Waraka wa Marehemu Chacha Wangwe na Hatma ya Siasa za CHADEMA

Waraka wa Marehemu Chacha Wangwe na Hatma ya Siasa za CHADEMA

Huyu naye alikuwa pandikizi kama Zitto, period.

Tiba
 
Namna hii lazima uondolewe. Hawa viongozi hudhani kimbunga cha mabadiliko huchagua magorofa mabovu na nyumba za zamani zilizochoka, hata ambazo ziko kwenye ujenzi kama msingi ni mbovu lazima zipitiwe. Hili ni chekeo kubwa. Naisubiri Tanzania ya 2025 watanzania watakapoelemewa kabisa na kuamua tofauti, itakuwa kama soweto.
 
makamanda wote wameyeyuka, hawataki kuskkia ukweli
 
Haitakuwa na maana yoyote kuwapa ulaji mwingine wahuni wale wale wenye tabia za CCM wakiwa wamejivika utofauti wa rangi tu,kumbe wote wachumia tumbo.
Wahuni-Wahuni tu!!
Ndio maana Zitto anashindwa funguka sana cuz aliko-conspire kwenye kumpoteza Chacha na yeye anaogopa atatumiwa Denis Mallya wake#
Shame!!
 
Kazi ya cdm ni kuiondoa ccm madarakani,hizo hela unazo zijadili ni kidogo sana,ccm waatumia hela nyingi zaidi kuin'goa cdm na haikaguliwi.
Nakushauri uje na hoja zenye kukabili changamoto za kimaisha kwa Watanzania,badala y kujadili chama.

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums

Msingida usitetee ujinga,hata kama ulizionja zingesaidia sana harakati kama zingeenda sehemu husika!
 
Msingida usitetee ujinga,hata kama ulizionja zingesaidia sana harakati kama zingeenda sehemu husika!

Kwa hiyo mtoto wako akikuibia shilingi mia ukiwa unamuona hautamuonya ujijipa moyo hadi siku afikie elfu kumi eehh?
Kama ni hivyo basi wewe utakuwa pimbi!
 
makamanda wote wameyeyuka, hawataki kuskkia ukweli

Hakuna kamanda hapa,wameshatanguliza makamanda mbele ya haki,hawa wote waliobaki ni bendera fuata upepo.
Wanawaongopea wananchi ambao kila muda wamekuwa wakiongopewa na wabadhirifu wachache wasiotaka kuwa accountable.
 
Mimi nina kumbukumbu ya maneno ya Mh. Horace Kolimba RIP

"CCM IMEPOTEZA DIRA NA MWELEKEO"
 
By force by power cdm haitasambaratika kamwe....vp horace kolimba yuko wapi? Cdm tumejipanga kama nyota angani ,,,ona mccm mnavyomsumbua mr prezda wetu ,ana mtizamo mizuri mawaziri wanalegea wao kupiga deal wanashindwa ,kumsaidia rais :!shame on you
 
Mleta maada unatumika kinyume na kawaida.
Ulikuwa wapi wakati mapandikizi wenzako walipotibuka?
 
Mawazo mgando ni hayo ya kuwa kila anayekosoa mwenendo wa CDM ni mfuasi wa CCM!!
Hakuna malaika hapa duniani hadi asikosolewe.
Madudu yakifanywa na either serikali au Chama chochote mimi nakosoa pa kukosoa na pa kusifia sintokuwa na hiyana.
#Always I'm Free to speak my Mind as long as I don't break the Law!
 
hii ni kweli tupu, tatizo la vyama yvetu vya siasa huvitaki kukosolewa ,ukikosoa unaitwa msaliti unatengenezewa mizengwe ili utoke kwenye chama chao, ni mawili ukiwa hai au ikishindikana utatangulizwa mbele ya haki
 
Hayo ya ruzuku bado yataendeleya ndani ya cdm kwani kipimo cha uongozi pesa huwatarisha amani ya chama
 
Mimi sina tabia ya kufuata mkumbo ndugu.Kama hao unaowaita walikuwa mapandikizi walitibuka basi mimi sio wao.Nimeleta mada baada ya ku-prove on how History use to repeat itself jamaa.Na ninaamini kama wewe umejiwekea mipaka katika kufikiri kwako basi itakuwa ngumu sana kuweza kuleta mawazo endelevu katika hili suala na utabaki kutoa mapovu tu#wake up and free ya' mind dawg
 
Wanapropaganda wa ccm mko kazini

huwezi jua propaganda kama na wewe sio mwana-propaganda
 
Back
Top Bottom