Elections 2010 Waraka wa Waislam Kuhusu Uchaguzi Wakamilika

Elections 2010 Waraka wa Waislam Kuhusu Uchaguzi Wakamilika

Malunde- Malundi,
Mkuu hata siku moja huwezi kuniona mimi nikifundisha Kuran kwa sababu sii zangu wala sina kazi ya kumbadilisha mtu kwani dini ni chaguo la Mhusika..Atasoma vitabu kujielemisha yeye mwenyewe..
Kinachoniudhi mimi ni pale mtu anapotumia neno Waislaam kama vile watu wasiokuwa na akili. sasa ikiwa kweli mnatuyona hatuna akili ya nini kuzungumza na vichaa..
I respect mchango wako bila kujali dini yako lakini unapokuja nitangazia dini yako ni lazima nawe ukubali mawazo yangu maanake hakuna kati yetu aliyeandaliwa pepo (Heaven) tayari..
 
Lunyungu,
Sijasema huruhusiwi kuzungumzia OIC au mahakama ya kadhi na kutoa mawazo yako.. Tatizo lako huzungumzii OIC au mahakama ya kadhi ila unazungumzia Waislaam..kwani waraka haukuandikwa na OIC au mahakama ya kadhi..
Na ili mawazo yako yapate kuhesabika au kuheshimiwa inabidi nawe kwanza weka heshima ktk mawazo ya waislaam na ujue nao pia wana uhuru kama ulokuwa nao wewe..kisha pinga hoja kwa hoja na sio kuwaona wao wajinga wasiokuwa na maana wakati wewe mwenyewe hujui unakokwenda..
 
Waraka wa waislam kwa mwelekeo tu na maneno ya akina Yahaya msoma nyota na wengineo hakika lazima utazungumzia waislam kuonewa na kutaka kuwachagua waislam hapo hakuna kitu na kama mnabisha mie nakaa kimya uletwe hapa watu watakimbia .Utakuwa aibu kwa nature tu ya jamaa zangu hawa pupa na papara .Mungu anawapigania watu na Mungu hapiganiwi na mwanadamu.Duh !! haya

Based na maandishi yako nakubaliana na wewe kabisa offcourse itakua ni maslahi yao kutokona na fikra zao, chombo chocote chenye mamna ya kufikiria kitapendekeza kitu kwa jinsi ya fikri zao regardless., tusiongopeane hapa. Waandamane wao kama kina nani na kwa ruksa gani kwani ni waislamu tu ndio walioko tanzania kuna watu wanathamini kabila zao kuliko dini zao na wao basi watoe Waraka zao alafu waandamane mbona atuna waziri hata mmoja katika baraza la mawaziri sijui ishirini na kitu kutoka kabila letu.

Kuna watu wengi humu ndani wanaweka imani kwanza kabla ya watanzania wote. dini yeyote au kabila yeyote ni Imani tu ni vitu ambavyo avi reflect the whole society waende na upuuzi wao hata sisi ni wadini lakini tunaweka uchoyo wetu pembeni kwa faida za wote embu tujifunze kiueshimu tanzania na watu wake kwanza kwa faida ya amani zetu. na tuache kuendekeza huu upuuzi na kuwatetea hawa watu wanaojiona wao wanaitaji special treatment within society.

dini ni choice tu ambazo tumepewa hata tu amini vipi including me nina ya kwangu na ni choice yangu nikiamua kuibadilisha ni imani yangu mwisho wa siku. Tanzania si ya Mkiristo, Muislamu wala Aethist ni ya watanzania, na tunachagua viongozi wa kutuongoza si kupitiaa dini zetu bali kupitia uongo wao watafanya nini kutuinua watanzania. sasa how come waha wachoyo waanze kujiona kundi lao au kundi fulani lazima lipewe haki fulani katika sheria ni uchoyo wa kupita ambao au uuhitaji support ya mtu yeyote ambae ana elimu ya kweli na anae jiita msomi kwani shule inafunza kufikirisa mbele. makabila nao wakisemma tutambuliwe mila zetu katika sheria, na dini zingine nazo zikisema tutambuliwe katika sheria na wao si watanzania na waki hizo hizo embu nyie oneni kina choongelewa in the long run sio kina chosemwa leo after all degree si ndio kitu kinachofunza hicho au ndio vyou vya ajabu yaani nina shangaa sana mnaita hii site the home of the great thinkers when most are just short sighted yes i said it mnachefua na support zenu zingine.
 
Lunyungu,
Sijasema huruhusiwi kuzungumzia OIC au mahakama ya kadhi na kutoa mawazo yako.. Tatizo lako huzungumzii OIC au mahakama ya kadhi ila unazungumzia Waislaam..kwani waraka haukuandikwa na OIC au mahakama ya kadhi..
Na ili mawazo yako yapate kuhesabika au kuheshimiwa inabidi nawe kwanza weka heshima ktk mawazo ya waislaam na ujue nao pia wana uhuru kama ulokuwa nao wewe..kisha pinga hoja kwa hoja na sio kuwaona wao wajinga wasiokuwa na maana wakati wewe mwenyewe hujui unakokwenda..
Msilumbane kabla hata waraka hatujauona. Tuvute subira unakuja. Tusiandikie mate wakati wino upo. Tusubiri watatuletea tu. Hapo tutakuwa na nafasi ya kumkoma nyani . . . mchana kweupe peee!
 
