mwanaludewa
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 764
- 524
Nahofia kuchangia lkn wacha nichangie kidogo÷
>Ni kweli kwamba kutoka malipo ya mamia kwa matrilioni kwa mujibu tra imekuwa mamia kwa mabilioni?Kwanini kutoka trilioni hadi bilioni?
>Uhai wa shughuli za uchimbaji kuanzia sasa hadi kufunga shughuli hizo itachukua muda gani?Ikiwekwa kwenye mizania ni kipindi kipi kirefu kati ya muda tulioibiwa au tunakoelekea(win won situation)?
>Uzalendo kwa taifa ni upi kupaza sauti ili jambo la kufisadi lisitokee au kuwapinga wale wanaosema mfumo ulikosea kuingia mikataba iliyoitia hasara nchi?
>Ni kweli kwamba hao Acacia wamekubali hayo matakwa yetu kwa ajili ya dhahabu iliyoko ardhini kwetu au wamekubali kwa ajili ya kulinda hisa zao pale soko la hisa London na kutochafua jina la kampuni machoni mwa dunia wakati wakichukua plan b kwa ajili ya biashara zao?