Waraka wa Shura ya Maimamu Tanzania kuhusu kuachiwa Masheikh wa Uamsho

Waraka wa Shura ya Maimamu Tanzania kuhusu kuachiwa Masheikh wa Uamsho

Mbona hiyo shura ya Maimamu haijaelezea jinsi yao Masheikh walivyoasisi umwagiaji wa tindikali kwa watalii wanaoletea kipato Zanzibar?

Mbona hawajaeleza jinsi walivyommwagia Padri tindikali?

Mbona hawajeleza walivyoratibu mauaji ya watalii watatu Mombasa kwa kushirikiana na Masheikh magaidi wa Mombasa?

Mbona hawajaeleza kinagaubaga juu ya Uchochezi waliokuwa wanaleta juu ya Waislam wa BAKWATA na Wakristo?

Mkileta nye nye nye...Fimbo chaapaa!!

Mtafurahi wenyewe yaani
hahahhh tatizo serikali yako ya ccm ilikosa ushahidi.

pole sana paroko
 
Huo si Ujinga ni UKWELI

Mkiguswaga kwnye ukweli huwa mnapandwa jazba sana Waislam

Ikiwa serikali haikuwa na ushahidi zidi yao ndio maana wameachiwa huru, kungelikuwa na ushahidi Basi serikali ingewatia hatiani. Au unailaumu mahakama kwa kutenda haki na kusimamia sheria?

Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Wakati mwingine mnapaswa muone aibu, hata mnyama kuna wakati anaweza kujizuia jambo baya kwa kuogopa macho ya watu.

Miaka 8 sasa Serekali ilikuwa inatafuta ushahidi, bado imeshindwa kithibitisha tuhuma dhidi ya Masheikh hao. Tungekuona wa maana sana kama ungepeleka ushahidi huo pamema ofisi ya DPP ili wafungwe au wanyongwe. Hapo ungekuwa umelitendea taifa jambo jema.

Watu wana pewa tuhuma za uongo, wanateswa. Kwa ukristo wako bado unaona ni jambo jema... Kwa kukosa kwenu kithibitisha tuhuma zao mmebaki kila mkiamka Padr walimwagia tindikali. Ni kweli hamjui tukio la Kiongozi wenu wa dini na kwa nini alimwagiwa tindikali? Au mnaamua kuficha huo uovu?

Mwenyezi Mungu amekuaibisheni sana katika tukio hili, ukiona mtu mzima kavuliwa nguo kisha akasimama na kuanza kukimbia jua huyo ni kichaa namba 1
Akili zako fupi sana wewe,Sasa Kama kweli ulikuwa na uhakika Hawa masheikh wamefanya kosa Hilo wewe ulikuwa wapi wakati watu wanatafuta ushahidi? Umeshindiliwa mapropaganda na wewe ukajaa mzima mzima.Mahakama imewaachia kwa vile hawana hatia ila wewe ndo bado hujaridhika yan au siyo....Muachage kurukia mambo msiyoyajua.
Leteni tena Ugaidi hapa nchini muone
 
Vita ni vita mura:

"Shura ya Maimamu kila siku ilipeleka gerezani chakula cha wastani wa chini wa Shilingi laki tatu (300,000), katika magereza ya Dar es Salaam. Walifanya hivyo toka mwaka (2013), mpaka mwaka huu (2021). Fedha hizi zilitolewa kwa moyo wa huruma na waumini katika Misikiti mbalimbali Bara na Visiwani pamoja na watu wengine walioguswa na moyo wa ubinadamu."

Wapigania haki hapa pana funzo zito!
Hiyo pesa watoe wapi hao inama inuka wavivu wala tende?msituletee upuuzi nyie watu wa kulishwa tu kila siku,
Bora hata mpotezwe jumla pumbavu sana.
Na bora wakae kimya
 
Hiyo pesa watoe wapi hao inama inuka wavivu wala tende?msituletee upuuzi nyie watu wa kulishwa tu kila siku,
Bora hata mpotezwe jumla pumbavu sana.
Na bora wakae kimya

Wewe kutokuwa nayo hiyo pesa usidhani ndiyo kuwa dunia nzima hawana. Pambana na hali yako jomba.
 
Hiyo pesa watoe wapi hao inama inuka wavivu wala tende?msituletee upuuzi nyie watu wa kulishwa tu kila siku,
Bora hata mpotezwe jumla pumbavu sana.
Na bora wakae kimya
Sasa matusi ya nini ndugu. Mbona unachuki mbaya kwa waislamu.
 
