Waraka wa wazi kwa mwanangu Koku

Bishanga unavyokazana kunichonganisha na TF,akigoma kunipeleka vekesheni utanipeleka wewe?

chagua vekesheni mama nitakupeleka,nassau bahamas?isle of man? Virgin islands? Maldova? Bermuda? Seychelles?manyara? Ngorongoro?znz?
 
chagua vekesheni mama nitakupeleka,nassau bahamas?isle of man? Virgin islands? Maldova? Bermuda? Seychelles?manyara? Ngorongoro?znz?
Hahaha! Ntapenda unipeleke virgin islands...
 
Ni speech nzito ambayo wazazi tunatakiwa kuiga utamaduni huo, na naamini ni muongozo bora kwa maisha yake yote. Hakika anakila sababu ya kujivunia busara zako, sababu navuta picha wengine tulivyoweza weza pigana bila muongozo bora unaozingatia interest zako na other life skills, so sometime unakuja amka wakati tayari ushaumia. Mzazi ndo kwanza anakung'ang'aniza mimi nataka uwe mhandisi kama mimi, am so excited with it.


 
nimeona watu wengi ambao ukubwani wanajuuuuuuuuta kwa taaluma walizosomea kisa shinikizo la wazazi.Unakuta mtu anafanya kazi lakini his heart is not there,mradi anajisukuma tu.
 
kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…