Waraka wa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Ndg. Absalom Kibanda kwa Rais Jakaya Kikwete

Waraka wa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Ndg. Absalom Kibanda kwa Rais Jakaya Kikwete

Kibanda anaponzwa na unafiki wake.
We watu wameng'oa jicho wala hajaenda kufungua shauri Polisi na kupewa RB, Kakaa kimyaa anasubiri eti akina Kova ndo waanze kuwasaka watesi wake na kuja na Movie kama ya Dr Uli.
Kibanda sijui anaponzwa na Njaa ama nini sijui ???
 
Kwa waraka huu ni vigumu mtu yeyote kuelewa ujumbe wake.
Au mtu akiulizwa umeongelea nini au umemuomba nini rais hawezi kuwa na jibu.
Ni vema kuandika maneno machache yenye ujumbe mzito kuliko maneno mengi bila ujumbe thabiti
 
Mimi siungi mkono kabisa waraka huu,ni wa kinafiki mwenyekiti wa jukwaa la wahariri na katibu wake wao wenyewe ni vibaraka wa mmoja wa wagombea urais,alafu wanalaumu wenzao kumsapoti mpinzani wao, hawa wahariri wa bongo wote wanabei ,tunamshukuru mungu bola social media wangelinga sana , Nb kibanda amekwenda New habari kwaajili ya project ya urais wa aliyejiudhuru Leo anapambana na waliokwa ....wa mambo ya nje ameitoa wapi hiyo moral authority??? .lilipofungiwa MWANAHALISI wao wenyewe wakawa wanamsema KUBENEA eti umezidi kuisema serikali ,mara kaombe msamaha kumbe hamna l olote sababu ni MWANAHALISI Kumshambulia boss wao na maskendo ya RICHMOND Leo MTANZANIA imefungiwa ndo mnapiga kelele tuliwambia ,Baba yenu mchawi anakula wa t U hamkusikia Leo amekosa wa Kula ameanza Kula wanae ndo kelele nyingi!!!;

Dani Bavichaaaaaa....Kibanda kafuata hela za Lowasa.
 
Yaani haueleweki, umeandikwa kwa hasira ya watu fulani ili wafukuzwe kazi.

Uandishi mbovu, kujaza paragraph tu!

Hv nani atasoma waraka mrefu kama bajeti ya wizara fulani hadi unasahau yalioandikwa mwanzo?

Msomi anaandika mawazo makuu kwa paragraph chache na anaeleweka!

NO POINT AT ALL ACHA HABARI ZA UCHOCHEZI!

Nafikiri haya yanaweza kua majibu ya Mh.Rais anayoweza kutoa!

Mbona ninyi vijana wa ccm dhuruma,kiburi na uuaji vinawakosesha ufahamu,hivi ni kipi hakikueleweka ktk huu waraka.Mi binafsi nampongeza Absalum Kibanda kumshauri Rais,sasa kama hamjui nawaambia watanzania wamechoshwa sana na kiburi na vitendo vya unyanyasaji vinavyofanywa na watendaji wa serikali dhidi ya raia ipo siku tutaingia mitaani nakwambia hatobakia waziri wala mtoto wa polisi tutauwana kama ilivyotokea Rwanda!!!!!!!take care!
 
Uko sahihi uandishi wake uko chini mno ya kiwango! halafu huyo unaambiwa si tu ni mhariri bali yeye ni mwenyekiti wa jukwaa la wahariri! Inatisha! Sasa ikiwa mwenyekiti wa wahariri yuko hivyo hao waandishi wa habari si ndio itakuwa majanga kabisa!

Wacha chuki binafsi wewe!!usilete tabia za green guard hapa kuwa na adabu tena ujifunze kumbua alama za nyakati,huo ubabe wenu na kiburi cha watawala wasioheshimu uhuru wa raia kupata habari ipo siku watanzania tuliochoshwa na ubabe wa maamuzi ya kijinga tutaamua potela mbali tuingie mitaani sijui mtamraumu nani!!!!Tumewachoka kwelikweli jaribu kujirudi au kujisitahi kwa matendo yenu,au yaliyomkuta Mabina yamewafurahisha haya endeleeni!!!!!!!!!???
 
Well, jamaa alikuwa na message alotaka kuifikisha lkn amechanganya vitu ving kwa wakati mmoja mpaka wasomaji tunashindwa kujua main msg ilikuwa ipi, mathalan anapozungumzia suala la serikali kushindwa kuwakamata watesi wake mpaka leo, huduma mbovu za afya nchini ambazo kila mwenye akili timamu anaona japo kwa juu juu, utendaji mbovu wa wasaidizi wa rais jambo ambalo ni tatizo kubwa ktk serikali yake, na jins watz wanavyonyimwa haki ya habari sahihi kutokana na sheria mbovu ktk tasnia ya hbr nchini.
At least ujumbe umefika japo wahariri wenyewe hawana umoja wala kauli moja ktk mambo ya msingi
 
Kibanda anaponzwa na unafiki wake.
We watu wameng'oa jicho wala hajaenda kufungua shauri Polisi na kupewa RB, Kakaa kimyaa anasubiri eti akina Kova ndo waanze kuwasaka watesi wake na kuja na Movie kama ya Dr Uli.
Kibanda sijui anaponzwa na Njaa ama nini sijui ???

Ngulu We! Chemba Mkubwa Wewe! Ninakuamuru Tooooooka! Ninaamuru Roho Chimbi Iliyoko Ndani Yako Ishiiiiiiiiiindwe! Toooooooooka!
 
Kwanza kabisa napenda kuamua kwa hiyari kujitoa jamii forums,naona vitu vingi vinaandikwa humu si vi elewi,nimejaribu kwa mwaka mzima sijapata mwelekeo,pili kuna kamati ilianzishwa ambayo ilikuwa chini ya waandishi wa habari kwa ajili ya kifo cha Mwangosi mimi sikuweza kuelewa ilikuwa na jambo gani,inawezekana labda ni mimi ni mwenye mapungufu ila nimeona ni ngumu kuwa amini waandishi wa habari-Kwaheri ya kuonana
Rip lengijave tutaonana Mungu akipenda,.bye,., tuachie jm yetu,.
 
Back
Top Bottom