Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,301
- 8,706
Mkapa alipewa, Kikwete Alipewa, JPM Alipewa na sasa anapewa mama.. Kuna tatizo?Mbona kama waraka hizi zinatolewa zaidi kwenye awamu fulanifulani TU?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkapa alipewa, Kikwete Alipewa, JPM Alipewa na sasa anapewa mama.. Kuna tatizo?Mbona kama waraka hizi zinatolewa zaidi kwenye awamu fulanifulani TU?
Makanisa na shule zile zilijengwa kwa rasilimali zetu walizopora, ilikuwa sawa kwa Nyerere kuzitaifisha. Wanadai wanadai msamaha wa kodi kwenye vifaa vya kanisa lakini wanatoza ada kubwa ya shule na matibabu kwenye shule na hospitali zao.Kabla ya kuwashambulia Maaskofu wa kanisa Katoliki hebu waambieni viongoze wenu huko misikitini waache kujikomba kwa viongozi wa serikali.
Tuliwaona kipindi cha JPM sifiasifia ilikuwa hadi kwenye mikutano ya campaign. Kusifia ni sawa lakini kukosoa ni kuchanganya dini na siasa?
Kama shule na hospital za kanisa katoliki zinawauma na nyie jengeni za kwenu siyo kusubiri mjengewe hadi misikiti. Wivu umewajaa, subirini kuletewa tende na nyama za ngamia toka Uarabuni.
Rais tungemshitaki kama angesitisha ukodishwaji wa bandari kwasababu ya kerere za viumbe wachache wanaotumia dini zao kujenga hoja. Yaani Rais apuuze mamlaka ya Bunge na mahakama na kuheshimu waraka.jana Gerson Msigwa kushatangaza Serikali inaendelea na Mkataba wa ukodishaji wa Bandari
kuna watu hawaamini maana walidhan utulivu wa Serikali hii ni ishara ya kuwaogopa
inanikumbusha ile mijadala na nyaraka za mahafidhina ya Kikomunist machawa ya Nyerere yaliyokuwa University of Dar es salaam miaka ya mwisho ya 1980s yaliyopinga kwa nguvu zote kuupiga chini Ujamaa, kile kimya cha Ally Hassan Mwinyi yakatafsiri anawaogopa na watambabaisha, hata Nyerere mwenyewe alikuja kujua kupitia gazeti la Mfanyakazi na uhuru aliishia kupiga makelele na kutukana kupitia kitabu chake maarufu cha Hatima yetu na Siasa za Tanzania
Katiba inampata haki mtu mmoja mmoja kutoa maoni yake. Kanisa limepewa kibali Cha kufanya ibada TU lakini sio kuwakilisha mtu au kikundi Cha watu kudai haki serikalini. Taasisi zilizosajiliwa kwaajili ya kutetea na kuwasemea watu ni kama vyama vya siasa, wanaharakati (haki, gender)Umeandika "....wala kupinga nchi kutaifisha mali za serikali kama vile nyumba, mashirika ya uma, migodi yetu...."
Nchi inataifishaje mali za serikali?
Japo niko nje ya TEC, naona Wana HAKI kutoa waraka kwa waumini wao wakati wowote. Maudhui ya huo waraka ndiyo kitu muhimu, siyo historia ya awamu za uraisi na nyaraka za TEC.
Suala la kuwapa DP W ukiritimba (monopoly) wa bandari zote za Tz baharini na maziwani na udhibiti wa"logistics" zote nyeti kwa uchumi sio la kuchukulia kiwepesi wepesi kwa sababu tu ya kuwepo bunge la chama kimoja.
Iko hivi, walaka haukutoka wakati unaotakiwa kutoka na unatoka usipostahili kutoka. Walaka haukutoka wakati wa wizi wa escrow wakati pesa za wizi zilipitia kwenye accounts za bank ya mkombozi, walaka hautoki wakati serikali ya Mama Samia haipigi vsawa sawa vita vya ushoga hadharani kama alivyofanya Museveni Uganda. Walaka hakuna kupinga baadhi ya mapadre kulawiti watoto, walaka hautoki CCM kubaki madarakani milele. Walaka unaangalia maslahi ya kanisa na mabeberu tuWakati wa Magufuli hukuona waraka wowote toka TEC? Umejaa huku JF.
