Waraka wa Waislam Kuelekea Uchaguzi

Waraka wa Waislam Kuelekea Uchaguzi

Nakubaliana nawe mtoa hoja kwa bahati mbaya Waislam wengi hatutaki kukubali mapungufu yetu inafahamika wazi katika nchi yetu na nchi nyingine za kiislam hawakutilia maanani elimu utakuta katika sehemu nyingi ambapo dini yetu ilikita sana wako nyuma kielimu na inafahamika wazi katika ulimwengu wa sasa.Wenzetu wakristu ili swala walilitazama ukiangalia sehemu ambazo zimeendelea kielimu shule nyingi zilijengwa na wao na wengi tumepata elimu ktk shule hizo.Waislam tulipokuruka kuanzisha shule nyingi zilikua au ziko katika kiwango dhaifu na matokeo ya mitiahani ktk shule hizi yanaeleweka.Sawa tanzania kuna wakristu (Wakatoliki n.k)Kazi au mchango wa madhehebu katika huduma za jamii inafahamika Shule,mahospitali n.k.Sisi waislam tunapo jenga shulea au zahanati tunafanya hivyo kwa kuiga na bila kujiandaa.Na huo walaka wetu tumeiga na wala hautoki rohoni tunafanya hivyo kwa sababu tu ya kuwa wakristo wamefanya hivyo.Tunawalaumu wakristo!Somalia,Jibut,Sudan,Palestina n.k.Na huko vikwazo vya maendeleo yao ni wakristu?!!!!.NI MUHIMU KWETU SISI WAISLAM KUYAELEWA MAPUNGU YETU NA KUYATAFUTIA UFUMBUZI NA SIO KUPOTEZA MUDA KUTOA SHUTUMA ZA KUJIRIWADHA ZISIZO NA NGUVU YA HOJA.HOJA HIZO ZINAPWAYA KATIKA JAMII KWANI HAZINA NGUVU-HEKAYA YA ABUNWASI!

ndugu yangu usikurupuke kuandika mambo bila kufanya tafiti.

Ni nchi gani ya kiarabu ambayo watu wake hawajasoma na uchumi wake unaendeshwa na wageni especially wazungu. Watanzania mnaojifanya mmesoma, mbona uchumi wenu unatawaliwa na wazungu tena wale wa VATICAN.

Rejea kabla au hata mwaka 1964. Zanzibar ni nchi ndogo sana lakini ilikuwa na wasomi wengi sana kulinganisha na Uganda na tanganyika wakati huo. Kenya ndio iliizidi Zanzibar mpaka 1964.

Tuelewe kuwa Elimu Tanzania ilidumazwa na kanisa kwani waislam hawakuwa wamepewa fursa za kusoma kama walivyokuwa wahindi. rejea hapo dar shule kama Tambaza, Azania, Jangwanani na zanaki zote zilikuwa za waislamu.

Kwa taarifa zaidi soma kitabu cha Padre salvano kinachoitwa kanisa na siasa za tanzania, utaona mengi.

hata ukisoma historia vizuri utaona Wakoloni wa kiingereza walitumia divide and rule kuitawala East Africa. Kenya na Uganda walitumia Ukabila. Kwa vile kule kuna makabila machache. Walipokuja Tanganika kwa kuwa kulikuwa na makabila mengi hivyo walitumia UDINI kuitawala.

waislamu wa tanganyika walidumazwa na sasa ndio wanashituka ndio maana mambo mengi huko yanakuwa moto. Kwani wakristo walizoea kuwaburuza waislamu. sasa wanataka haki zao.
 
Hakika Tanganika kuna mengi sana. Utaona wakatoliki wengi hawapendi wengine watoe nyaraka zao bila shaka kuna namna kwenye hizo nyaraka.

labda nikudondolee kidogo mara baada ya JK Nyerere kuondoka madarakani kwani yeye ndie aliyeweza kulibeba kanisa Katoliki huko Tanzania.

ndipo wakatoliki wakaanza sasa kuanzisha kutoa mwongozo (waraka ) kwa wananchi wote kwa pazia la kuwaelekeza waumini wao namna ya kupata viongozi bora.