Huku CHADEMA nao sijui wataibuka na hoja gani mpya? hii ya ufisadi haina mshiko tena.
Ufisadi CCM utaendelea kuwa tesa hata kama wataendelea kuziba watu midomo na majibu yao ya hovyo hovyo..
 
Babuyao,
Hapana mkuu wangu dharau huanza asubuhi.. Mimi nimeuona waraka wa Katoliki..naweza sema lugha yoyote niitakayo lakini sii ujanja hata kidogo..Nimeheshimu maelezo na mawazo yao isipokuwa nimepingana na utaratibu unaotumika kama vile navyopinga waraka huu wa waislaam kuingiia ktk siasa..
Kama umenisoma vizuri, my stand hata siku moja haubadiliki kwa sababu ya dini au kundi fulani isipokuwa natazama haki kwa picha kubwa zaidi ya Utaifa..Zipo hoja kibao za Pengo nimezipitisha ikiwa ni pamoja na somo la upigaji kura nikatoa maelekezo au mawazo yangu yasiyopingana na hoja nzima isipokuwa zoezi lenyewe..

Kila utakapo nisoma nazungumzia substance na sio kichwa cha habari. Hapa JF kuna hawa kina Lunyungu wao siku zote kichwa cha habari ndio habari yenyewe na hupinga hata kama hawajasoma maelezo zaidi. Wao ni mitume na Malaika wanaoujua kila kitu..ati National Unity wakati hawawezi kunipa seti zinazojenga national Unity..

Sasa tuseme ikiwa mtu huyu kisha jenga fikra negative against waislaam, hivi kweli kuna kitu kitaandikwa, yeye akaona kina maana?..Ni kweli wapo watu kati yetu wasiokubaliana ana OIC au mahakama ya kadhi lakini wanatoa hoja zao ambazo zinatusaidia hata sisi waislaam kufahamu makosa au mapungufu yake..
Hapa JF imekuwa Waislaam hivi, wakristu vile yaani ina boa kichizi.. Mtandao umeingiliwa na Walokole/Mujahedeen kiasi kwamba ukumbi wa siasa sasa hivi msemaji mkuu ni Pengo na Sheikh Simba.. Who are these guys ktk uwanja wa siasa..si walalahoi wengine tu kama sisi..
 
Last edited:
Dini zimesahau wajibu wao wa msingi?
Si maanishi wasijihusishe katiaka uongozi wa siasa ila wasiielemee siasa kupindukia.
 
Waraka wa waislam kwa mwelekeo tu na maneno ya akina Yahaya msoma nyota na wengineo hakika lazima utazungumzia waislam kuonewa na kutaka kuwachagua waislam hapo hakuna kitu na kama mnabisha mie nakaa kimya uletwe hapa watu watakimbia .Utakuwa aibu kwa nature tu ya jamaa zangu hawa pupa na papara .Mungu anawapigania watu na Mungu hapiganiwi na mwanadamu.Duh !! haya
hivi kwani huwa sikuzote wao wanaonekana wanaonewa tu, lkn wa Tanzania tuwe makini na hizi waraka kimbembe kitatokea kama waraka wa waislam utapingwa na serikali sijui itakuwa je........ Leo huko kenya nasikia wamevunja mkutano uliokuwa ukiwahusisha Waislam na Wakristo..
 
Crashwise,
Mkuu huo wa waislaam umeanza kuzua fitna hata kabla haujatoka.. na maneno mengi ya kutuvuruga lakini ule ulokwisha toka na umetuvuruga haswa hauzungumziwi...
wakuu zangu nitasema hivi wewe kama Mkatoliki unapoingia kanisani ukalishwa kipande cha mkate kama (mfano wa..)mwili wa bwana na ukanywesha mvinyo kama damu ya bwana.. unaweka imani kubwa, kuamini vitu hivyo mithiri ya imani iliyojengeka kichwni mwako kuhusiana na Mungu..Mimi Muislaam nitaona ni kapande cha mkate tu (kilichotengenezwa na binadamu) na mvinyo vile vile...na nitaona yote upuuzi mtupu kuamini mnayoamini, unless mimi pia nielewe undani wa dhana nzima ya ibada hiyo..Ni lazima niwe mkristu kuweza kuelewa uzito wa ibada kama hizo..
Kinachofanyika JF ni kuhukumu kitendo cha mtu kula mkate akifikiria ni mwili wa bwana kwa imani iliyojengeka nje ya imani iliyofundishwa.. Mnashindwa kuelewa kwamba hii ni imani ambayo wewe mwingine huna na huwezi kuelewa unless umemkubali Bwana (katoliki)..sijui kama nimeeleweka.
Nimemaliza..
 
