Waraka wa Maaskofu unabagua mambo

Katiba Mpya ingekuwepo tangu 2014-2015
Ila Watu wakwanza kupinga zilikuwa hizi hizi taasisi za dini ,Hao maaskofu pia. Na rais aliekuwa madarakani alikuwa Mh Kikwete( Muisilamu).

Hichi kitu nakiona tena kwenye utawala wa Rais Samia.

Jamani kama yesu alifanya Miujiza, kwanini maaskofu wasifunge na kuomba?! Mpaka waupinge mkataba kwa waraka unaosomwa kanisani, sio hata kwamba wame wapa serikali?
 
Matokeo ya chuki ukichanganya na roho mbaya ukaongezea na wivu na ukamix inferiority complexes na uongo.Kweli wewe wa Kumlaumu Nyerere wewe?
Ila nyuzi za hivi ni nzuri kwa afya zenu kwa sababu mnapunguza nyongo nyingi zilizo ndani yenu
Nyerere nae ni binadamu, sio Mungu, kafanya mazuri na mabaya, alikuwa na mazuri yake na mabaya yake. mazuri yake yanajulikana sana na yamezungumzwa sana, lakini mabaya yake yameongelewa kwa uchache sana. Baadhi ya hayo mabaya yake ni kutuachia katiba ambayo haki itategemea na uadilifu na utashi wa kiongozi mwenye, katiba ambayo viongozi wana kinga ya kushitakiwa, katiba ambayo ardhi yote ni mali ya umma na inadhaminiwa na Rais, Katiba ambayo Rais anamteua kila mtu bila kuulizwa maswali, katiba ambayo uchaguzi na matokeo havihojiwa popote duniani wala mbinguni. Nyerere aliruhusu misamaha kwa wakristo hata kwenye shughuli zao za kiuchumi na kuruhusu makanisa kushikilia ardhi kubwa bila kuhojiwa na sina uhakika kama TRA inapata kodi kutoka kwenye shule na hospitali na mashamba, na mifugo na uvuvi unaofanywa na mashirika ya dini, pesa na faida yote inakwenda vatican bila kuhojiwa na mtu. Mwl Nyerere alichukua pesa za watoto wa Tanzania kwenda kukombolea nchi nyingine kama Msumbuji, Angola, zimbabwe, SA na kwingineko bila ridhaa yetu na bila mikataba yoyote ya kurejeshewa.
 
chunguza saaaaaaaana utangundua kuwa waraka una fungamano na watu weupe nyuma yake, hasa kupinga jambo lisilo na faida kwao, ila wanashinda kusema moja kwa moja badala yake wanajificha ndani ya kanisa, Tunafahamu kwa miaka mingi kuwa makanisa ni miongoni mwa vichaka vyao.
 
Aisee! Hivi hamjui kabisa kujadili jambo? TEC wamengelea vipengele walivyoona ni vibovu kwenye mkataba, kama ambavyo wabunge bungeni kabla ya kupitisha bajeti huwa wanajadili vipengele wanavyoona ni vizuri na vingine wanavyoona si vizuri na wanatoa maoni kwamba virekebishwe, la sivyo hawatapitisha bajeti. TEC nao kutokana na kuwepo vipengele fulani fulani kwenye mkataba vikiachwa vilivyo huo mkataba haufai na kwa hiyo wanaunganga na wananchi wanaoupinga. Wewe na wenzako mnaoona hivyo vipengele vinafaa mngekuja na utetezi wenu na hivyo tungekuwa na pande mbili - upange mmoja unaosema hivyo vipengele havifai na upande wa kwenu mnaoona vinafaa na wala kusingekuwa na haja ya kusema nje ya hayo. Lakini kwa vile wewe na wenzako hamna points za kujadili mnawasakama TEC as if wao wamewasakama nyinyi. Haya uliyoandika hapo yanatoka ukurasa gani wa mkataba wa DP World au waraka wa TEC? Sasa hapo ndipo uone kwamba uko nje ya hoja ya walichoongelea TEC.
 
