Waraka wa Profesa Anna Tibaijuka kuhusu Maendeleo ya Mkoa wa Kagera. "Kagera Twafa"

Hahahah leo sijuhi imekuaje, haujawahi kuongea ukweli wa hivi kuhusu wahaya.
Ha ha ha ha facts u know lemubebez. Mtu akanambia wahaya wote wavivu nitakataa.. najua wanaotuangusha na liko wazi. Ama nasema uongo watanzania?[emoji23][emoji23] me nimejifunza serikali niotegemee kwa 30 percent tu tena hii ni kubwa sana. Yule mbunge naamini alikua kipenyo yule si bure. Hakuna kitu nachukia kama mtu anayejifanya yuko neutral. Huyu ni mbaya sana. Mara ajifanye mpinzani mara sijui sitaki twna siasa mara sijui tushikamane na rais. Yaan kama ni babangu nalala nae mbele. Yaan si wanasiasa si nani atatusaidia kama tusipojisaidia wenyewe. Siku kila mranzania atakayoamka ndo tutapiga hatua

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Kwa nyumba nzuri vijijini hawana mpinzani kuna mahekalu kwenye migomba mengine hata masaki yanastahili ,tatizo mjini tu,ukifungua duka kama hujui kihaya utakoma,anakuja mteja. Iwe ndetela akananka aiko,kama hujaelewa kesho haji hapo anajua huyu mnyamahanga
Lakin mbona bukoba mjini Kuna watutsi wachaga,wasukuma na wakurya kibao tu....

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Kwa nyumba nzuri vijijini hawana mpinzani kuna mahekalu kwenye migomba mengine hata masaki yanastahili ,tatizo mjini tu,ukifungua duka kama hujui kihaya utakoma,anakuja mteja. Iwe ndetela akananka aiko,kama hujaelewa kesho haji hapo anajua huyu mnyamahanga
Mkuu. Tembea kilimanjaro kwa makazi bora. Tatizo ni hatujazoea piga picha. Ni vitu tumeshavizoea miaka na miaka. Nimezaliwa late 80s na nimekuta mahekalu. Ndo maana tumeona kama ni jambo la kawaida. Halaf kuna watu hawapendagi kabisa wakute majumba yao mitandaoni. Yaani kiufupi sisi tunapendaga kunyooshana wenyewe kwa wenyewe huko vijijini[emoji23][emoji23] unakuta yanki anakuja kujenga bonge la contemporary pembeni yako ama mpakani na jumba lako la 80s ama 70s hasira inakupanda unaona dharau unabomoa na wewe unajenga kali zaidi. Hayo ndo maisha ya pale mgombani. Yaan tunaanzaga utafuta ufalme kijijini kwanza. Ndo maana watu wanapagawaga. Nikachinja ng'ombe wawili msimu wa december na mbuzi watano basi na wewe chinja ng'ombe watano na mbuzi 10 alika madoni wenzako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] hutaweza nielewa. Hawatakagi maneno kule. Wanataka vitendo tu. Kijana juzi ulikua ukimuona amevaa maharaiyo leo anapita na discovery 4 latest we bilionea una klugger lazima iwe vita[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Ujenzi unaendelea

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Ooh, hapo sawa. Sasa huo ndo uanaume. Hakuna kukubali. Lazima muwe na roho ngumu. Yaan lazima mujipatie huduma wenyewe na muwaelimishe kabisa watoto wenu na vizazi vijavyo kwamba hii miradi ni nyie wenyewe mulichanga na siyo serikali maana wanasiasa ni mtambo. Na jiwe la msingi muhakikishe kabisa. Lama wanavyoandikaga "KWA MSAADA WA WATU WA MAREKANI" basi waandike pia " KWA MICHANGO YA WADAU. WAKAZI NA WENYEJI WA BUKOBA" maana hawanaga maana hao. Ili siku moja wakija kujitetea muwaulize waliwafanyia nn

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Tatizo la wasukuma ni ni uharibifu mkubwa wa mazingira, ndani ya miaka mitano wamefyeka hovyo misitu, wameharibu vyanzo vya maji na matokeo yake wanahama na kukimbilia kwingine. Nasikia huko Katavi na Kigoma next move yao ni kwenda Kongo.
Sasa mbona jamaa anawaita 'wawekezaji' ?
 
Serikali ya magufuli? Hizo barabara zimejengwa enzi ya mkapa na Jk
Project ya barabara Tanzania ni project ya Muda mrefu sana, hakuna anayesema kuwa kuna wakati serikali iliacha kutekeleza project hiyo iliyoasisiswa na world bank mwaka 1987 au 1988. Kwa hiyo Mkapa na Kikwete waliikuta ikiwa inaendelea kama ambavyo magufuli pia kaikuta na bado inaendelea. Infrastcructure ya usafiri siyo mabarabara tu, kuna hizo meli alizojenga, ambapo hao unaowatetea hakuona kama ni issue pamoja kuzama kwa meli ya MV Bukoba, na kuuwa watu wengi, siyo Mkapa wala kikwete aliyeona kuwa ni jambo linalotakiwa kufanyiwa kazi; nadhani kwa vile huenda world bank ilikuwa haijawaambia. Kuhusu usafriri wa kila siku wa ndege kwenda bukoba, jamaa hapo mkapa na kikwete aliiua ATCL kabisa, na hata vile kuunganisha Bukpoba na mwanza, wao hawakuwahi kufikiria kuwa linahitajika daraja, huenda pia ni kwa vile world bank ilikuwa haijawaambia. Kuna viongozi ambao ni passive wanaosubiri waambiwe na nguvu za nje, na wengine ni active wanoangalia ni kipi kinatakiwa kitekelzwe hata kama nguvu za nje hazitaki. Kwa mfano barabara ya Arusha Musoma, kikwete alinywea mpaka leo ikasimama kabisa.
 
Mkuu. Tembea kilimanjaro kwa makazi bora. Tatizo ni hatujazoea piga picha. Ni vitu tumeshavizoea miaka na miaka. Nimezaliwa late 80s na nimekuta mahekalu. Ndo maana tumeona kama ni jambo la kawaida. Halaf kuna watu hawapendagi kabisa wakute majumba yao mitandaoni. Yaani kiufupi sisi tunapendaga kunyooshana wenyewe kwa wenyewe huko vijijini[emoji23][emoji23] unakuta yanki anakuja kujenga bonge la contemporary pembeni yako ama mpakani na jumba lako la 80s ama 70s hasira inakupanda unaona dharau unabomoa na wewe unajenga kali zaidi. Hayo ndo maisha ya pale mgombani. Yaan tunaanzaga utafuta ufalme kijijini kwanza. Ndo maana watu wanapagawaga. Nikachinja ng'ombe wawili msimu wa december na mbuzi watano basi na wewe chinja ng'ombe watano na mbuzi 10 alika madoni wenzako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] hutaweza nielewa. Hawatakagi maneno kule. Wanataka vitendo tu. Kijana juzi ulikua ukimuona amevaa maharaiyo leo anapita na discovery 4 latest we bilionea una klugger lazima iwe vita[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Hiyo safi sana mi ngoja nikae kimya,kabila langu halina cha kujivunia,ningeweza ningebadili kabila ahaaaaa
 
Wewe endelea kudanganywa na hao wanywa mbege! Hapo hamna lolote makazi ya kawaida tu tena ukiingia ndani ndani utashangaa sana! Sema wanapenda kujikweza tu! Nchi hii makazi bora sijaona! Tofauti ya nyumba za kilimanjaro na kahama au njombe sijaona ila ni ilimbukeni tu!
 
Khee. Huu wivu wa wapi tena[emoji23]

Mbona unang'ata na kupuliza kama suphiani mkuu?[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Khee. Huu wivu wa wapi tena[emoji23]

Mbona unang'ata na kupuliza kama suphiani mkuu?[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Ukweli ndo huo mkuu! Tutaendelea kufarijiana tu! Mara mahekalu migombani lakini mahekalu ya maana hamna ni nyumba za kawaida tu ambazo kila kona ya nchi zipo na zinajengwa kwa kasi kubwa!
 
Wewe umejaa chuki tu na wahaya wala huna unachokijua kuhusu kagera, Nyerere kuisadia kagera? Kwanza hako kajitu hatutaki kukasikia.
Hayaaa wee! jifanye mjanja utakufa hivihivi tunakuona!!...Nakwambia tutakuzika tukiona vipi tutakuja kwa lazima huko na mtakula kwa viboko unajua nyie jeuri sana bila mboko hamuendi tutaanza na tibaijuka
 
Mkuu. Tembea kilimanjaro kwa makazi bora. Tatizo ni hatujazoea piga picha. Ni vitu tumeshavizoea miaka na miaka. Nimezaliwa late 80s na nimekuta mahekalu. Ndo maana tumeona kama ni jambo la kawaida. Halaf kuna watu hawapendagi kabisa wakute majumba yao mitandaoni. Yaani kiufupi sisi tunapendaga kunyooshana wenyewe kwa wenyewe huko vijijini[emoji23][emoji23] unakuta yanki anakuja kujenga bonge la contemporary pembeni yako ama mpakani na jumba lako la 80s ama 70s hasira inakupanda unaona dharau unabomoa na wewe unajenga kali zaidi. Hayo ndo maisha ya pale mgombani. Yaan tunaanzaga utafuta ufalme kijijini kwanza. Ndo maana watu wanapagawaga. Nikachinja ng'ombe wawili msimu wa december na mbuzi watano basi na wewe chinja ng'ombe watano na mbuzi 10 alika madoni wenzako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] hutaweza nielewa. Hawatakagi maneno kule. Wanataka vitendo tu. Kijana juzi ulikua ukimuona amevaa maharaiyo leo anapita na discovery 4 latest we bilionea una klugger lazima iwe vita[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
acha uongo unamuongopea nani ambaye hajawahi kufika huko migombani?
 
