Waraka wa Marehemu Chacha Wangwe na Hatma ya Siasa za CHADEMA

Mbowe MUNGU anakuona ujue
 
Wewe nani anahangaika? Au ndio ukweli wenyewe!
Mtahangaika sana hila chadema moto Juu moto chini Bob Chacha Wangwe Alipoteza maisha kwa ajali ya gari.... Sawa sawa na Edward Sokoine ... Aaah..mtakuja na mapambio ya kila namna na bado mtaendelea kula L7 tu bila overtime.
 
Chuma kinakuja toka Belgium lazi mzidishe nyuzi za kipuuzi
Jiwe huko aliko halali
 
Ruzuku ni pesa ya umma. Ikitumiwa vibaya lazima uwajibishwe.
Tangu tuhuma za Chacha Wangwe leo karibu miaka 10, mahakama ipi ama CAG yupi kathibitisha tuhuma hizo, ndio maana wenye akili tunasema ni propaganda, wapumbavu mtazidi kusubiri tuhuma hewa.
 
Kama kuna tuhuma kutoka watu tofauti kuhusu tukio moja au zaidi, tuhuma moja au kadhaa haziwezi kuwa ushahidi au uthibitisho kuwa tuhuma hizo ni za kweli au si za kweli. Critical/great thinkers hawawezi kuchukulia mambo kirahisi hivi. Njia nzuri ya ku'deal' na tuhuma ni ku'suspend' judgement mpaka hapo zitakapothibitishwa ili kuepuka ku'draw' wrong conclusion from tuhuma zinazofanana au tofautiana. Tujifunze kuwa cretical/great thinkers kwa kuepuka kuwa na upande tuhuma zinapotolewa mpaka pale tutakapojiridhisha. Hapa naongelea kwenye level ya kujenga hoja na kutoa hitimisho.
 
Nani anaishi kwa buku 7 we pumbafu. Mimi ninahela ya kukulisha wewe na mke wako na kukupeleka huko kwenu igabilo.
Wewe dogo wenye hela tunaiponda ccm imetuchelewesha, wewe unalipwa na polepole kutukana serikali ijayo
 
Nani anaishi kwa buku 7 we pumbafu. Mimi ninahela ya kukulisha wewe na mke wako na kukupeleka huko kwenu igabilo.

Sawa hila sidhani kama mshahara wa L7 unaweza kukufanya Kuwa na Maisha bora / cha muhimu tutafute hela hili tusijekuwa kichekesho nakukaa kuwapa lawama wanasiasa.
 
Unamaanisha CAG hajui kazi au
 
Collaborative evidence mkuu hutoka sehemu mbali mbali.
Ndiyo mkuu. Lakini naongelea how far you are sure what you say is true? Lengo langu ni kujaribu kuwa fair in judgement maana kufanya hivyo tutaepuka kufanya makosa mengi kwenye judgement. Yaani, tujitahidi mara zote kuwa na good judgement.
 
Nyie madogo mnajua uchumi umeporomoka kiasi gani?

Mnaandika ujinga kudivert attention ya anguko LA uchumi

Hayo mambo ya chacha wangwe ni upuuzi tu wenye akili hatutaki huu ujinga
 
CAG ambaye anachaguliwa na mwwnyekiti wa CCM ameshasema hesabu za CHADEMA zipo salama.
Tafuteni uchawi mwingine, huu umefeli. Kuna watu watakufa na pressure juu ya CHADEMA.
 
No
No evidence no right to bring out these cheap cheap allegations.....Lumumba mnashida gani?
 
Mkuu Maxence Melo jana mlikumbusha watu kufuata maadili humu JF. Chacha wangwe ulishawekwa uzi humu mwenyewe akikanusha kuhusu huo waraka tokea 2008 sasa kama fake news zinapostiwa na uongozi upo kimya nini hatma ya jukwaa kama credible source ya taarifa? Kibaya zaidi anamchafua marehemu ambaye hawezi kujibu!!

Inatakiwa mtoe adhabu kali ili heshima ya jukwaa irudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…