Waraka wa Mwinjilisti Bujibuji kwa wana JamiiForums wote. Soma ufaidike na hekima ya Simba Nyamaume

17: tafuta hela
18: Tafuta hela
19: TAfuta hela
20:TAFuta hela
21:TAFUta hela
22:TAFUTa hela
23:TAFUTA hela
24: TAFUTA Hela
25: TAFUTA HEla
26: TAFUTA HELa
27: TAFUTA HELA.

HAYO MENGINE YOTE YATAKUWA SOLVED. ukisalimia umekaa sahihi tu, huwezi kuwa chawa, unaweza kumkosoa mpishi popote, unaweza kumchana mtu chochote mbele ya yeyote n.k, n.k
 
Tutafute shilingi ngapi?
 
*Usijaribu kumfurahisha mwenye huzuni
*Usiwaonyeshe umuhimu wako wasiojua thamani yako.
 

Hekima/Busara
 
 
Yahusu waraka wa hekima ya Simba nyamaume! Ndugu simba nyamaume hekima number MBILI kifungu cha KWANZA kuanzia mstari wa SITA mpaka wa saba kinakiuka mila na desturi za watanzania, na popote waketipo wazee! Hivyo ninapinga utekelezwaji wa kifungu hicho kwa wazee wote na mimi nikiwa mmoja wao.
 
Ni busara kuu lakin hapo kwenye utanashati ni mlango WA kibali usipotoshe watu..Rudi waeleze watu ukwel kibali kinapatikanaje...
 
ujumbe mzito[emoji1433][emoji3578] ila sijaelewa iyo 666 mwishoni kabisa inamaanisha nini?
 
Ubarikiwe mzee wa busara 🙏🙏🙏
 
Ahsante sana tena sana, kwa Injili hii iliyojaa hekima, maarifa na ujuzi wa maisha haya chini ya jua. Injili hii iendelee mbele!
 
²Tafadhali na wewe ongeza maarifa yako tuikuze hii injili ya Bujibuji kwa Wana JamiiForums imguse kila mmoja.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…