Uhakiki
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 7,288
- 7,704
Ukielewa misingi ya Itikadi ya Ujamaa na Kujitegemea huwezi kuandika haya ulioandika hapa.Sera nyingi za ujamaa zimelifanya taifa kuwa masikini na omba omba.
Hii ya uhujumu uchumi mpaka Leo imekuwa kichocheo Cha kuharibiana kimaisha na kinfumo na ni kubambikiana tu. Na ndio fimbo kubwa inayotumiwa na watawala kuwaharibia wengine
Tatizo mnapenda sana kulalamika kwa kushindwa kutafsiri kwa usahihi mawazo fulani au kwa utekelezaji dhaifu wa watendaji wa umma na wananchi kwa ujumla.
Hakuna nchi ya Kijamaa ambayo ni omba omba.
Nchi na sera za Kijamaa zinasisitiza kila mwananchi lazima achape kazi ili kuondoa dhuluma na utegezi katika ujenzi wa taifa.