Mbona umeweka tu maneno pamoja hapa? Hepu onyesha ni sentesi ipi uliyoandika?
 
Katika nchi yenye utawala wa sheria na demokrasia watu wake wanapobishania jambo mwisho wa ubishi wao ni Mahakama. Tumebishana weee hadi tukaenda mahakamani, mahakama ikatoa ufafanuzi juu ya kile tunachobishaniana lakini bado mtu haiamini mahakama anataka kuendelea na ubishi uleule. Sasa wewe unadhani baada ya hukumu ya mahakama kutoka kitafuata nini? Hivi kuna mtawala yeyote ambae anaweza kunyamazia tabia kama hiyo? Kama wewe huiamini serikali halali, huliamini bunge halali na huiamini mahakama halali unataka kitokee nini? unataka nchi isitawalike? au unalenga nini, mapinduzi?
 
Mbona umeweka tu maneno pamoja hapa? Hepu onyesha ni sentesi ipi uliyoandika?
kwa akili yangu ndogo nimejaribu kuzifuatilia nyalaka zote za maaskofu nikagundua kila walaka unaotolewa kwa serikali fulani unatetea maslahi ya mabeberu au kanisa.
 
Kanisa kuhodhi maeneo makubwa ni dhambi?7na uhakika hawayalipii?Hebu tupunguze wivu na husda basi.
 
Waraka si kwa ajili ya serikali acha uongo.TEC imetoa waraka ule kwa waumini wao wakatoliki kuonesha msimamo wao juu mapungufu walioyaona kwenye mkataba/makubaliono kati ya DP world na TPA na ndio maana unasomwa kwenye makanisani kwao
 
Waraka si kwa ajili ya serikali acha uongo.TEC imetoa waraka ule kwa waumini wao wakatoliki kuonesha msimamo wao juu mapungufu walioyaona kwenye mkataba/makubaliono kati ya DP world na TPA na ndio maana unasomwa kwenye makanisani kwao
Ili waumini wafanye nini? kuwachochea ili wafanye nini? Waumini hawa wana serikali, bunge na mahaka yao tofuti?
 
Tuna bahati kumpata huyu Rais kimiujiza, amenyooka kama rula, hana magenge, ana hofu ya Mungu, hana ndugu maskini sana, hana njaa, na anafahamu kuwa wanawake wote wanapimwa kupitia yeye.
 
Unachanganya mambo. Labda kwa sasa ungejikita kwa hicho TEC walichokisema na wewe ulete utetezi wako. Hapo ndipo ungeeleweka. By the way, unadhani TEC haina wanasheria?
 
Hatuangalii nyuma Pana mengi tunaangalia Leo.
Hoja Sio uarabuni hoja ni maslai ya taifa
 
kwa akili yangu ndogo nimejaribu kuzifuatilia nyalaka zote za maaskofu nikagundua kila walaka unaotolewa kwa serikali fulani unatetea maslahi ya mabeberu au kanisa.
Sasa kama unasema "kwa akili yangu ndogo" (yaani ya kwako hiyo akili ilivyo ndogo) unaweza kuelewa waraka wa TEC walioandika waraka kwa kutumia akili kubwa?
 
Huo ni waraka kwa waumini wao na Sio kwa Serikali wewe inakuuma nini
 
Kwanini waraka haukutoka wakati serikali inaruhusu vyama vingi 1992 wakati 80% wa wananchi walikataa?
Unajichanganya sana kwenye kujenga hoja zako.
Mwaka 1992 nani alikuwa raisi? Alikuwa wa kutokea upande gani kiimani?
Kama hao TEC lengo la nyaraka zao kupinga viongozi wa upande 'huo' mbona hawakumpinga Mwinyi 1992?
Nyie watu nila kukicha ni malalamiko tu na kutopenda kukosolewa munapo haribu mambo serikalini au kwenye jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…