisiasa kutoka upande wa pili!!
Alichoshauri T A L ni kuwa tubadili sheria zetu za madini zilizotungwa kwa mihemuko as if walikuwa wanawakomoa wapinzani kumbe ni wananchi!! Na pili alishauri tujitoe MIGA ili hata tunapowashughulikia wawekezaji kusiwe na mwanya wa kuperekwa mahakama za biashara za kimataifa. Kwa tuliridhia wenyewe.
Tafadhali mtafsirie kwa Lugha rahisi'Jingalao' ili aelewe ulichoandika!At a news conference in Tanzania, Reuters reported Barrick chairman John Thornton said the deal would need to be approved by independent shareholders and directors of Acacia Mining.
CCM hawawezi kukuelewa, na shida yao kubwa ni kufikiri kuwa lissu ndio alisaini hiyo mikataba, kumbe ni Chama chao,kila kukicha wanabadili mawaziri tuTundu Lissu hajakosea chochote kama ambavyo ina ya Maghufuli ni njema kwa taifa. Bahati mbaya kabisa Ushauri wake ulichukuliwa na mihemuko ya kisiasa kutoka upande wa pili!!
Alichoshauri T A L ni kuwa tubadili sheria zetu za madini zilizotungwa kwa mihemuko as if walikuwa wanawakomoa wapinzani kumbe ni wananchi!! Na pili alishauri tujitoe MIGA ili hata tunapowashughulikia wawekezaji kusiwe na mwanya wa kuperekwa mahakama za biashara za kimataifa. Kwa tuliridhia wenyewe.
Punguza munkari mkuu, mwenyewe nina hasira nae, naona bora ameishi ili ashuhudie huu ushindi.Ropokaji lile bora lingekufa tu
Ropokaji lile bora lingekufa tu
Lissu hata kama alishauri, moyoni alikua 50 /50,alionyesha dharau kubwa Sana kwa mkuu wa nchi, hilii si jambo jema hata kidogo.Tundu Lissu hajakosea chochote kama ambavyo ina ya Maghufuli ni njema kwa taifa. Bahati mbaya kabisa Ushauri wake ulichukuliwa na mihemuko ya kisiasa kutoka upande wa pili!!
Alichoshauri T A L ni kuwa tubadili sheria zetu za madini zilizotungwa kwa mihemuko as if walikuwa wanawakomoa wapinzani kumbe ni wananchi!! Na pili alishauri tujitoe MIGA ili hata tunapowashughulikia wawekezaji kusiwe na mwanya wa kuperekwa mahakama za biashara za kimataifa. Kwa tuliridhia wenyewe.