Kwa nyumba nzuri vijijini hawana mpinzani kuna mahekalu kwenye migomba mengine hata masaki yanastahili ,tatizo mjini tu,ukifungua duka kama hujui kihaya utakoma,anakuja mteja. Iwe ndetela akananka aiko,kama hujaelewa kesho haji hapo anajua huyu mnyamahanga
Hahahhaah wewe jamaa umenifanya nicheke sana, ati ndetela akananka.
 
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Wazalendo wote nchini na Duniani kwa Ujumla

Nimeambatanisha Waraka Kutoka kwa Profesa Anna Tibaijuka kuhusu uduni wa Maendeleo kwa Mkoa wa Kagera

---
KAGERA ,TWAFA

Anaandika Profesa Anna Tibaijuka
View attachment 2084908
Kagera. TWAFA. Tumuombe Rais Samia atuangalie kwa jicho la huruma, la mama mzazi.

1. Mwaka 1961 tukipata uhuru Kagera ulikuwa mkoa wa pili kwa maendeleo baada ya Kilimanjaro. Sasa hivi miaka 60 baada ya uhuru ni mkoa wa mwisho Tanzania Bara. Nambari 25.

2. Taarifa rasmi za Benki kuu..(Consolidated Zonal Economic Performance Report) Inaorodhesha pato la taifa kwa kila mkoa kwa kila mwananchi au kichwa (per capita GDP) kwa Tanzania bara.

3. Kwanza ni Dar es Salaam. Shs 4,678,751. Mwisho namba 25 ni Kagera Shs 1,168,661.

4. Kwa asilimia kipato cha mwananchi mkoa wa Kagera ni asilimia 44% tu ya kipato cha Taifa.

5. Na asilimia 25% au robo ya kipato cha wakazi wa Jiji Kuu la Dar es Salaam.

6. Ukilinganisha na Makao makuu Dodoma (Shs 1,759,347) Kagera ina asilimia 66% au theluthi mbili.

7. Hali ni tete. Kaya maskini nyingi hata mlo ni wa kubahatisha katika hali ya kawaida. Ukiingiza ukame inakuwa zahama.

8. Tukubali mkoa slowly but surely umefilisika. Tunahitaji kufanya tathmini ya kina kuona tunajikwamua vipi. Nini kazi ya Serikali? Nini jukumu la WanaKagera. Na kipi Mhe Rais wetu Mama Samia atuwekee nguvu?. Mambo yalipofikia tunahitaji mbinu zote na mikakati mipya kubadilisha hali hii isiyopendeza.

9. Lazima kumwangalia adui umaskini machoni na kupambana naye.
Tukikata tamaa au kulaumu hatutafanikiwa.

10. Kinachohitajika ni utambuzi na uelewa wa pamoja wa sababu za kufilisika kiasi hiki ili kurekebisha mambo. TUNAWEZA. KUJIKWAA SI KUANGUKA. Ila lazima tujipange. Kila mtu kwa nafasi yake.

11. Mwalimu Baba wa Taifa alisema. "It can be done. Play your part".

12. Ninawapongeza waheshimiwa Rais Samia na Waziri Mkuu Majaliwa kwa kupanga safu ya uongozi upya. Tumeshuhudia maboresho makubwa. Tunawapongeza Mawaziri na Makatibu Wakuu na Manaibu wote walioaminiwa na kupewa majukumu ya kuongoza sekta mbali mbali. Ninaomba nao waangalie hii hali tete ya Mkoa. Twafaaa... Tunahitaji msaada.

Na wenzetu wa Kigoma nambari 24.( Shs 1,479,389); Singida nambari 23. (Shs 1,622,891) sina budi kuwasemea pia. Kwa ujumla wetu: TWAFAAA.

KAZI IENDELEE katika mwaka huu wa OTAGWISA MUKONO.

Mama T

Chanzo: Bukoba Wadau
Hii Ndo KAZI ya maprofesa sio kaa kusifia , prof mtu mkubwa sana
 
Back
Top Bottom