Waraka wa Maaskofu unabagua mambo

Makanisa na shule zile zilijengwa kwa rasilimali zetu walizopora, ilikuwa sawa kwa Nyerere kuzitaifisha. Wanadai wanadai msamaha wa kodi kwenye vifaa vya kanisa lakini wanatoza ada kubwa ya shule na matibabu kwenye shule na hospitali zao.
 
Utaondoka wewe, Mama bado yupo sana
Katiba hii aliyoitunga Nyerere na Pius Msekwa ni Rais mjinga TU ambae anaweza kushindwa uchaguzi. Bahati nzuri Katiba hii ilitungwa na Nyerere mwenyewe (mkatoliki safi)
 
Rais tungemshitaki kama angesitisha ukodishwaji wa bandari kwasababu ya kerere za viumbe wachache wanaotumia dini zao kujenga hoja. Yaani Rais apuuze mamlaka ya Bunge na mahakama na kuheshimu waraka.
 
Katiba inampata haki mtu mmoja mmoja kutoa maoni yake. Kanisa limepewa kibali Cha kufanya ibada TU lakini sio kuwakilisha mtu au kikundi Cha watu kudai haki serikalini. Taasisi zilizosajiliwa kwaajili ya kutetea na kuwasemea watu ni kama vyama vya siasa, wanaharakati (haki, gender)
 
Iko hivi, walaka haukutoka wakati unaotakiwa kutoka na unatoka usipostahili kutoka. Walaka haukutoka wakati wa wizi wa escrow wakati pesa za wizi zilipitia kwenye accounts za bank ya mkombozi, walaka hautoki wakati serikali ya Mama Samia haipigi vsawa sawa vita vya ushoga hadharani kama alivyofanya Museveni Uganda. Walaka hakuna kupinga baadhi ya mapadre kulawiti watoto, walaka hautoki CCM kubaki madarakani milele. Walaka unaangalia maslahi ya kanisa na mabeberu tu
 
kilichobakia sasaivi ni kuwashauri maaskofu hawa watusaidie kuifufua Tanganyika, na wataweza, labda wasiamue.
 
kilichobakia sasaivi ni kuwashauri maaskofu hawa watusaidie kuifufua Tanganyika, na wataweza, labda wasiamue.
Uwepo wa TANGANYIKA utatuletea haya:-
1)Ukabila
2)Ukanda
3)Siasa za kidini
4)Siasa za kikomunisti
5)Makundi ya kikomunisti
6)Ugaidi wa kidini
7)Ugaidi wa kikomunisti

Ogopa sana
 
kilichobakia sasaivi ni kuwashauri maaskofu hawa watusaidie kuifufua Tanganyika, na wataweza, labda wasiamue.
Maaskofu wetu walikuwepo wakati Katiba yetu ya hivi inaandikwa na kupitishwa, nadhani walikuwa comfortable kwakuwa madaraka yooote ya nchi yalikuwa yamekabidhi Rais Mwl. Nyerere mkatoliki mwaenzao ambae aliyatumia mamlaka na nguvu hizo za kikatiba kuwanufaisha wakatoliki. Wakatoliki wakati wa ukoloni na hata baada ya uhuru walijitwalia maeneo makubwa sana sehemu muhimu za kiuchumi za taifa letu bila kubughudhiwa na mtu. Hebu ona pale ilipo St. Joseph (forodhani), hebu ona pale lilipo baraza la maaskofu kurasini (bandarini), msimbazi center, na kule kijichi na kwingineko. maeneo haya ni nyeti sana kiuchumi na kiusalama lakini wanayo wao na hakuna walaka kutoka kwa yeyote yule.

Sasa hivi wanachukia kuona nguvu zilezile za katiba ileile zinatumiwa na Rais asiyekuwa wa kwao. Wakae kitako watulie, Rais Samia lazima atatuachia Katiba mpya matata sana kabla hayaondoka 2030, sasa hivi asishinikizwe, aachwe nae aifaidi katiba hiihii ya kikatoliki kama walivyofaidi watangulizi wake, ni katiba tamu sana kwa mtawala wa nchi, ni kama kula nyama ya mtu, ukiionja katiba hii hutapenda ibadilishwe.