Tatizo lenu mnaendeshwa na mahaba ya dini yenu, hamtaki mama yenu aguswe hata akikosea wazi, hilo haliwezekani, sio kwa Tanganyika hii ya leo.
Kama hamtaki aguswe, muondoeni ikulu muende nae Makunduchi halafu muone kama yupo atakayehangaika nae.
kilichobakia sasaivi ni kuwashauri maaskofu hawa watusaidie kuifufua Tanganyika, na wataweza, labda wasiamue.Serikali imetwangwa barua Waraka na Maaskofu kupinga mkataba wa bandari. Ingawa Baraza hili haliko kisheria kufanya jambo la nchi kama hilo lakini limefanya hivyo baada ya kujiridhisha kuwa serikali, Bunge na mahakama wametenda kosa kwenye mkataba huu. Waraka kama huu ulionekana tena wakati wa hoja ya kuwepo kwa kadhi Tanzania.
Mimi huwa najiuliza maswali kuhusu nguvu hizi za Maaskofu kwanini hazikutumika kupinga Mwl. Nyerere kuifuta serikali ya Tanganyika, kutaifisha baadhi ya shule zao za kanisa kuwa za serikali, wala kupinga nchi kutaifisha mali za serikali kama nyumba, mashirika ya umma na migodi yetu.
Mbona kama waraka hizi zinatolewa zaidi kwenye awamu fulanifulani TU?
Uwepo wa TANGANYIKA utatuletea haya:-kilichobakia sasaivi ni kuwashauri maaskofu hawa watusaidie kuifufua Tanganyika, na wataweza, labda wasiamue.
Maaskofu wetu walikuwepo wakati Katiba yetu ya hivi inaandikwa na kupitishwa, nadhani walikuwa comfortable kwakuwa madaraka yooote ya nchi yalikuwa yamekabidhi Rais Mwl. Nyerere mkatoliki mwaenzao ambae aliyatumia mamlaka na nguvu hizo za kikatiba kuwanufaisha wakatoliki. Wakatoliki wakati wa ukoloni na hata baada ya uhuru walijitwalia maeneo makubwa sana sehemu muhimu za kiuchumi za taifa letu bila kubughudhiwa na mtu. Hebu ona pale ilipo St. Joseph (forodhani), hebu ona pale lilipo baraza la maaskofu kurasini (bandarini), msimbazi center, na kule kijichi na kwingineko. maeneo haya ni nyeti sana kiuchumi na kiusalama lakini wanayo wao na hakuna walaka kutoka kwa yeyote yule.kilichobakia sasaivi ni kuwashauri maaskofu hawa watusaidie kuifufua Tanganyika, na wataweza, labda wasiamue.
Tuwe wavumilivu waraka umeshasomwa mara 2 tayari bado mara 4..Serikali imetwangwa barua Waraka na Maaskofu kupinga mkataba wa bandari. Ingawa Baraza hili haliko kisheria kufanya jambo la nchi kama hilo lakini limefanya hivyo baada ya kujiridhisha kuwa serikali, Bunge na mahakama wametenda kosa kwenye mkataba huu. Waraka kama huu ulionekana tena wakati wa hoja ya kuwepo kwa kadhi Tanzania.
Mimi huwa najiuliza maswali kuhusu nguvu hizi za Maaskofu kwanini hazikutumika kupinga Mwl. Nyerere kuifuta serikali ya Tanganyika, kutaifisha baadhi ya shule zao za kanisa kuwa za serikali, wala kupinga nchi kutaifisha mali za serikali kama nyumba, mashirika ya umma na migodi yetu.
Mbona kama waraka hizi zinatolewa zaidi kwenye awamu fulanifulani TU?
Kwakuwa tumeshayajua malengo yao, Hata usomwe mara 200, uwekezaji uko mulemule na vilevile vilivyopangwa. Mwanzo tulidhani kuwa wanatumia haki yao ya kidemokrasia, lakini baada ya shauri lao kushindwa mahakani na bado wakaendelea na msimamo wao uleule vilevile ndio watu wakastuka kwelikweli kwamba kumbe sio demokrasia bali kitu kingine kabisaaaa.Tuwe wavumilivu waraka umeshasomwa mara 2 tayari bado mara 4..