Sasa chukulia Wakatoliki ni chini ya 20% ya Watanganika wote lakini ndani ya chombo cha kutunga sheria kwa maana Bungeni wapo 73.2% ya wabunge wote wanaotoka Tanganyika.

Kulikoni?

hapo ndipo utagundua nini siri kubwa ya waraka wa wakatoliki.

Ok all in all. you can fool some people sometime But you can't fool all the people all the time
 
Nakubaliana nawe mtoa hoja kwa bahati mbaya Waislam wengi hatutaki kukubali mapungufu yetu inafahamika wazi katika nchi yetu na nchi nyingine za kiislam hawakutilia maanani elimu utakuta katika sehemu nyingi ambapo dini yetu ilikita sana wako nyuma kielimu na inafahamika wazi katika ulimwengu wa sasa.Wenzetu wakristu ili swala walilitazama ukiangalia sehemu ambazo zimeendelea kielimu shule nyingi zilijengwa na wao na wengi tumepata elimu ktk shule hizo.Waislam tulipokuruka kuanzisha shule nyingi zilikua au ziko katika kiwango dhaifu na matokeo ya mitiahani ktk shule hizi yanaeleweka.Sawa tanzania kuna wakristu (Wakatoliki n.k)Kazi au mchango wa madhehebu katika huduma za jamii inafahamika Shule,mahospitali n.k.Sisi waislam tunapo jenga shulea au zahanati tunafanya hivyo kwa kuiga na bila kujiandaa.Na huo walaka wetu tumeiga na wala hautoki rohoni tunafanya hivyo kwa sababu tu ya kuwa wakristo wamefanya hivyo.Tunawalaumu wakristo!Somalia,Jibut,Sudan,Palestina n.k.Na huko vikwazo vya maendeleo yao ni wakristu?!!!!.NI MUHIMU KWETU SISI WAISLAM KUYAELEWA MAPUNGU YETU NA KUYATAFUTIA UFUMBUZI NA SIO KUPOTEZA MUDA KUTOA SHUTUMA ZA KUJIRIWADHA ZISIZO NA NGUVU YA HOJA.HOJA HIZO ZINAPWAYA KATIKA JAMII KWANI HAZINA NGUVU-HEKAYA YA ABUNWASI!
Nahisi wewe si Muislam............ Haiwezekani kabisaaaa........ Wewe lazima utakuwa mkristu............
 
Hakika Tanganika kuna mengi sana. Utaona wakatoliki wengi hawapendi wengine watoe nyaraka zao bila shaka kuna namna kwenye hizo nyaraka.

labda nikudondolee kidogo mara baada ya JK Nyerere kuondoka madarakani kwani yeye ndie aliyeweza kulibeba kanisa Katoliki huko Tanzania.

ndipo wakatoliki wakaanza sasa kuanzisha kutoa mwongozo (waraka ) kwa wananchi wote kwa pazia la kuwaelekeza waumini wao namna ya kupata viongozi bora.

Sasa chukulia Wakatoliki ni chini ya 20% ya Watanganika wote lakini ndani ya chombo cha kutunga sheria kwa maana Bungeni wapo 73.2% ya wabunge wote wanaotoka Tanganyika.

Kulikoni?

hapo ndipo utagundua nini siri kubwa ya waraka wa wakatoliki.

Ok all in all. you can fool some people sometime But you can't fool all the people all the time
Tatizo si idadi yao, bali waliingiaje huko..???? Sidhani kama tunaingia bungeni kwa kuangalia dini ya mtu........ Kama wakatoliki ni 20%....... Inakuwaje mkawachagua hao wakati nyie wengine mpo 80%..???? na hii 80% inatosha kuwang'oa kwa kura. Kwa maana hiyo mmeona wanafaa ndiyo maana mkawachagua. IF CHUKULIA = ASSUMPTIONS, THEN ALL FACTS HAVE NOT BEEN PUT INTO CONSIDERATION.
 
