Waraka wa wazi kwa mwanangu Koku

Huyo koku kama ana kichwa kizito vitakuwa vimeingia kulia, vikaenda kushoto. Lakini kama ana akili, mkuu umeandika mambo muhimu,tena ya sasa yanayotakiwa kuzingatiwa na mabinti wa sasa.
ahsate Mkuu!
 
umenionea wapi TF? yuko mitaa gani?
Hizi ni dalili kuwa Koku aliniulizia....
hajaamka mataputapu aliyokunywa jana bado yamemkamata kichwa
Huyu mama ndugu yangu wa karibu akaendelea kunimaliza kabisaaa
Jana aliopoa kimwana akaenda nae kwenye zile G'house za bei chee, nahisi ameng'ang'aniwa huko, ngoja nimpigie kuwa pamekucha aamke... Atalijenga taifa sa ngapi jamani?
Swahiba nikigeuza mgongo tu kumbe ni nyoka...tobaaaa...dawa yako inachemka
wala usikonde,ameonekana Namnani gest sinza na na mdada mmoja memba wa mmu,oooooops sorry i did'nt mean to tell you really!
:shock::shock::shock:
TF anafanya EIA saa hizi, kaona umebana feasibility study.
Subiri tu Kongosho utaona matokeo
 
Swahiba nikigeuza mgongo tu kumbe ni nyoka...tobaaaa...dawa yako inachemka
Hakunaga zaidi yangu mimi na wewe...

Swahiba amini nakwambia hayo maneno sijaandika kwa mkono wangu, wanataka kutuchonganisha haswa Bishanga, eti umekutwa Namnani g'house..
 
bishanga ulikumbuka kupitia kwa Mkinga "COSOTA" usije anza lalama wameiba waraka wa koku wangu l.o.l
 
Hakunaga zaidi yangu mimi na wewe...

Swahiba amini nakwambia hayo maneno sijaandika kwa mkono wangu, wanataka kutuchonganisha haswa Bishanga, eti umekutwa Namnani g'house..
Weee mwanamke kwa saundi sikuwezi...lol
 
Kuna wezi wa passwors siku hizi hapa jf.

Beware!

Hakunaga zaidi yangu mimi na wewe...

Swahiba amini nakwambia hayo maneno sijaandika kwa mkono wangu, wanataka kutuchonganisha haswa Bishanga, eti umekutwa Namnani g'house..
 
Hakunaga zaidi yangu mimi na wewe...

Swahiba amini nakwambia hayo maneno sijaandika kwa mkono wangu, wanataka kutuchonganisha haswa Bishanga, eti umekutwa Namnani g'house..
Sweetie kumbe unamgwaya TF? Kwa lipi hasa?
 
bishanga ulikumbuka kupitia kwa Mkinga "COSOTA" usije anza lalama wameiba waraka wa koku wangu l.o.l

hahahhaaa unanikumbusha ya The Boss na nyumba ndogo.Wakubwa jf nadhani watalitolea tamko.
 
kwanza hongera sana bishanga kwa wosia mzuri kwa mwanao..umegusa kila sehemu ya maisha ya kila siku.wewe brain imetulia inaelekea sio mchezo.nadhani pia koku nae anaelewa ndio maana umeweza kumapatia wosia kama huu.mungu akujalie ukae na mwanmke ili utengenezie picha nzuri kwa mwanao kuwa maisha ni ndoa isiyovunjiak til death apart you.usiishi single parent. nakutakia malezi mema
you ve brighten my future as well maana me nko form 5
 
Weee mwanamke kwa saundi sikuwezi...lol
Hebu msome Bishanga jamani, khaaa anatuchonganisha live bila chenga, kongosho keshathibitisha kuwa jf kuna wezi wa pasiwedi ati. Isijekuwa klorokwini aliiba p'word yangu.
 
ahsante mwanangu,i wish you a bright future.
 
Hebu msome Bishanga jamani, khaaa anatuchonganisha live bila chenga, kongosho keshathibitisha kuwa jf kuna wezi wa pasiwedi ati. Isijekuwa klorokwini aliiba p'word yangu.
SL umeniuzi,mwoooooga au TF kakuroga weye?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…