Kwakuwa tumeshayajua malengo yao, Hata usomwe mara 200, uwekezaji uko mulemule na vilevile vilivyopangwa. Mwanzo tulidhani kuwa wanatumia haki yao ya kidemokrasia, lakini baada ya shauri lao kushindwa mahakani na bado wakaendelea na msimamo wao uleule vilevile ndio watu wakastuka kwelikweli kwamba kumbe sio demokrasia bali kitu kingine kabisaaaa.
Waarabu walitawala na waliendesha kwa muda mrefu bihashara ya utumwa ktk ukanda huu hasa hapa nchini kwetu. Wao waliwaachia nini? Misikiti? Mbona hamuulizwi. Kama katoliki waliachiwa hizo shule na hospital, je, ni zenu? Na kwa hiyo mtaka mgao kwenye hizo shule na hospital za katoliki? au mnataka huduma zitolewe bure? Wivu tu, ni shule ngapi na hospital ngapi za katoliki zimejengwa baada ya Uhuru ukilinganisha na za kwenu? Fanyeni kazi na kuwekeza kuliko kufunga misuri na kufuga ndevu huku mkieneza chuki na wivu kwa wenzenu. Mkiona hamna uwezo kuhudumia familia ya watoto wa wake wanne, badilisheni hiyo sera mfanye maendeleo. Mnachosha mnavyonung'unika utadhani mmeshikwa mikono!! Kila kitu m ataka dezodezo tu hadi kujengewa misikiti!!Makanisa na shule zile zilijengwa kwa rasilimali zetu walizopora, ilikuwa sawa kwa Nyerere kuzitaifisha. Wanadai wanadai msamaha wa kodi kwenye vifaa vya kanisa lakini wanatoza ada kubwa ya shule na matibabu kwenye shule na hospitali zao.
tunachosema ni kimoja, makanisa na taasisi nyingi za kidini wakati wa ukoloni zilijengwa kwa fedha zetu full stop!! Nyerere hakuwa mjinga kuzitaifisha baadhi yake na kuzirejesha serikalini bila kukutana na walaka wowote, maana aliwaambia ukweli wakati anazichukua.Waarabu walitawala na waliendesha kwa muda mrefu bihashara ya utumwa ktk ukanda huu hasa hapa nchini kwetu. Wao waliwaachia nini? Misikiti? Mbona hamuulizwi. Kama katoliki waliachiwa hizo shule na hospital, je, ni zenu? Na kwa hiyo mtaka mgao kwenye hizo shule na hospital za katoliki? au mnataka huduma zitolewe bure? Wivu tu, ni shule ngapi na hospital ngapi za katoliki zimejengwa baada ya Uhuru ukilinganisha na za kwenu? Fanyeni kazi na kuwekeza kuliko kufunga misuri na kufuga ndevu huku mkieneza chuki na wivu kwa wenzenu. Mkiona hamna uwezo kuhudumia familia ya watoto wa wake wanne, badilisheni hiyo sera mfanye maendeleo. Mnachosha mnavyonung'unika utadhani mmeshikwa mikono!! Kila kitu m ataka dezodezo tu hadi kujengewa misikiti!!
Matokeo ya chuki ukichanganya na roho mbaya ukaongezea na wivu na ukamix inferiority complexes na uongo.Kweli wewe wa Kumlaumu Nyerere wewe?Maaskofu wetu walikuwepo wakati Katiba yetu ya hivi inaandikwa na kupitishwa, nadhani walikuwa comfortable kwakuwa madaraka yooote ya nchi yalikuwa yamekabidhi Rais Mwl. Nyerere mkatoliki mwaenzao ambae aliyatumia mamlaka na nguvu hizo za kikatiba kuwanufaisha wakatoliki. Wakatoliki wakati wa ukoloni na hata baada ya uhuru walijitwalia maeneo makubwa sana sehemu muhimu za kiuchumi za taifa letu bila kubughudhiwa na mtu. Hebu ona pale ilipo St. Joseph (forodhani), hebu ona pale lilipo baraza la maaskofu kurasini (bandarini), msimbazi center, na kule kijichi na kwingineko. maeneo haya ni nyeti sana kiuchumi na kiusalama lakini wanayo wao na hakuna walaka kutoka kwa yeyote yule. Sasa hivi wanachukia kuona nguvu zilezile za katiba ileile zinatumiwa na Rais asiyekuwa wa kwao. Wakae kitako watulie, Rais Samia lazima atatuachia Katiba mpya matata sana kabla hayaondoka 2030, sasa hivi asishinikizwe, aachwe nae aifaidi katiba hiihii ya kikatoliki kama walivyofaidi watangulizi wake, ni katiba tamu sana kwa mtawala wa nchi, ni kama kula nyama ya mtu, ukiionja katiba hii hutapenda ibadilishwe.
Mkatoliki mwenzao (Mkapa) walimrubuni weeee hadi akawarejeshea shule ya Forodhani, wanadhani hatujui.
shule za kanisa ambazo serikali imetaifisha mpaka leo hati za umiliki zipo kanisani.Serikali imetwangwa barua Waraka na Maaskofu kupinga mkataba wa bandari. Ingawa Baraza hili haliko kisheria kufanya jambo la nchi kama hilo lakini limefanya hivyo baada ya kujiridhisha kuwa serikali, Bunge na mahakama wametenda kosa kwenye mkataba huu. Waraka kama huu ulionekana tena wakati wa hoja ya kuwepo kwa kadhi Tanzania.
Mimi huwa najiuliza maswali kuhusu nguvu hizi za Maaskofu kwanini hazikutumika kupinga Mwl. Nyerere kuifuta serikali ya Tanganyika, kutaifisha baadhi ya shule zao za kanisa kuwa za serikali, wala kupinga nchi kutaifisha mali za serikali kama nyumba, mashirika ya umma na migodi yetu.
Mbona kama waraka hizi zinatolewa zaidi kwenye awamu fulanifulani TU?
Sawa Nyerere alizichukuwa, hawakujengwa nyingine? Wao wametoa waraka kuikosoa Serikali juu ya vipengere ktk mkaba kwann mnawashambulia? Kwani wamekosoa Uislamu? Kama mna hoja mngekosoa hoja zao ktk waraka, lakini badala yake mnaingiza vitu visivyohusiana na kile kinachoongelewa. Mnatumika kuhamisha mjadala siyo?tunachosema ni kimoja, makanisa na taasisi nyingi za kidini wakati wa ukoloni zilijengwa kwa fedha zetu full stop!! Nyerere hakuwa mjinga kuzitaifisha baadhi yake na kuzirejesha serikalini bila kukutana na walaka wowote, maana aliwaambia ukweli wakati anazichukua.
shule imerudi utawala wa JK.Maaskofu wetu walikuwepo wakati Katiba yetu ya hivi inaandikwa na kupitishwa, nadhani walikuwa comfortable kwakuwa madaraka yooote ya nchi yalikuwa yamekabidhi Rais Mwl. Nyerere mkatoliki mwaenzao ambae aliyatumia mamlaka na nguvu hizo za kikatiba kuwanufaisha wakatoliki. Wakatoliki wakati wa ukoloni na hata baada ya uhuru walijitwalia maeneo makubwa sana sehemu muhimu za kiuchumi za taifa letu bila kubughudhiwa na mtu. Hebu ona pale ilipo St. Joseph (forodhani), hebu ona pale lilipo baraza la maaskofu kurasini (bandarini), msimbazi center, na kule kijichi na kwingineko. maeneo haya ni nyeti sana kiuchumi na kiusalama lakini wanayo wao na hakuna walaka kutoka kwa yeyote yule. Sasa hivi wanachukia kuona nguvu zilezile za katiba ileile zinatumiwa na Rais asiyekuwa wa kwao. Wakae kitako watulie, Rais Samia lazima atatuachia Katiba mpya matata sana kabla hayaondoka 2030, sasa hivi asishinikizwe, aachwe nae aifaidi katiba hiihii ya kikatoliki kama walivyofaidi watangulizi wake, ni katiba tamu sana kwa mtawala wa nchi, ni kama kula nyama ya mtu, ukiionja katiba hii hutapenda ibadilishwe.
Mkatoliki mwenzao (Mkapa) walimrubuni weeee hadi akawarejeshea shule ya Forodhani, wanadhani hatujui.