Mwongozo hauna shida yeyote ile..ila ule wa kikristo ungekuwa neutra kama huu basi inabidi watu muusome bila kuwa na hiden agenda na chuki zenu.

Waraka wa wakatoliki umepinga free lunch ya mahakama ya kazi na hii ndio shida yenu Boko Haram, kupenda vya bure
 
Sheria ziko wazi isipokuwa utekelezaje wake ndugu yangu! Wabunge wetu huwa wanapata shida sana kutunga Sheria ambazo baadaye zinakuja kuwa hazina msimamizi! Sasa kama 75% ya Jiji la Dar es Salaam ina makazi holela (yasiyofuata Sheria za Mipango Miji), sasa jiulize kuna usimamizi wa Sheria hapo? Kuna maeneo yakishika moto au kuvamiwa na majambazi hakuna gari inayoweza kufika kutoa msaada. Hata uzoaji taka wa maeneo hayo ni mgumu mno! Hiyo ndiyo nchi yetu! Mimi simlaumu anayejenga msikiti, baa, gereji, n.k. kwenye makazi ya watu, wapo wa kulaumu!
__________________
.

ndugu yangu soma mada kisha elewa na sio kukurupuka.

Kwanza kabisa elewa Ukatoliki sio ukristo pekee, hiyo ni sehemu tu ya ukristo yaani kuna Walutheri, Waanglicana, Wasabato na wengine engi kama walokole n.k.n.k.

Ninaposema wakatoliki haazidi 20% ya waTanganika sisemi wakristu. bali nazungumzia hiki kikundi kidogo cha madhehebu ya kikatoliki ndani ya ukristu.

Sasa ninaposema 73.2% i wakatoliki pekee na sio Wakristo wote. Kama unataka kujua idadi wa wakristu wote bungeni wanaotoka tanganyika ni 93.2%. hapo nimewatoa wale wa Zanzibar ambao ni 100% waislamu.

Sasa kama una hoja leta
 
Barubaru utakuwa umefika mwisho wa uelewa wako, maana uliyemkwoti, na unachomjibu hata havina uhusiano.........
 
Tatizo si idadi yao, bali waliingiaje huko..???? Sidhani kama tunaingia bungeni kwa kuangalia dini ya mtu........ Kama wakatoliki ni 20%....... Inakuwaje mkawachagua hao wakati nyie wengine mpo 80%..???? na hii 80% inatosha kuwang'oa kwa kura. Kwa maana hiyo mmeona wanafaa ndiyo maana mkawachagua. IF CHUKULIA = ASSUMPTIONS, THEN ALL FACTS HAVE NOT BEEN PUT INTO CONSIDERATION.

ndugu yangu soma mada kisha elewa na sio kukurupuka.

Kwanza kabisa elewa Ukatoliki sio ukristo pekee, hiyo ni sehemu tu ya ukristo yaani kuna Walutheri, Waanglicana, Wasabato na wengine engi kama walokole n.k.n.k.

Ninaposema wakatoliki haazidi 20% ya waTanganika sisemi wakristu. bali nazungumzia hiki kikundi kidogo cha madhehebu ya kikatoliki ndani ya ukristu.

Sasa ninaposema 73.2% i wakatoliki pekee na sio Wakristo wote. Kama unataka kujua idadi wa wakristu wote bungeni wanaotoka tanganyika ni 93.2%. hapo nimewatoa wale wa Zanzibar ambao ni 100% waislamu.

Sasa kama una hoja leta
progress.gif
 
Yaani umekasirika hadi umeposti the same thing mara mbili, kweli wewe ni muislam..........Anyway kwenye post yangu hakuna niliposema kuwa 20% ni wakristu, bali wakatoliki. Back to my point HOW COME 20% WAWASHINDE 80%. The 93.2% you mentined should tell you something about uwezo wa waislam na wakristu kwenye uongozi. WHY IS IT NOT THE OTHER WAY ROUND..?????
 
