Tumain
JF-Expert Member
- Jun 28, 2009
- 3,154
- 71
baada ya hapo ukaenda st....and kakobe full gospel evening class...Pale kwenye madrasa ya msikiti wa Mtoro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
baada ya hapo ukaenda st....and kakobe full gospel evening class...Pale kwenye madrasa ya msikiti wa Mtoro
Nakubaliana nawe mtoa hoja kwa bahati mbaya Waislam wengi hatutaki kukubali mapungufu yetu inafahamika wazi katika nchi yetu na nchi nyingine za kiislam hawakutilia maanani elimu utakuta katika sehemu nyingi ambapo dini yetu ilikita sana wako nyuma kielimu na inafahamika wazi katika ulimwengu wa sasa.Wenzetu wakristu ili swala walilitazama ukiangalia sehemu ambazo zimeendelea kielimu shule nyingi zilijengwa na wao na wengi tumepata elimu ktk shule hizo.Waislam tulipokuruka kuanzisha shule nyingi zilikua au ziko katika kiwango dhaifu na matokeo ya mitiahani ktk shule hizi yanaeleweka.Sawa tanzania kuna wakristu (Wakatoliki n.k)Kazi au mchango wa madhehebu katika huduma za jamii inafahamika Shule,mahospitali n.k.Sisi waislam tunapo jenga shulea au zahanati tunafanya hivyo kwa kuiga na bila kujiandaa.Na huo walaka wetu tumeiga na wala hautoki rohoni tunafanya hivyo kwa sababu tu ya kuwa wakristo wamefanya hivyo.Tunawalaumu wakristo!Somalia,Jibut,Sudan,Palestina n.k.Na huko vikwazo vya maendeleo yao ni wakristu?!!!!.NI MUHIMU KWETU SISI WAISLAM KUYAELEWA MAPUNGU YETU NA KUYATAFUTIA UFUMBUZI NA SIO KUPOTEZA MUDA KUTOA SHUTUMA ZA KUJIRIWADHA ZISIZO NA NGUVU YA HOJA.HOJA HIZO ZINAPWAYA KATIKA JAMII KWANI HAZINA NGUVU-HEKAYA YA ABUNWASI!
Nahisi wewe si Muislam............ Haiwezekani kabisaaaa........ Wewe lazima utakuwa mkristu............Nakubaliana nawe mtoa hoja kwa bahati mbaya Waislam wengi hatutaki kukubali mapungufu yetu inafahamika wazi katika nchi yetu na nchi nyingine za kiislam hawakutilia maanani elimu utakuta katika sehemu nyingi ambapo dini yetu ilikita sana wako nyuma kielimu na inafahamika wazi katika ulimwengu wa sasa.Wenzetu wakristu ili swala walilitazama ukiangalia sehemu ambazo zimeendelea kielimu shule nyingi zilijengwa na wao na wengi tumepata elimu ktk shule hizo.Waislam tulipokuruka kuanzisha shule nyingi zilikua au ziko katika kiwango dhaifu na matokeo ya mitiahani ktk shule hizi yanaeleweka.Sawa tanzania kuna wakristu (Wakatoliki n.k)Kazi au mchango wa madhehebu katika huduma za jamii inafahamika Shule,mahospitali n.k.Sisi waislam tunapo jenga shulea au zahanati tunafanya hivyo kwa kuiga na bila kujiandaa.Na huo walaka wetu tumeiga na wala hautoki rohoni tunafanya hivyo kwa sababu tu ya kuwa wakristo wamefanya hivyo.Tunawalaumu wakristo!Somalia,Jibut,Sudan,Palestina n.k.Na huko vikwazo vya maendeleo yao ni wakristu?!!!!.NI MUHIMU KWETU SISI WAISLAM KUYAELEWA MAPUNGU YETU NA KUYATAFUTIA UFUMBUZI NA SIO KUPOTEZA MUDA KUTOA SHUTUMA ZA KUJIRIWADHA ZISIZO NA NGUVU YA HOJA.HOJA HIZO ZINAPWAYA KATIKA JAMII KWANI HAZINA NGUVU-HEKAYA YA ABUNWASI!
