Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,772
- 5,258
mkuu watu wasingetajwa.... bwana pasco asingekuja kujisafisha.. watu wangeishia na coclusion vichwani mwao.. matangaji.. katikati ya mwaka etc... kutajwa majina imesaidia walengwa kuja kumaliza uvumi unaoendelea mtaani
Na wewe ndugu, you're not so innocent yourself. Sababu ulikuwa ukichochea uwongo huu kwenye ile mada ya awali na kudai watu watajwe majina. You're as guilty as them all and should be ashamed kwa kuendeleza umbeya.
Mkuu pole sana lakini yote hii inatokana na kautamaduni ka kitanzania ka uzushi na uongo uongo!!!!!!Some pple can stop at nothing kupropagate uongo. Ni tabia ya kishenzi lakini kwa bongo inaexist in all ranks. Gossiping is wht runs that country unfortunately. Halafu na hii tabia ya watu kujifanya wanawafahamu watu hata wasiowajua ni kitu cha kawaida kabisa kwa watanzania!!!!!!
One time I personally niliwahi kuzushiwa nafanya biashara ya madawa ya kulevya, wakati hata sijawahi kuyaona hayo madawa!!!!!
mkuu umeongea point
kuna watu wanazushiwa wana ukimwi
wakati hata malaria tu hawana
na mtu unamuona anaoa au kuolewa
anazaa watoto na wanakua
but still mtu anashupaa bila aibu na uzushi wake
Wee wacha unafiki wako. Hao kina Frank Machozi, General Defao, Muddy Pizzaro, Hussein Macheni na wengineo waliotuhumiwa kwa shutuma hizohizo, lakini sikuona umedai ushahidi wowote dhidi yao zaidi ya kudai majina mengine zaidi. Hadi kashfa ikuguse wewe binafsi, ndugu zako, au washirika wako ndiyo unajifanya eti "huu utakuwa ni uwongo tu", "siamini", "haiwezekani". *****!
huo ni muono wako na upeo wako
wengine wanaweza kuona vingine
Mkuu pole sana tena sana, mi mwenyewe nilishawahi kuzushiwa eti RIHANNA ni demu wangu, wakati hata namba yake ya simu sina masikini. Binadamu wabaya sana........