Mwongozo huu wa kiislamu ni mzuri sana kwa watu makini na wenye kuipenda Tanzania, umeonyesha maeneo ya kipaumbele ya kufanyia kazi haraka kwa amani ya nchi! viongozi wa serikali inabidi wausome, na kuuzingatia. Anayeupinga ni mbaguzi na mnafiki asiyetaka kusikia ukweli . bravo shura ya maimamu.
Maneno sawia kabisa naungana mkono na wewe kwa asilimia zoooooooote.
Tumaini umenena kweli. Mola akubariki kwa kuliona hilo.
I dont think kwamba shura ya maimamu ndiyo THINK TANK ya waislam...... wengine wanafuata mkumbo tuuuHivi Shura ya Maimamu ndiyo THINK TANK ya Waislamu au
Kwa sababu wa kikatoliki unalenga ubaguzi na wa kiislamu umeonyesha facts, facts ambazo ni muhimu kwa uhai wa taifa.
Maneno sawia kabisa naungana mkono na wewe kwa asilimia zoooooooote.
Tumaini umenena kweli. Mola akubariki kwa kuliona hilo.
Hata siku moja siungani nao na nina sababu za msingi kuupinga.Je una ungana mkono pia na waraka wa wakatoliki?
Maneno sawia kabisa naungana mkono na wewe kwa asilimia zoooooooote.
Tumaini umenena kweli. Mola akubariki kwa kuliona hilo.
Hata siku moja siungani nao na nina sababu za msingi kuupinga.
wewe unataka kukutana naye ili nini? weka mawazo yako hii si sehemu ya kuomba appointment ndugu?Mjitu mingine unatamani hata usikutane nayo.Maneno ya kwenye bao unaleta jamvini.
wewe unataka kukutana naye ili nini? weka mawazo yako hii si sehemu ya kuomba appointment ndugu?
Hata siku moja siungani nao na nina sababu za msingi kuupinga.
Yaani kwa jinsi wanavyojuwa kuvaa mabomu, utadhani mabumu nayo ni MAISLAMU. Maana nadhani hadi misikitini wanaingia nayo utadhani na yenyewe yanaenda kuswaliIli atumie vifaa vya kugundua suicide bomb belts. Watu kama hawa usikute wanatembea wakiwa wamevaa mabomu wanasubiria tu amri toka kwa Osama bin laden
Yaani kwa jinsi wanavyojuwa kuvaa mabomu, utadhani mabumu nayo ni MAISLAMU. Maana nadhani hadi misikitini wanaingia nayo utadhani na yenyewe yanaenda kuswali
Nakubaliana nawe mtoa hoja kwa bahati mbaya Waislam wengi hatutaki kukubali mapungufu yetu inafahamika wazi katika nchi yetu na nchi nyingine za kiislam hawakutilia maanani elimu utakuta katika sehemu nyingi ambapo dini yetu ilikita sana wako nyuma kielimu na inafahamika wazi katika ulimwengu wa sasa.Wenzetu wakristu ili swala walilitazama ukiangalia sehemu ambazo zimeendelea kielimu shule nyingi zilijengwa na wao na wengi tumepata elimu ktk shule hizo.Waislam tulipokuruka kuanzisha shule nyingi zilikua au ziko katika kiwango dhaifu na matokeo ya mitiahani ktk shule hizi yanaeleweka.Sawa tanzania kuna wakristu (Wakatoliki n.k)Kazi au mchango wa madhehebu katika huduma za jamii inafahamika Shule,mahospitali n.k.Sisi waislam tunapo jenga shulea au zahanati tunafanya hivyo kwa kuiga na bila kujiandaa.Na huo walaka wetu tumeiga na wala hautoki rohoni tunafanya hivyo kwa sababu tu ya kuwa wakristo wamefanya hivyo.Tunawalaumu wakristo!Somalia,Jibut,Sudan,Palestina n.k.Na huko vikwazo vya maendeleo yao ni wakristu?!!!!.NI MUHIMU KWETU SISI WAISLAM KUYAELEWA MAPUNGU YETU NA KUYATAFUTIA UFUMBUZI NA SIO KUPOTEZA MUDA KUTOA SHUTUMA ZA KUJIRIWADHA ZISIZO NA NGUVU YA HOJA.HOJA HIZO ZINAPWAYA KATIKA JAMII KWANI HAZINA NGUVU-HEKAYA YA ABUNWASI!Nimejitahidi kuusoma waraka huu kwa haraka haraka kwa kuwa sikuvutia kutumua muda wangu mwingi. Waraka unaonyesha uwezo mdogo walionao waandaaji hasa katika masuala ya siasa, dini na ushawishi kwa ujumala.
Waraka huu umekaa kama mhadhara wa kawaida kama ile ambayo huwa inatolewa ktk baadhi ya misikiti hapa bongo. Waraka umetumia kurasa nyingi kumlaumu Nyerere, Kanisa katoliki na ukristo kuliko mlengwa ambae ni Serikali.
Waraka haukujikita kuchambua sera bali umeonyesha baadhi ya yale yanayoonekana ni kero hasa kutokana na kutofuata sheria zilizopo. 35% unaongelea Kanisa Katoliki, 35% Uislam na waislam, 20% wakristo na 10% tu ndo inaongelea Serikali, Sera na uchaguzi 2010.
Binafsi waraka huu umenionyesha 'uwezo' wa wahusika katika kuyajua na kuchambua mambo.
Mwongozo hauna shida yeyote ile..ila ule wa kikristo ungekuwa neutra kama huu basi inabidi watu muusome bila kuwa na hiden agenda na chuki zenu.
wewe umesoma sana! mpaka darasa la ngapi vile st.....primary school! duu kazi kweli kweli.Watu wenyewe hata shule hampendi mtaweza kusoma kweli? Dini zingine balaa tu
wewe umesoma sana! mpaka darasa la ngapi vile st.....primary school! duu kazi kweli kweli.