Tetesi: Waraka wa watumishi wa CCM walioondolewa kazini kinyume na Katiba ya Chama

Status
Not open for further replies.
Jambo la msingi kilichoandikwa ni kweli au sio kweli!!!! Kama ni kweli basi faida kubwa ni kuthibitisha kuwa sasa CCM wanaisoma namba kuliko hata wasio wanachama wa CCM. Jiulize kuna wanachama wangapi wa CCM leo hii wanapenda kuimba kale kawimbo "waache waisome namba"? Hata kauli mbiu ya hapa kazi tu hivi sasa tunaona aibu kuisema!!
 
Walikuwa wapi siku ile pale Dodoma aliposema "angewapoteza" CCM imejaa wajinga wengi mno na wachumia tumbo kiasi hawajui kusoma alama za nyakati. Tangu jamaa akiwa ujenzi kama mtu ni smart kidogo tu ungeng'amua jamaa sio.
Kumbe wanataka posho!
 
Walikuwa wapi siku ile pale Dodoma aliposema "angewapoteza" CCM imejaa wajinga wengi mno na wachumia tumbo kiasi hawajui kusoma alama za nyakati. Tangu jamaa akiwa ujenzi kama mtu ni smart kidogo tu ungeng'amua jamaa sio.
Chagadema imejaa wajanja
 
Kati ya sifa za mtu mhalifu ni kutopenda ORDER..ccm ya sasa inataka kuweka order, sote tunajua ccm ilipokuwa imefikia kabla ya 2015 ni kama kilikuwa chama cha wahalifu tu..na dalili zilikuwa wazi kabisa ccm kushinda uchaguzi wowote ni ndoto!!! hao makatibu wenye huu waraka ndio waliofikisha ccm hapo, sasa kama mlitegemea kuendelea na shagala bagala yenu ili muibe ndio basi tena..kwa yeyote anayeitakia nchi hii mema, ccm ya 2015 ilipaswa kuondoka ili nchi isalimike! ungesema stahiki zenu hamjapewa hilo sawa inabidi mlipwe haki zenu..ila kwa kweli sasa hii ccm angalau ina uwezo wa kushawishi kushinda uchaguzi kutokana na hali ya utendaji wa serikali uliyo na ndani ya ccm pia..
 
Yaani hapo uliposema "WATAUNDA CHAMA KIPYA NA KUUNDA UPINZANI MMOJA WENYE NGUVU KUBWA" This is my dream natamani itimie [emoji22][emoji22][emoji22]
 
Wautolee video ule wimbo wao wa kampeni wauze copy ili wasife njaa.

Hapa wizi tu
 
Wamesahau jambo moja nyeti sana. Uraia wa mkubwa huyo. Matendo na maneno yake yanaonyesha ni wa nchi ya jirani ambako vita ni sehemu ya maisha.
 
Yipo wap kinana (katibu mwenezi) kalala waziri kaamka mbunge dah haya maisha had raha
 
Nabado, endeleeni kulifuga hilo JOKA ndani na KULISHANGILIA
 
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! ccm imekufa kizembe sana ! Halafu cha kushangaza INAUAWA NA WATU AMBAO WAO WENYEWE AMA WAZAZI WAO HAWAKUSHIRIKI KUIJENGA !
Tatizo huijui CCM wewe! JPM anaisuka
 
Kazi mnayo aiseeee.

Ila tulieni tu dawa iwaingie, nanialiwaambia mnunue kadi za kijani??

Aisee mimi nina kadi yangu ya kijani, siionei gere maana najua kama ni sera sio tatizo, tatizo ni watu...hata kwa kawaida mbegu hupandwa na kuchanua na kuzalisha mbegu nyingine....mchakato huu wa kupandwa hujirudia mara kwa mara na huhusisha mbegu kufa ili izalishe nyingine mpya na bora zaidi...ache mbegu hii ifwe then itazaliwa nyingine yenye nguvu na imara zaidi.
 
Mnavuna mlichokipanda.chukueni makapu yenu mkavune na waache wafu wazike wafu wao
 
Mahahara wa dhambi ni mauti.mchawi akiwa chizi anaanza kutaja alioua
 
Kwa kumtumia Makonda ? Thubutu !
Unajua wewe huwa una mihemko. Nasema huu waraka ni ishara tosha kuwa JPM anaisafisha CCM. CCM baada ya zoezi zima itakuwa na uwezo wa kujitegemea na nadhani tangu hapo RUZUKU kutoka Serikalini itafutwa rasmi. Mambo ya kipuuzi ya makonda usiyaingize hapa. Ni bora mkajitahidi kuijenga CDM sasa la sivyo......
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…