Waraka wa Shura ya Maimamu Tanzania kuhusu kuachiwa Masheikh wa Uamsho

hahahhh tatizo serikali yako ya ccm ilikosa ushahidi.

pole sana paroko
 
Huo si Ujinga ni UKWELI

Mkiguswaga kwnye ukweli huwa mnapandwa jazba sana Waislam

Ikiwa serikali haikuwa na ushahidi zidi yao ndio maana wameachiwa huru, kungelikuwa na ushahidi Basi serikali ingewatia hatiani. Au unailaumu mahakama kwa kutenda haki na kusimamia sheria?


Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Leteni tena Ugaidi hapa nchini muone
 
Hiyo pesa watoe wapi hao inama inuka wavivu wala tende?msituletee upuuzi nyie watu wa kulishwa tu kila siku,
Bora hata mpotezwe jumla pumbavu sana.
Na bora wakae kimya
 
Hiyo pesa watoe wapi hao inama inuka wavivu wala tende?msituletee upuuzi nyie watu wa kulishwa tu kila siku,
Bora hata mpotezwe jumla pumbavu sana.
Na bora wakae kimya

Wewe kutokuwa nayo hiyo pesa usidhani ndiyo kuwa dunia nzima hawana. Pambana na hali yako jomba.
 
Hiyo pesa watoe wapi hao inama inuka wavivu wala tende?msituletee upuuzi nyie watu wa kulishwa tu kila siku,
Bora hata mpotezwe jumla pumbavu sana.
Na bora wakae kimya
Sasa matusi ya nini ndugu. Mbona unachuki mbaya kwa waislamu.
 
Yani gafla mwaka huu mwezi wa tatu mwishoni mkashinda na kufutiwa mashitaka 14 na nyie mkadhani mlishinda hahahah
Yani serikali ingeliamua msingelishinda case hata moja hapo toka mwanzo baada ya kuingia Mama Samia kila mtu alijua mnaachiwa tena mmeachiwa kwa msukumo wa Masheikh na wanasiasa na wala msijitape mlishinda hahahaha
Yani mwaka huu mmeshinda kila case ndani ya muda mfupi...bado amuoni kama ilikuwa njia ya kuwabeba tuuu hao magaidi?
Lazima mjifunze kuwa serikali imewaacha tuu pamoja na ugaidi wenu wala msingweza kushinda chochote mnatakiwa kumshukuru Samia,,,
Mbona hujasema kama mtaendelea na harakati zenu? mnaogopa nini?
Mlipaswa kuozea jela au kufanywa kama osama
 
Kuna watu ni makhanithi wanafurahia wenzao kukaa jela bila sababu.!
 
JAMBO KUU LA MUHIMU HAPA NI KWA MIAKA HII 8, WAMENYOSHWA VYA KUTOSHA.HATA KAMA TUTAANDIKA HAPA NINI NA NINI. SERIKALI INGEWEZA KUKAMATA MASHEHE WOTENA KUWAFUNGA, KWA NINI HAO WACHACHE?
 
kwann usipeleke huu ushahdi?? maana serikali imekaa miska 8 bila ushahidi na kesi wameshindwa mara mbili, ficha ujinga wako,suala hili halikuwa kidini ndo maana hta michango ilitolewa na watu wa imani zote,na kelele zilipigwa na watu wote,na hata hoja zao za kukamatwa hazikuhusiana na dini,zilianzia ktk jukwaa la katiba
 
Wametoka wakatulie wakileta za kuleta serikali ina mkono mrefu, watawapoteza tu. Ni serikali zote duniani, tumeona kina Kasshoggi. PaKa anachofanya wapinzani.

Kutunishiana vifua na serikali, dola, binafsi NO, tokea niwe na familia, nikiangalia watoto nani atawaangalia na kuwajali wasome, wale wawe na maisha, sioni mtu wa kuwaonea uchungu ka mimi.
Wataishia kuwa vichokoraa!!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Ushahidi unao ikiwa serikali haina wewe unao?
 
Hizi ngonjera za mashekh mbona zimekithiri sana siku hizi! Shura ya maimamu ndo wasemaji wa mashekhe Tanzania?

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…