Mkatoliki mwenzao (Mkapa) walimrubuni weeee hadi akawarejeshea shule ya Forodhani, wanadhani hatujui.
 
Tuwe wavumilivu waraka umeshasomwa mara 2 tayari bado mara 4..
 
Tuwe wavumilivu waraka umeshasomwa mara 2 tayari bado mara 4..
Kwakuwa tumeshayajua malengo yao, Hata usomwe mara 200, uwekezaji uko mulemule na vilevile vilivyopangwa. Mwanzo tulidhani kuwa wanatumia haki yao ya kidemokrasia, lakini baada ya shauri lao kushindwa mahakani na bado wakaendelea na msimamo wao uleule vilevile ndio watu wakastuka kwelikweli kwamba kumbe sio demokrasia bali kitu kingine kabisaaaa.
 
 
Makanisa na shule zile zilijengwa kwa rasilimali zetu walizopora, ilikuwa sawa kwa Nyerere kuzitaifisha. Wanadai wanadai msamaha wa kodi kwenye vifaa vya kanisa lakini wanatoza ada kubwa ya shule na matibabu kwenye shule na hospitali zao.
Waarabu walitawala na waliendesha kwa muda mrefu bihashara ya utumwa ktk ukanda huu hasa hapa nchini kwetu. Wao waliwaachia nini? Misikiti? Mbona hamuulizwi. Kama katoliki waliachiwa hizo shule na hospital, je, ni zenu? Na kwa hiyo mtaka mgao kwenye hizo shule na hospital za katoliki? au mnataka huduma zitolewe bure? Wivu tu, ni shule ngapi na hospital ngapi za katoliki zimejengwa baada ya Uhuru ukilinganisha na za kwenu? Fanyeni kazi na kuwekeza kuliko kufunga misuri na kufuga ndevu huku mkieneza chuki na wivu kwa wenzenu. Mkiona hamna uwezo kuhudumia familia ya watoto wa wake wanne, badilisheni hiyo sera mfanye maendeleo. Mnachosha mnavyonung'unika utadhani mmeshikwa mikono!! Kila kitu m ataka dezodezo tu hadi kujengewa misikiti!!
 
tunachosema ni kimoja, makanisa na taasisi nyingi za kidini wakati wa ukoloni zilijengwa kwa fedha zetu full stop!! Nyerere hakuwa mjinga kuzitaifisha baadhi yake na kuzirejesha serikalini bila kukutana na walaka wowote, maana aliwaambia ukweli wakati anazichukua.
 
Matokeo ya chuki ukichanganya na roho mbaya ukaongezea na wivu na ukamix inferiority complexes na uongo.Kweli wewe wa Kumlaumu Nyerere wewe?
Ila nyuzi za hivi ni nzuri kwa afya zenu kwa sababu mnapunguza nyongo nyingi zilizo ndani yenu
 
shule za kanisa ambazo serikali imetaifisha mpaka leo hati za umiliki zipo kanisani.

Na hizo shule zitarudi imeanza na,

1.Forodhani sec.School sasa inatambulika kama St.Joseph imerudi chini ya Kanisa Katoliki la Mitume.

NB.Pugu,Tosamaganga zipo njiani kurudishwa umiliki kanisani.
 
Sawa Nyerere alizichukuwa, hawakujengwa nyingine? Wao wametoa waraka kuikosoa Serikali juu ya vipengere ktk mkaba kwann mnawashambulia? Kwani wamekosoa Uislamu? Kama mna hoja mngekosoa hoja zao ktk waraka, lakini badala yake mnaingiza vitu visivyohusiana na kile kinachoongelewa. Mnatumika kuhamisha mjadala siyo?
 
Baada ya kusoma comment nimejilidhisha kuwa 2025 wapo ambao Hawata mchagua Samia kwasababu ya Dini yake na wapo watakaomchagua sababu ya dini yake! yaani wao kwao DIni ndiyo itakuwa sababu ya msingi kuliko mengine.
 
shule imerudi utawala wa JK.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…