Tetesi: Waraka wa watumishi wa CCM walioondolewa kazini kinyume na Katiba ya Chama

Tetesi: Waraka wa watumishi wa CCM walioondolewa kazini kinyume na Katiba ya Chama

Status
Not open for further replies.
Unajua wewe huwa una mihemko. Nasema huu waraka ni ishara tosha kuwa JPM anaisafisha CCM. CCM baada ya zoezi zima itakuwa na uwezo wa kujitegemea na nadhani tangu hapo RUZUKU kutoka Serikalini itafutwa rasmi. Mambo ya kipuuzi ya makonda usiyaingize hapa. Ni bora mkajitahidi kuijenga CDM sasa la sivyo......
Magufuli hajawahi kushiriki kuijenga ccm na wala hatokuja kuthubutu , ichukue hii kwa ajili ya kumbukumbu , huyo Makonda unayemdharau hapa ndio Think Tank ya Magufuli , muulize Nape .
 
Mkishatoka huko kwa mburura wenzenu ndo mnaanza kulalamika tukutane kwenye260418 kama kweli wamechukia.
 
CCM ina laana za wengi,ina laana za wazalendo walioijenga CCM yenyewe,ina laana za watanzania wanyonge wanaotaabika na maisha ya kila siku licha ya jasho lao halali wanalovuja kutafuta riziki zao za kila siku,ina laana za watanzania wa kila kada,kitendo cha wabunge wa CCm kusadiki na kupitisha kila kitu haijalishi kina madhara kwa watanznia au laa,hiki ni kitendo cha kulaaniwa na kila mzalendo wa nchi hii,hata hawa wanaokuja kulalamika leo wanalalamika kwa kuwa wamehujumiwa wao,ila CCM kuwahujumu watanzania haijaanza leo,haya ni malipo ya dhuluma chama inazozifanya kwa wazalendo wa nchi hii,Ukimuumiza sana mwingine mpaka ukaona kuwa unachokifanya ni halali basi hatua inayofuata ni kujidhulumu Mwenyewe,CCM ni ng'ombe Mweupe aliyeliwa siku alivyoliwa ng'ombe mweusi
KUNA SIKU SIMBA ALIWAENDEA NG'OMBE WATATU,MWEUPE,MWEUSI NA MWEKUNDU,SIMBA ALIVYOKWENDA KWA NG'OMBE MWEUPE ALIMWAMBIA KUWA ANA NJAA ANGETAKA AMLE NG'OMBE MMOJA,NG'OMBE MWEUPE AKASEMA KAMLE MWEUSI,NA KESHO KUTWA YAKE KAJA KAMWAMBIA KAMLE MWEKUNDU ASIJUE KUWA BAADA YA WALE WENGINE KULIWA ATAKAYEFUATIA NI YEYE,SIKU ALIVYOKUJA KUOMBWA RUHUSA YA YEYE KULIWA,NDIPO ALIPOKUJA KUSEMA ''NILILIWA SIKU ALIVYOLIWA NG'OMBE MWEUSI'' wana CCM walisahau kuwa baada ya wapinzani kuhujumiwa sasa kitafuata chama chao,ndio haya ya CCM ya akina Polepole
 
Sala ya kumuombea roho ngumu ya dharau na kiburi bwana yule!

Eee Lucifa mkuu!,MPE moyo mgumu,kibri , upofu na ukiziwi mkuu huyu dhalimu,asiweze kusikia vilio hivi ili tupate nguvu kubwa ya kumsulubu.
 
Lissu alisema wakitumaliza sisi wanakuja kwenu! Sasa mnalia nini kama uchaguzi mnasaidiwa na dola?
 
Porojo za vijiwe vya kahawa.... Mabadiliko ya katiba ya CCM tume ya utumishi ni sekretarieti ya CCM.

Mkutano mkuu umemalizika Disemba mwaka 2017 na kufuatiwa na kamati kuu iliyofanyika Chamwino ambayo ndiyo iliyoteua majina ya wagombea ubunge katika uchaguzi mdogo wa Singida Kaskazini, Songea, Siha name Kinondoni inayofuata inakaa mwezi huu mwishoni huyo mwandishi inaashiria hata CCM haijui.

Kwa watumishi walioondolewa kazini wote watalipwa stahiki zao kwani wengi wao ilikuwa ni kutokana na ufanisi wao kuwa mdogo ukilinganisha na nyakati za kisiasa tulizo nazo.

Suala la uhakiki wa mali, kamati ingeweza kupewa jina lolote ila kikubwa wakamilishe ripoti na kumkabidhi mkt kwa utekwlezaji au ufuatiliaji zaidi lakini haina maana kuna mtu au watu wanatafutwa.

CCM ni taasisi ya kisiasa iliyoundwa kuongoza nchi na kushika dola ili kuwahudumia watanzania daima dumu hilo litaendelea kutekelezwa bila wasiwasi
 
Du, kwanza pole ndugu kwa kuingiliwa na mtu asiyejua mising ya chama, pia nikopongeze, Hakika ujapewa macho ya kuona mbele tu,bali umebarikiwa na peo za kutazama mbali.
Wavivu wa fikra watakuona hufai,ni msalit,na pengne watakuita mpinzani..
kwa Maelezo yako yanaonyesha ni jins gan ulivyo kada wa chama,na unasikitika kuona kinaingiliwa na giza..
Hoja zako zimeshiba na wasipokengeuka chama kinakufa.
lakn kwa watu tuliobarikiwa vichwa vyenye akili na sio mifupa haya mambo tuko kinyume nayo tu hadi kieleweke kwan hizi comedy sio kwenye chama Bali na kwenye taifa
Usisubr chama kife kwanza ndo uje karb sasa hivi tujumuishe nguvu zetu kwa pamoja kusema NOOOOO!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom