Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Dah!!!! Vizuri sana hapa naona sasa jambia lako halitafanya kazi tena..:lol:mama Koku? that is another story,tutaongea siku nyingine,naishi na binti yangu,anamaliza form 4.
Khaaaa!!!!Bishanga...Koku yuko Facebook au Twiitter nimu-add awe rafiki yangu.....:eyebrows:
ahsante kwa kunipa moyo maana kuna watu washantisha tayari humu.Mkuu hapa mie ndio nishajifanya Koku tayari,
Nimekuelewa vizuri baba,
Nimeyaweka moyon na akilini mwangu,
Naomwomba mungu anisaidie na shetan asije akaingilia kati na kunikwamisha kuyaishi mausia yako,
Asante sana baba, mungu akujalie mri mrefu na ili unione nikikua na uweze kunikosoa nitakapoenda tofauti.
we mwache tu au nitamwendea makorora nimshushe mshipa!
:lol::lol:....Mwambie Bishanga better the devil you know than the angel you don't know.
Koku naomba nitumie username yako ya Facebook, nitumie PM hapa si unaona mshua wako macho kodoo..Khaaaa!!!!
Pamoja baba,nishaona hadi TF anatafuta user name awe rafiki yake,ahsante kwa kunipa moyo maana kuna watu washantisha tayari humu.
Si amemaliza shule jambia la nini sasa.....:eyebrows:kwa nini?
Mkuu hapa mie ndio nishajifanya Koku tayari,
Nimekuelewa vizuri baba,
Nimeyaweka moyon na akilini mwangu,
Naomwomba mungu anisaidie na shetan asije akaingilia kati na kunikwamisha kuyaishi mausia yako,
Asante sana baba, mungu akujalie mri mrefu na ili unione nikikua na uweze kunikosoa nitakapoenda tofauti.
huwa ninajitahidi Mkuu kuongea naye na wadogo zake,lakini ndugu yangu si unajua binadamu tunazaa mwili na si roho? yote ni kusali na kuomba tu.
Koku naomba nitumie username yako ya Facebook, nitumie PM hapa si unaona mshua wako macho kodoo..
Haaa haaa!Koku naomba nitumie username yako ya Facebook, nitumie PM hapa si unaona mshua wako macho kodoo..
Pamoja baba,nishaona hadi TF anatafuta user name awe rafiki yake,
Mwambie koku bado ananyonya hata nasare hajaanza lol!