Yani gafla mwaka huu mwezi wa tatu mwishoni mkashinda na kufutiwa mashitaka 14 na nyie mkadhani mlishinda hahahah
Yani serikali ingeliamua msingelishinda case hata moja hapo toka mwanzo baada ya kuingia Mama Samia kila mtu alijua mnaachiwa tena mmeachiwa kwa msukumo wa Masheikh na wanasiasa na wala msijitape mlishinda hahahaha
Yani mwaka huu mmeshinda kila case ndani ya muda mfupi...bado amuoni kama ilikuwa njia ya kuwabeba tuuu hao magaidi?
Lazima mjifunze kuwa serikali imewaacha tuu pamoja na ugaidi wenu wala msingweza kushinda chochote mnatakiwa kumshukuru Samia,,,
Mbona hujasema kama mtaendelea na harakati zenu? mnaogopa nini?
Mlipaswa kuozea jela au kufanywa kama osama
 
Wakati mwingine mnapaswa muone aibu, hata mnyama kuna wakati anaweza kujizuia jambo baya kwa kuogopa macho ya watu.

Miaka 8 sasa Serikali ilikuwa inatafuta ushahidi, bado imeshindwa kithibitisha tuhuma dhidi ya Masheikh hao. Tungekuona wa maana sana kama ungepeleka ushahidi huo mapema ofisi ya DPP ili wafungwe au wanyongwe. Hapo ungekuwa umelitendea taifa jambo jema.

Watu wana pewa tuhuma za uongo, wanateswa. Bado unaona ni jambo jema... Kwa kukosa kwenu kithibitisha tuhuma zao mmebaki kila mkiamka Padri walimwagia tindikali. Ni kweli hamjui tukio la Kiongozi wa dini na kwa nini alimwagiwa tindikali? Au mnaamua kuficha huo uovu?

Mwenyezi Mungu amekuaibisheni sana katika tukio hili, ukiona mtu mzima kavuliwa nguo kisha akasimama na kuanza kukimbia jua huyo ni kichaa namba 1
JAMBO KUU LA MUHIMU HAPA NI KWA MIAKA HII 8, WAMENYOSHWA VYA KUTOSHA.HATA KAMA TUTAANDIKA HAPA NINI NA NINI. SERIKALI INGEWEZA KUKAMATA MASHEHE WOTENA KUWAFUNGA, KWA NINI HAO WACHACHE?
 
Mbona hiyo shura ya Maimamu haijaelezea jinsi yao Masheikh walivyoasisi umwagiaji wa tindikali kwa watalii wanaoletea kipato Zanzibar?

Mbona hawajaeleza jinsi walivyommwagia Padri tindikali?

Mbona hawajeleza walivyoratibu mauaji ya watalii watatu Mombasa kwa kushirikiana na Masheikh magaidi wa Mombasa?

Mbona hawajaeleza kinagaubaga juu ya Uchochezi waliokuwa wanaleta juu ya Waislam wa BAKWATA na Wakristo?

Mkileta nye nye nye...Fimbo chaapaa!!

Mtafurahi wenyewe yaani
kwann usipeleke huu ushahdi?? maana serikali imekaa miska 8 bila ushahidi na kesi wameshindwa mara mbili, ficha ujinga wako,suala hili halikuwa kidini ndo maana hta michango ilitolewa na watu wa imani zote,na kelele zilipigwa na watu wote,na hata hoja zao za kukamatwa hazikuhusiana na dini,zilianzia ktk jukwaa la katiba
 
Wametoka wakatulie wakileta za kuleta serikali ina mkono mrefu, watawapoteza tu. Ni serikali zote duniani, tumeona kina Kasshoggi. PaKa anachofanya wapinzani.

Kutunishiana vifua na serikali, dola, binafsi NO, tokea niwe na familia, nikiangalia watoto nani atawaangalia na kuwajali wasome, wale wawe na maisha, sioni mtu wa kuwaonea uchungu ka mimi.
Wataishia kuwa vichokoraa!!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Mbona hiyo shura ya Maimamu haijaelezea jinsi yao Masheikh walivyoasisi umwagiaji wa tindikali kwa watalii wanaoletea kipato Zanzibar?

Mbona hawajaeleza jinsi walivyommwagia Padri tindikali?

Mbona hawajeleza walivyoratibu mauaji ya watalii watatu Mombasa kwa kushirikiana na Masheikh magaidi wa Mombasa?

Mbona hawajaeleza kinagaubaga juu ya Uchochezi waliokuwa wanaleta juu ya Waislam wa BAKWATA na Wakristo?

Mkileta nye nye nye...Fimbo chaapaa!!

Mtafurahi wenyewe yaani
Ushahidi unao ikiwa serikali haina wewe unao?
 
Hizi ngonjera za mashekh mbona zimekithiri sana siku hizi! Shura ya maimamu ndo wasemaji wa mashekhe Tanzania?

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom