Waraka wa Mwinjilisti Bujibuji kwa wana JamiiForums wote. Soma ufaidike na hekima ya Simba Nyamaume

Asante kwa maandishi mazuri. Ila kanisani kwako sitakanyaga. DC asiye kusema umebadili kibali cha kutoa tiba asilia, mpaka kuombea watu wakiwa hoi, huku unakataza wasikanyage hospitalini πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Well noted kaka mkubwa πŸ™
 
Hiyo no. 8 kwamba usipokee simu wakati wa mazungumzo. Mimi nafikiri inategemea unazungumza na nani na aliyekupigia simu ni nani.
Kwa mfano unazungumza na Waziri mmoja wa serikali ya Tanzania, mkiwa katika mazungumzo mara simu ya Waziri Mkuu inakupigia, je utamwambia Waziri Mkuu kwamba utampigia baadaye?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…