Waraka wa Wakatoliki kuhusu katiba aliotaka kuukana Pengo

Waraka wa Wakatoliki kuhusu katiba aliotaka kuukana Pengo

Unacho nukuu ktk mikutano ya walokole ni kuhubiri imani zao! Unataka kusema kuna imani ya walokole na imani ya wakatoliki? Ni kweli, mapadri wamesoma but ktk mambo ya imani ktk kristo Yesu wako chocho!

Unachekesha sana wewe..."Imani ktk Kristo"....Hivi unakumbuka yale nachafuko ya kuhusu nani achinje...???? Yule mchungaji aliyeongoza mapambano na Waislam alikuww ni wa wapi.....???? Pia alikuwa na imani kali kwa Yesu kristo......Mwisho wa siku aliuawa...Alipata faida gani....

Hivi unadhani pale Geita kulikuwa hakuna Wakatoliki ama Mapadre...??? Walikuwa hawana Imani katika kristo ehhh....????? Unajua walioshiriki kwa kiasi kikubwa katika fujo zile za kuchinja walikuwa Walokole......

Kumbe kuwa na mashindano ya kidini ni kuwa na faith katika Kristo ehhhh......

Nyinyi Walokole hamna tofauti na Waislam kwa upande wa elimu...You are just diffrence but yet the same.....
 
Back
Top Bottom