Hizi ndio fitna za kidini.

Inashangaza serikali inawezaje kuruhusu waraka hatari kama huu kusambazwa wazi kabisa bila kificho. Hivi hii nchi ina viongozi kweli?

Actually ni vizuri serikali imeruhusu waraka huu ukasambazwa maana ni ubatili mtupu! Nilitegemea kitu zaidi ya niliyoyasoma. Waraka umeandikwa ki-ukewenza zaidi. Sasa nimeelewa kwa nini BAKWATA walikaa mbali na ubatili huu.
 
Wewe, Maaskofu na BAKWATA hamwezi kuzuia waraka mtabaki mnapiga kelele..hizo facts..zimesemwa soma between line naondoa biased mind utaelewa nau muulize pengo maan yeye ameelewa ukweli ila anapenda vyeo vya kanisa hana namna
 
Hah ... maboko haramu wa Tanzania mnapenda kweli kujifariji ila hamtakaa kuibadili Tanzania kuwa nchi ya kiislam maana kipigo mtakachopata hata kile cha Naijeria kitakuwa cha mtoto.
 
Mwongozo hauna shida yeyote ile..ila ule wa kikristo ungekuwa neutra kama huu basi inabidi watu muusome bila kuwa na hiden agenda na chuki zenu.

Kama ni neutral mbona sehemu nyingi inasema "Maslahi ya Waislamu" badala ya "maslahi ya Taifa" au "maslahi ya Watanzania"? Mkuu unakua muongo na wakati waraka upo na maneno yake yapo? Duh! Haya what's your definition of neutral? Nilikupa challenge huko nyuma umekwepa.
 
Re: Waraka wa Waislam Kuelekea Uchaguzi Quote:
Originally Posted by HM Hafif
Maneno sawia kabisa naungana mkono na wewe kwa asilimia zoooooooote.

Tumaini umenena kweli. Mola akubariki kwa kuliona hilo.

Mjitu mingine unatamani hata usikutane nayo.Maneno ya kwenye bao unaleta jamvini.

Kabonde, sina muda mchafu wa kukutana nawe. naomba kama ulikuwa unataka kuonana nami BASI MIMI SITAKI hata chembe kukuona nina watu wengi wa kuonana nao sio wewe. Labda after 100 yrs
 
labda nikudondolee kidogo mara baada ya JK Nyerere kuondoka madarakani kwani yeye ndie aliyeweza kulibeba kanisa Katoliki huko Tanzania.

ndipo wakatoliki wakaanza sasa kuanzisha kutoa mwongozo (waraka ) kwa wananchi wote kwa pazia la kuwaelekeza waumini wao namna ya kupata viongozi bora.

Sasa chukulia Wakatoliki ni chini ya 20% ya Watanganika wote lakini ndani ya chombo cha kutunga sheria kwa maana Bungeni wapo 73.2% ya wabunge wote wanaotoka Tanganyika.

Kulikoni?

hapo ndipo utagundua nini siri kubwa ya waraka wa wakatoliki.

Ok all in all. you can fool some people sometime But you can't fool all the people all the time

Dr Hamza nakushukuru Ammi kwa kunipa dara hapa.

Kumbe waraka ulianza kutolewa mara baada ya Nyerere kutoka madarakani. Hakika Huyu alikuwa kibaraka wa kanisa.

Ahsante tumejuwa mengi Dokta
 
Je Tutafika?
Magehema mimi nafikiri tutafika kwani bila kuambiana ukweli basi kutakuwa na nidhamu ya woga. Bora kila mtu aseme dukuduku lake kwa kutoa facts na sio lugha chafu za kashfa na matusi.

Tuombe tu Na tutafika salama
 
Back
Top Bottom