<br />
<br />
Pole , lakini angalau umezushiwa thru ur Nyani Ngabu alias and not ur true identity....japo pia ni mbaya but heri kuliko kutajwa...
nn
unaweza sema only famous people ndo wanazushiwa hayo mambo
mfano
obama,jay z,lenox lewis,the list is endless
inawezekana wewe ni famous thats why??
hahahahaaa kuna ukweli aisee. Manake ki jf jf mimi nina ka uselebu flani hivi.....
Ila ni aibu sana kwa jibaba zima na midevu yake na mke na watoto nyumbani au jimama zima lililovunja ungo mwaka 1986 kuzusha na kueneza uongo dhidi ya mtu ambaye hata halimjui.
Hahahahaaa kuna ukweli aisee. Manake ki JF JF mimi nina ka uselebu flani hivi.....
Ila ni aibu sana kwa jibaba zima na midevu yake na mke na watoto nyumbani au jimama zima lililovunja ungo mwaka 1986 kuzusha na kueneza uongo dhidi ya mtu ambaye hata halimjui.
nimegundua kuwa hata chuki nayo huwa ngumu kuificha
Na wewe ndugu, you're not so innocent yourself. Sababu ulikuwa ukichochea uwongo huu kwenye ile mada ya awali na kudai watu watajwe majina. You're as guilty as them all and should be ashamed kwa kuendeleza umbeya.