Mr Lukwaro
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 359
- 629
Katiba Mpya ingekuwepo tangu 2014-2015Serikali imetwangwa barua Waraka na Maaskofu kupinga mkataba wa bandari. Ingawa Baraza hili haliko kisheria kufanya jambo la nchi kama hilo lakini limefanya hivyo baada ya kujiridhisha kuwa serikali, Bunge na mahakama wametenda kosa kwenye mkataba huu. Waraka kama huu ulionekana tena wakati wa hoja ya kuwepo kwa kadhi Tanzania.
Mimi huwa najiuliza maswali kuhusu nguvu hizi za Maaskofu kwanini hazikutumika kupinga Mwl. Nyerere kuifuta serikali ya Tanganyika, kutaifisha baadhi ya shule zao za kanisa kuwa za serikali, wala kupinga nchi kutaifisha mali za serikali kama nyumba, mashirika ya umma na migodi yetu.
Mbona kama waraka hizi zinatolewa zaidi kwenye awamu fulanifulani TU?
Ila Watu wakwanza kupinga zilikuwa hizi hizi taasisi za dini ,Hao maaskofu pia. Na rais aliekuwa madarakani alikuwa Mh Kikwete( Muisilamu).
Hichi kitu nakiona tena kwenye utawala wa Rais Samia.
Jamani kama yesu alifanya Miujiza, kwanini maaskofu wasifunge na kuomba?! Mpaka waupinge mkataba kwa waraka unaosomwa kanisani, sio hata kwamba wame wapa serikali?