Waraka wa leo utakaosomwa ndo mtaona utofauti wa dini na utapeli .

Wewe ndiye bonge la "mpumbafu" kama hujui lolote kaa kimya.
 
Haya ma waraka kwani hua yanasaidia chochote? Vipi ule waraka wakupinga DP World.
Haya mambo ni kama UN tu, unaweza ona kuna impact kubwa kumbe mwisho wa siku ni matamko tu, DP world tushasahau kwa kweli, hata hili la uchaguzi litapita tu.

Uchaguzi ni mpaka siku wananchi kwa wingi wetu tuongoze movement ya mabadiliko, until then ni mikakati hewa tu ya hapa na pale
 
Elimu na ardhi kwa maskini ni wajibu wa serikali. Mbona unalipa Kanisa majukumu makubwa wakati halitozi kodi?
 
Elimu na ardhi kwa maskini ni wajibu wa serikali. Mbona unalipa Kanisa majukumu makubwa wakati halitozi kodi?
Basi kanisa kama linajua kuna majukumu ya serikali, kiherehere cha nini kuingilia majukumu hayo?
 
Basi kanisa kama linajua kuna majukumu ya serikali, kiherehere cha nini kuingilia majukumu hayo?
Kanisa linafanya biashara kama private institution nyingine zilivyo, na sio kutoa huduma maana halitozi kodi za maendeleo
 
Hizo biashara ni sadaka za nani?
Ni matoleo ya hiari ya waumini wao tu, na si makato ya lazima ya kisheria kutoka kwa wafanyakazi wa umma, wafanyabiashara na waingiza mapato wengine wote nchini
 
We jamaa 😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…