Tatizo si idadi yao, bali waliingiaje huko..???? Sidhani kama tunaingia bungeni kwa kuangalia dini ya mtu........ Kama wakatoliki ni 20%....... Inakuwaje mkawachagua hao wakati nyie wengine mpo 80%..???? na hii 80% inatosha kuwang'oa kwa kura. Kwa maana hiyo mmeona wanafaa ndiyo maana mkawachagua. IF CHUKULIA = ASSUMPTIONS, THEN ALL FACTS HAVE NOT BEEN PUT INTO CONSIDERATION.Hakika Tanganika kuna mengi sana. Utaona wakatoliki wengi hawapendi wengine watoe nyaraka zao bila shaka kuna namna kwenye hizo nyaraka.
labda nikudondolee kidogo mara baada ya JK Nyerere kuondoka madarakani kwani yeye ndie aliyeweza kulibeba kanisa Katoliki huko Tanzania.
ndipo wakatoliki wakaanza sasa kuanzisha kutoa mwongozo (waraka ) kwa wananchi wote kwa pazia la kuwaelekeza waumini wao namna ya kupata viongozi bora.
Sasa chukulia Wakatoliki ni chini ya 20% ya Watanganika wote lakini ndani ya chombo cha kutunga sheria kwa maana Bungeni wapo 73.2% ya wabunge wote wanaotoka Tanganyika.
Kulikoni?
hapo ndipo utagundua nini siri kubwa ya waraka wa wakatoliki.
Ok all in all. you can fool some people sometime But you can't fool all the people all the time
Mwongozo hauna shida yeyote ile..ila ule wa kikristo ungekuwa neutra kama huu basi inabidi watu muusome bila kuwa na hiden agenda na chuki zenu.
.Sheria ziko wazi isipokuwa utekelezaje wake ndugu yangu! Wabunge wetu huwa wanapata shida sana kutunga Sheria ambazo baadaye zinakuja kuwa hazina msimamizi! Sasa kama 75% ya Jiji la Dar es Salaam ina makazi holela (yasiyofuata Sheria za Mipango Miji), sasa jiulize kuna usimamizi wa Sheria hapo? Kuna maeneo yakishika moto au kuvamiwa na majambazi hakuna gari inayoweza kufika kutoa msaada. Hata uzoaji taka wa maeneo hayo ni mgumu mno! Hiyo ndiyo nchi yetu! Mimi simlaumu anayejenga msikiti, baa, gereji, n.k. kwenye makazi ya watu, wapo wa kulaumu!
__________________
Barubaru utakuwa umefika mwisho wa uelewa wako, maana uliyemkwoti, na unachomjibu hata havina uhusiano..........
ndugu yangu soma mada kisha elewa na sio kukurupuka.
Kwanza kabisa elewa Ukatoliki sio ukristo pekee, hiyo ni sehemu tu ya ukristo yaani kuna Walutheri, Waanglicana, Wasabato na wengine engi kama walokole n.k.n.k.
Ninaposema wakatoliki haazidi 20% ya waTanganika sisemi wakristu. bali nazungumzia hiki kikundi kidogo cha madhehebu ya kikatoliki ndani ya ukristu.
Sasa ninaposema 73.2% i wakatoliki pekee na sio Wakristo wote. Kama unataka kujua idadi wa wakristu wote bungeni wanaotoka tanganyika ni 93.2%. hapo nimewatoa wale wa Zanzibar ambao ni 100% waislamu.