thread nyingine ya dini
kweli mafisadi wana mungu......
huyu mungu wao mimi ningependa kumjua ambaye anawasikiliza kila siku wakiomba dua
 
thread nyingine ya dini
kweli mafisadi wana mungu......
huyu mungu wao mimi ningependa kumjua ambaye anawasikiliza kila siku wakiomba dua

Wee hujui fweza ni mwisho wa matatizo?,wewe kila mwezi unakunja makumi m kadhaa unadhani mchezo
 
Kwa nini inapokuja kwenye suala la dini tunkuwa so irrational, why don't we reserve our judgment until we see the waraka. Jamani lengo la dini ni kuwawezesha wanadamu kuishi amani na upendo.
 
Crashwise,
Mkuu huo wa waislaam umeanza kuzua fitna hata kabla haujatoka.. na maneno mengi ya kutuvuruga lakini ule ulokwisha toka na umetuvuruga haswa hauzungumziwi...
wakuu zangu nitasema hivi wewe kama Mkatoliki unapoingia kanisani ukalishwa kipande cha mkate kama (mfano wa..)mwili wa bwana na ukanywesha mvinyo kama damu ya bwana.. unaweka imani kubwa, kuamini vitu hivyo mithiri ya imani iliyojengeka kichwni mwako kuhusiana na Mungu..Mimi Muislaam nitaona ni kapande cha mkate tu (kilichotengenezwa na binadamu) na mvinyo vile vile...na nitaona yote upuuzi mtupu kuamini mnayoamini, unless mimi pia nielewe undani wa dhana nzima ya ibada hiyo..Ni lazima niwe mkristu kuweza kuelewa uzito wa ibada kama hizo..
Kinachofanyika JF ni kuhukumu kitendo cha mtu kula mkate akifikiria ni mwili wa bwana kwa imani iliyojengeka nje ya imani iliyofundishwa.. Mnashindwa kuelewa kwamba hii ni imani ambayo wewe mwingine huna na huwezi kuelewa unless umemkubali Bwana (katoliki)..sijui kama nimeeleweka.
Nimemaliza..

mmh! Mkuu Mkandara, ingawa waraka huo haujatoka lakini introduction iliyotolewa na Ponda inatia mashaka makubwa.

Je wewe upo behind this? (soma quated text from Mwananchi news paper)
Waraka huo pia utawaeleza Waislamu umuhimu wa wao kujitambua na kushiriki katika uchaguzi kama kundi maslahi.

“Utawaeleza Waislamu kuhusu ‘interests’ yaani maslahi yao yaliyodhulumiwa kwa kuwabagua,” alisema Sheikh Ponda.

Alisema, waraka huo utaeleza namna serikali ya Tanzania ilivyoipendelea na inavyoendelea kuipendelea dini moja na kusababisha uwepo wa matabaka katika jamii ya kitanzania.

“Upendeleo huo umezaa matabaka katika jamii, jambo ambalo linaendelea kuitafuna Tanzania, lakini cha ajabu Watanzania wenyewe na hasa serikali haijaona hatari hiyo,” alisema Sheikh Ponda.
 
Ukisikia maana ya reactive ndio hii. Wanasubiri kukop na kupest. Waislam wanasema kuwa dini yao ni utamaduni, so wanataka kuanzisha taifa la kiislam. Namsubiri sheikh makwaia alisemee na hili awaalike na maaskof
 
Bila shaka waraka huu mwingine hautajikita kwenye kujibu au kupinga hoja zilizotolewa na wakatoliki. Muda wa waraka huu unatia shaka lakini nina imani kuwa waraka utatoa fursa kwa watu kupambanua mawazo na mahitaji muhimu kwa taifa na kwa manufaa ya watanzania. Dini ina ushawishi mkubwa katika jamii na hivyo ni vigumu sana kuitenga katika kujadili mambo muhimu ya nchi. Ni kawaida kwa waumini kupitia nyaraka zitokanazo na taasisi za dini kuliko mambo ya kisiasa. Ila tahadhari na hoja zenye kuleta ubaguzi wa kidini, chuki na upendeleo.
 
Cuf mmeshatekwa na hoja zenu mmekubali kuziuuza ,kwa hiyo subirini kipigo kingine cha ballot.Mimi naomba msikatae kujaza fomu baada ya matokeo.

Huku CHADEMA nao sijui wataibuka na hoja gani mpya? hii ya ufisadi haina mshiko tena.hapa tunahitaji mwanasiasa mwenye uwezo nafikiri wote waliopo uwezo wao umefika kikomo

Ngoja tuone kunadalili za kutokuwepo uchaguzi mwakani kama Mungano utavunjika kutoka sasa mpaka kukaribia uchaguzi.
 
Back
Top Bottom