Elections 2010 Waraka wa Waislam Kuhusu Uchaguzi Wakamilika

<Mjinga akierevuka mwerevu yupo mashakani>
Nemesis,
I say leo umenichekesha sana!!!

 
Nginda1 hongera kwa kuwa mzalendo wa Tanganyika

Kuhusu Kenya ni PM nikupe data ndugu

Kwa ufupi ni kwamba damu ile iliyomwagika ipo mikononi mwa waislamu na odinga.
 
Tatizo hapa si muisilamu au Mkristo, cha muhimu ni kupata uongozi utakao kua responsible, visionary, creative, understanding n.k regardless ya dini yake.
 
Tatizo hapa si muisilamu au Mkristo, cha muhimu ni kupata uongozi utakao kua responsible, visionary, creative, understanding n.k regardless ya dini yake.

Sasa tutapataje kama kunakuwa na kura za kundi maslahi la kidini?
 
kwa hiyo wewe unafurahia hili? kama ndiyo, huna mapenzi na nchi yako na umetanguliza dini na ubinafsi.

Rafiki unajua waislamu wana kasumba mbaya sana ya kutaka kila mtu akubali wanayofanya na kutaka wao ndiyo sahihi.
Ni vizuri tufike huko tunalokwenda ili jawabu zuri lipatikane.

Hafu ubaguzi wakifanya waislamu mnaona poa tuu, tukianza wakrsitu mnakuja juuu, Nyoooooo mwaka huu lazima kieleweke tuu.
 


Ule wakwenu mbona unauzwa au hulijuwi hilo?? Na mnalipia kodi kiasi gani??
 
jamani liwalo na liwe maana watanzania tumekuwa tunaogopa sana mabadiliko ninafikili kama dama imwagike tu tunyooshane ili adabu irudi baina yetu sisi ndio kilicho baki.
 

Labda kama hujui nchi hii inavyoendeshwa. Usidhani Kikwete kanyamaza hajui pamoja na udhaifu alionao lakini hawezi kuruhusu mwanya wa udini wala ukabila kushamiri hapa Tanzania. Serikali bado ina nguvu ya kudhubiti fujo zozote zile mahali popote pale.

Anayetaka kujua ajaribu tu hata kuandaa maandamano yanayo husu kupinga au kudharau dini nyingine aone.
 

Kwanza Ponda anakumbuka alivyo ponea chupu chupu issue ya mwembe chai, sasa anaanza tena this time hatapona. Isitoshe ponda ni raia wa burundi sasa kama antaka kurudi kwa Nkurunzinza asema.
 
kweli nimeamini Wakatoliki ni baba wa Dunia na wote wenye imani ni lazima wafuate nyayo za wakatoliki
Maana baada ya wakatoliki kutoa Waraka, nikaona CCM hapatoshi, lakini kama kawaida ya influence ya Wakatoliki Waislamu nao wakaingia kwenye mkumbo huohuo, sasa ngoja tusubiri waraka wa CUF, CCM na wengine wenye dini
Nasikia wa Mtikila upo njiani
 

Maalim Seif hana haja ya kujibu huu muongozo wa Kiislamu. Maalim Seif anatetea maslahi ya Wazanzibar ambao majority ni Waislamu. Kwa hiyo siyo lazima kwa yeye kuujibu.
 

Kumbuka Dar, ndiyo TZ, na majority ni Waislamu kazi kwenu.
 
Sasa tutapataje kama kunakuwa na kura za kundi maslahi la kidini?

Maslahi siyo tatizo kwa vikundi vya kidini. Nchi zilizoendelea zina lobby vitu vingi tu. Tusipanic na hizi kampeni, NeoConservative in USA wanakwenda na Gun kwenye mikutano ya Obama. Hizi ni kampeni tu.
 


Simoni hujui nani atashinda?
CCM itashinda, cha kushangaza zaidi watarudi mafisadi walewale.
Pia utakuwa mwisho wa CUF Tanganyika.

Umesema kweli mkuu mshindi ni ccm hakuna ubishi na mafisadi ndo watarudi madarakani tena kaka yangu ndo atarudia uwadhiri mkuu atii na hawa wapiga ramli watakuwa kimyaa kama hawapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…