Waraka wa Marehemu Chacha Wangwe na Hatma ya Siasa za CHADEMA

Kuna watu wanadai CHADEMA inapitia kwenye tanuru la moto ili kiwe chuma cha pua kabla ya kupewa nchi lakini tatizo lililopo kwa sasa ni ukosefu wa vifaa vya kazi kwa wafanyakazi waliopewa kazi ya kuipitisha kwenye hilo tanuru la moto huku wengine wakiwa hawafahamu kazi yao.

Kila wakijaribu kukiingiza kwenye tanuru wanaungua moto wao wenyewe na kukimbia.

Kuna maswala ndani ya huu waraka yanahitaji kuangaliwa kwa macho matatu.

Yangu macho na masikio.
 
Yani ni kama huu waraka wa wangwe aliuandika siku za hivi karibuni.
Kuna tatizo kubwa sana chadema.
 
RIP Chacha Wangwe, Nimesoma waraka huu kwa hisia na kwa uchungu mkubwa sana, Inauma sana, Inasikitisha sana, KWA KWELI MBOWE ANA MATATIZO, TENA MAKUBWA SANA. NI JUKUMU LA WANACHADEMA KULIONA HILI.
 
Mimi mwana Chadema, ila sikubaliani na uongozi wa mbowe. Mbowe ngantuka Chadema isonge mbele.
 

kweli kk
 
huu utaratibu mgeni kama una nafasi ndani ya chama huko panatosha kuwakilisha unachowaza na mawazo yako yakafika na kwa kujua watu wa propaganda wapo kazini viongozi msijibu au kutoa maoni yeyote ndani ya uzi huu .uzi huu unaonyesha mhusika amekosa weledi na uadilifu katika majukumu yake anagonganisha watu
 
Porojo zile zile hazina Tofauti sana na za Zitto leo. Eti uenyekiti, Yani watu wakishastukiwa ni wasaliti wankimbilia kusema Uenyekiti.

Na nyie mkikabwa mbasungizia Hongo kutoka ccm, we m2 una sosomola ruzuku hivi, utashindwa kununua makada wa kukupigia debe hata kama ume chemka!
 

Alafu ndani ya chama hiki kuna watu wasomi na wanaojiita wapambanaji kumbe ni WANAFIKI watupu wasiojitambua.

Ukimuondoa Lema na Sugu...hivi kweli watu kama Mnyika, Mdee, Lisu uwezo wenu wa kiakili na kufikiri unaonekana tu kwenye kuikosoa serikali na kufumbia macho uozo unaovunda nyumbani kwenu ?

..........SHAME ON YOU........
 
Kama haya yalitokea 2008, yamekuja kuibuka 2013 basi hapo ndipo mwisho wa chadema.
 
Atakae iua chadema ni Mbowe na wapambe zake. Hilo liko wazi.
 

Hapo ndo tatizo lilipo. ukiangalia kwa undani barua hiyo ya Wangwe yote aliyopigania Wangwe RIP ndo hayo yaliyomfukuzisha Kabwe. Tatizo lipo kwa uongozi wa juu na lazima lipatiwe ufumbuzi haraka.
 
i saw.
 
Mungu amrehemu CHACHE WANGWE na damu yake iliyomwagwa kamwe haitopotea bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…