DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
- Thread starter
-
- #21
Kuna dini inafundisha kugangania madaraka ?Afrika bado hatujatambua vizuri kati ya dini na imani. Sisi tulikuwa na imani zetu zilizoheshimu utu, mila na desturi tukaziacha tukahamia kwenye dini na hapo ndipo matatizo mengi yanayotuhusu yameanzia hapo.
Sina maana kuwa dini ni mbaya ila imani inakuweka karibu zaidi na Mungu wako kuliko dini. Kupitia imani ndipo Mungu humfungulia mtu maarifa yaliyojificha ambayo humsaidia kujitawala na kutawala mazingira yake. Siku wenye dini ni wengi we
nye imani ni wachache.
PamojaTunausubiria
Hv we ni dk. wa nini vile? Wa upumbavu? Bwege kweli, hao mashoga zako serikali haiwazingatii. Mpk karne hii unategemea Roma? We bd unatawaliwa akili. Hao waliojibadilisha sauti tofauti na walizojaliwa na Mungu wao,? Kuna upumbavu ila ule wa kubadilisha sauti kwa maaskofu na mapadre hauna mfano, mtu anakngea utafikiri taahira. Hilo ni kundi la matapelj hawana ukaribu wowote na Mungu halisiWaraka wa leo utakaosomwa ndo mtaona utofauti wa dini na utapeli .
IdiotCcm + Catholic
Ndoa yao ni ya miaka 100
Now tupo mwaka 59
Dola dola.
Dkt Slaaa na wakatoliki wengine wapo Cdm kimkakati tu
ππππ Tusubiri Waraka kwanza MkuuHv we ni dk. wa nini vile? Wa upumbavu? Bwege kweli, hao mashoga zako serikali haiwazingatii. Mpk karne hii unategemea Roma? We bd unatawaliwa akili. Hao waliojibadilisha sauti tofauti na walizojaliwa na Mungu wao,? Kuna upumbavu ila ule wa kubadilisha sauti kwa maaskofu na mapadre hauna mfano, mtu anakngea utafikiri taahira. Hilo ni kundi la matapelj hawana ukaribu wowote na Mungu halisi
Dahcentury to century
Hoja yako nini, catholic ndiyo nn, inaihusu nn nchi yetu. Ficha huo upumbavu ukifikiri kila mtanzania ni mfuasi wa Roma, mtu unaitwa mfuasi wa Roma bd uko km zuzu, eti dk. Dk ws takakata?Sisiemu ni chama kichanga kina
Miaka 48 tangu kiwepo .
But catholic , it was there century to century
Mmeamua hadi Ku edit comment.!!!
Katoliki ni kundi la wajanja limefanikiwa kupumbaza wengine ili liishi vizuri hp duniani.Makanisa yenyewe hayana moral authority dhidi ya serikali. Kanisa katoliki ambalo ukifa hujatoa zaka ya 10,000 wanakataa kukuzika japo miaka ya nyuma ulishatoa mamilioni.
Kanisa ambalo kwa miaka yote limeweka vizuizi kwa masikini kujiunga na shule zake.
Kanisa ambalo halina msamaha kwa wanafunzi wa seminary zake hata pale wanapofanya kosa dogo tu wanafukuzwa, leo litahubiri msamaha madhabahuni.
Kanisa ambalo mpaka leo linachukua ngoto kwa wanavijiji masikini ili kuwakodisha ardhi huko Morogoro. Kwa nini lisiwape kama kweli linahubiri matendo ya huruma.
Kanisa ambalo kama huna hela, wako tayari ufie getini kuliko kukupa hata panado katika hospital zao
Nadhani watoe boriti katika macho yoo
,πππHoja yako nini, catholic ndiyo nn, inaihusu nn nchi yetu. Ficha huo upumbavu ukifikiri kila mtanzania ni mfuasi wa Roma, mtu unaitwa mfuasi wa Roma bd uko km zuzu, eti dk. Dk ws takakata?
