Waraka wa Profesa Anna Tibaijuka kuhusu Maendeleo ya Mkoa wa Kagera. "Kagera Twafa"

Sera nyingi za ujamaa zimelifanya taifa kuwa masikini na omba omba.

Hii ya uhujumu uchumi mpaka Leo imekuwa kichocheo Cha kuharibiana kimaisha na kinfumo na ni kubambikiana tu. Na ndio fimbo kubwa inayotumiwa na watawala kuwaharibia wengine
Ukielewa misingi ya Itikadi ya Ujamaa na Kujitegemea huwezi kuandika haya ulioandika hapa.

Tatizo mnapenda sana kulalamika kwa kushindwa kutafsiri kwa usahihi mawazo fulani au kwa utekelezaji dhaifu wa watendaji wa umma na wananchi kwa ujumla.

Hakuna nchi ya Kijamaa ambayo ni omba omba.

Nchi na sera za Kijamaa zinasisitiza kila mwananchi lazima achape kazi ili kuondoa dhuluma na utegezi katika ujenzi wa taifa.
 
Alikuwa Kiongozi Mkubwa UN alishakuwa Waziri...kama huko kote hakuona cha kufanya anataka Mama afanye nini?.

Kwani chanzo cha utajiri wakati huo ilikuwa ni nini na je bado kipo?.
 
Kumbe TEXAS huyu mama ana mkono wake mule
 
Umeumbuka na thread zako zamajigambo,
Si huwa unasema kagera imeendelea sana,kuna majumba yakifahari vijijini kabisa!

Mkiwa dar magari yenu mnaoshea maji ya uhai wakati ndugu zenu wanashindia mlo mmoja kijijini,hopeless kabisa!
Mkoa kuwa GDP ndogo hauzuii watu kuwa na nyumba Kali vijijini....


Nyumba Kali zipo na zitaendelea kuwepo



Kumbe huwa mnaumia sana mkiona nyumba kama zile vijijini....


Kuwa na makazi Bora ni tofauti sana GDP....



Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Hivi utakuwa timamu kuoshea gari maji ya dukani wakati ndugu zako kijijini wanakula mlo mmoja kwa siku?
Kila mtu ana maisha yake lakin....

Maisha sio lazima yafanane Kila mtu ana vipaumbele vyake katika maisha ...



Kila mtu atafute maisha yake sio kuwa tegemezi ya watu walio mjini...

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Hawakumbuki kwao sio

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Safi sanaaaa hasa mstar wa mwisho uko powa sanaaa
 
Wahaya kama wanadhani wamesahaulika basi itakuwa hawajui hali za mikoa mingine mathalani Lindi, Mtwara, Pwani, Rukwa, Singida, Manyara, Simiyu (hii ni michache tu)...

Mkoa kama wa Pwani ndio hata haueleweki wapi ni wapi, kila wilaya ipo kivyake vyake, kuna wilaya haziunganishiki kwa barabara ya lami pamoja kuwa karibu...
 
Mali alizo Nazo Tibaijuka nusu na robo ya Mali zake ziko mikoa mingine kwa nininl hakuwekeza kwao? Ze same bushit to Masilingi na ndevu zake kama kamshungu shungu leo hii wako nje ya mfumo wanaona mkoa ukidorola wanaanza kelele.[emoji15][emoji3064]
Huyu masiligi si ndio alimbania mzee Mzalendo mzawa kilimanjaro hotel kisa mchaga tu na huku ni mtanzania nawenzake akaamua kuwapa waarab? Na ksmtia mlevi kafara kwa kutumia suma jkt kwa kumlisha shaba.
 
Wahaya hawapendani, sehemu yoyote esie karibisha wageni, na imeja wivu na fitina miongoni mwao haiwezi kupata maendeleo, walio endeleza dar sio wenyeji
Sidhani kama hi ndio sababu, what about Kilimanjaro? Ni rahisi kwa mgeni kununua ardhi Bukoba/Kagera lakini ni ngumu sana kwa mgeni kununua ardhi Kilimanjaro
 
Huyu bibi ni mnafiki sn
 
Toa weka Tanga
 
Naomba uitoe Simiyu mkuu! Wasukuma wa Ntuzu hawajawahi kuwa wazembe! Msikuruouke kuandika tu vitu humu!
 
Bora hata uweke Kigoma au Katavi lakini siyo Manyara

Mingine niliacha muongezee wadau, ndio maana nikaweka kwenye mabano kwamba hiyo nimetaja ni michache kwa sababu niliona kama nakaribia kutaja mikoa ya Tanzania nzima 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…