DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
- Thread starter
- #21
Kuna dini inafundisha kugangania madaraka ?Afrika bado hatujatambua vizuri kati ya dini na imani. Sisi tulikuwa na imani zetu zilizoheshimu utu, mila na desturi tukaziacha tukahamia kwenye dini na hapo ndipo matatizo mengi yanayotuhusu yameanzia hapo.
Sina maana kuwa dini ni mbaya ila imani inakuweka karibu zaidi na Mungu wako kuliko dini. Kupitia imani ndipo Mungu humfungulia mtu maarifa yaliyojificha ambayo humsaidia kujitawala na kutawala mazingira yake. Siku wenye dini ni wengi we
nye imani ni wachache.
Kuiba kura ?
Kuwa mwizi wa rasilimali za Taifa n.k
Umasikini wetu , hausababishwi na dini ni ujinga wa MTU mweusi .