Tumia lugha moja unayoielewaI will beg to differ, vile catholic ipo before uhuru wa nchi hii, na wamekuwa wakionya vipngoz wa ccm i dont think ni simple like that
Catholic is the only chirch vipngz wake wanaonya hata kama hamtaki kusikia
TrueMakanisa yenyewe hayana moral authority dhidi ya serikali. Kanisa katoliki ambalo ukifa hujatoa zaka ya 10,000 wanakataa kukuzika japo miaka ya nyuma ulishatoa mamilioni.
Kanisa ambalo kwa miaka yote limeweka vizuizi kwa masikini kujiunga na shule zake.
Kanisa ambalo halina msamaha kwa wanafunzi wa seminary zake hata pale wanapofanya kosa dogo tu wanafukuzwa, leo litahubiri msamaha madhabahuni.
Kanisa ambalo mpaka leo linachukua ngoto kwa wanavijiji masikini ili kuwakodisha ardhi huko Morogoro. Kwa nini lisiwape kama kweli linahubiri matendo ya huruma.
Kanisa ambalo kama huna hela, wako tayari ufie getini kuliko kukupa hata panado katika hospital zao
Nadhani watoe boriti katika macho yoo
πππ watu wanaporomosha matusi Sana .Sikukuu hii inaumiza wengi. Poleni
Ila waroma dah basi ngoja nikae kimyaWaraka wa leo utakaosomwa ndo mtaona utofauti wa dini na utapeli .
Vipi boss leo nikuwekee mdudu kilo ngapi na ndizi choma?.Makanisa yenyewe hayana moral authority dhidi ya serikali. Kanisa katoliki ambalo ukifa hujatoa zaka ya 10,000 wanakataa kukuzika japo miaka ya nyuma ulishatoa mamilioni.
Kanisa ambalo kwa miaka yote limeweka vizuizi kwa masikini kujiunga na shule zake.
Kanisa ambalo halina msamaha kwa wanafunzi wa seminary zake hata pale wanapofanya kosa dogo tu wanafukuzwa, leo litahubiri msamaha madhabahuni.
Kanisa ambalo mpaka leo linachukua ngoto kwa wanavijiji masikini ili kuwakodisha ardhi huko Morogoro. Kwa nini lisiwape kama kweli linahubiri matendo ya huruma.
Kanisa ambalo kama huna hela, wako tayari ufie getini kuliko kukupa hata panado katika hospital zao
Nadhani watoe boriti katika macho yoo
umeandika upumbavuMakanisa yenyewe hayana moral authority dhidi ya serikali. Kanisa katoliki ambalo ukifa hujatoa zaka ya 10,000 wanakataa kukuzika japo miaka ya nyuma ulishatoa mamilioni.
Kanisa ambalo kwa miaka yote limeweka vizuizi kwa masikini kujiunga na shule zake.
Kanisa ambalo halina msamaha kwa wanafunzi wa seminary zake hata pale wanapofanya kosa dogo tu wanafukuzwa, leo litahubiri msamaha madhabahuni.
Kanisa ambalo mpaka leo linachukua ngoto kwa wanavijiji masikini ili kuwakodisha ardhi huko Morogoro. Kwa nini lisiwape kama kweli linahubiri matendo ya huruma.
Kanisa ambalo kama huna hela, wako tayari ufie getini kuliko kukupa hata panado katika hospital zao
Nadhani watoe boriti katika macho yoo
Na bakwataKatoliki ni kundi la wajanja limefanikiwa kupumbaza wengine ili liishi vizuri hp duniani.
Haya ni malalamiko ya muda mrefu sanaMakanisa yenyewe hayana moral authority dhidi ya serikali. Kanisa katoliki ambalo ukifa hujatoa zaka ya 10,000 wanakataa kukuzika japo miaka ya nyuma ulishatoa mamilioni.