Sasa kama una hoja leta
Tatizo si idadi yao, bali waliingiaje huko..???? Sidhani kama tunaingia bungeni kwa kuangalia dini ya mtu........ Kama wakatoliki ni 20%....... Inakuwaje mkawachagua hao wakati nyie wengine mpo 80%..???? na hii 80% inatosha kuwang'oa kwa kura. Kwa maana hiyo mmeona wanafaa ndiyo maana mkawachagua. IF CHUKULIA = ASSUMPTIONS, THEN ALL FACTS HAVE NOT BEEN PUT INTO CONSIDERATION.

Yaani umekasirika hadi umeposti the same thing mara mbili, kweli wewe ni muislam..........Anyway kwenye post yangu hakuna niliposema kuwa 20% ni wakristu, bali wakatoliki. Back to my point HOW COME 20% WAWASHINDE 80%. The 93.2% you mentined should tell you something about uwezo wa waislam na wakristu kwenye uongozi. WHY IS IT NOT THE OTHER WAY ROUND..?????ndugu yangu soma mada kisha elewa na sio kukurupuka.
Kwanza kabisa elewa Ukatoliki sio ukristo pekee, hiyo ni sehemu tu ya ukristo yaani kuna Walutheri, Waanglicana, Wasabato na wengine engi kama walokole n.k.n.k.
Ninaposema wakatoliki haazidi 20% ya waTanganika sisemi wakristu. bali nazungumzia hiki kikundi kidogo cha madhehebu ya kikatoliki ndani ya ukristu.
Sasa ninaposema 73.2% i wakatoliki pekee na sio Wakristo wote. Kama unataka kujua idadi wa wakristu wote bungeni wanaotoka tanganyika ni 93.2%. hapo nimewatoa wale wa Zanzibar ambao ni 100% waislamu.
Sasa kama una hoja leta
![]()
Hizi ndio fitna za kidini.
Inashangaza serikali inawezaje kuruhusu waraka hatari kama huu kusambazwa wazi kabisa bila kificho. Hivi hii nchi ina viongozi kweli?
Wewe, Maaskofu na BAKWATA hamwezi kuzuia waraka mtabaki mnapiga kelele..hizo facts..zimesemwa soma between line naondoa biased mind utaelewa nau muulize pengo maan yeye ameelewa ukweli ila anapenda vyeo vya kanisa hana namnaActually ni vizuri serikali imeruhusu waraka huu ukasambazwa maana ni ubatili mtupu! Nilitegemea kitu zaidi ya niliyoyasoma. Waraka umeandikwa ki-ukewenza zaidi. Sasa nimeelewa kwa nini BAKWATA walikaa mbali na ubatili huu.
Wewe, Maaskofu na BAKWATA hamwezi kuzuia waraka mtabaki mnapiga kelele..hizo facts..zimesemwa soma between line naondoa biased mind utaelewa nau muulize pengo maan yeye ameelewa ukweli ila anapenda vyeo vya kanisa hana namna
Mwongozo hauna shida yeyote ile..ila ule wa kikristo ungekuwa neutra kama huu basi inabidi watu muusome bila kuwa na hiden agenda na chuki zenu.
labda nikudondolee kidogo mara baada ya JK Nyerere kuondoka madarakani kwani yeye ndie aliyeweza kulibeba kanisa Katoliki huko Tanzania.
ndipo wakatoliki wakaanza sasa kuanzisha kutoa mwongozo (waraka ) kwa wananchi wote kwa pazia la kuwaelekeza waumini wao namna ya kupata viongozi bora.
Sasa chukulia Wakatoliki ni chini ya 20% ya Watanganika wote lakini ndani ya chombo cha kutunga sheria kwa maana Bungeni wapo 73.2% ya wabunge wote wanaotoka Tanganyika.
Kulikoni?
hapo ndipo utagundua nini siri kubwa ya waraka wa wakatoliki.
Ok all in all. you can fool some people sometime But you can't fool all the people all the time
Magehema mimi nafikiri tutafika kwani bila kuambiana ukweli basi kutakuwa na nidhamu ya woga. Bora kila mtu aseme dukuduku lake kwa kutoa facts na sio lugha chafu za kashfa na matusi.Je Tutafika?