Waraka wa wazi kwa mwanangu Koku

Waraka wa wazi kwa mwanangu Koku

Mkuu hapa mie ndio nishajifanya Koku tayari,
Nimekuelewa vizuri baba,
Nimeyaweka moyon na akilini mwangu,
Naomwomba mungu anisaidie na shetan asije akaingilia kati na kunikwamisha kuyaishi mausia yako,
Asante sana baba, mungu akujalie mri mrefu na ili unione nikikua na uweze kunikosoa nitakapoenda tofauti.
 
ahsante kwa kunipa moyo maana kuna watu washantisha tayari humu.
 
Mkuu hapa mie ndio nishajifanya Koku tayari,
Nimekuelewa vizuri baba,
Nimeyaweka moyon na akilini mwangu,
Naomwomba mungu anisaidie na shetan asije akaingilia kati na kunikwamisha kuyaishi mausia yako,
Asante sana baba, mungu akujalie mri mrefu na ili unione nikikua na uweze kunikosoa nitakapoenda tofauti.

Hapa ni kufunga na kusali ili kuyashinda yote nguvu ya giza.
Inabidi amsihi Koku akumbuke kusali na kusoma biblia.
 
huwa ninajitahidi Mkuu kuongea naye na wadogo zake,lakini ndugu yangu si unajua binadamu tunazaa mwili na si roho? yote ni kusali na kuomba tu.

Ni kweli, mama yangu aliniambia ni vyema kuwaombea watoto mara kwa mara, vilevile muongozo wako utamsaidia siku za usoni, na umjenge awe mwanamke imara mwenye kujiamini, itamsaidia sana.
 
Pamoja baba,nishaona hadi TF anatafuta user name awe rafiki yake,
Mwambie koku bado ananyonya hata nasare hajaanza lol!
huyo TF dawa yake iko jikoni,we mwache,kwanza hayo ma dobberman nyumbani kwangu atasogea?
 
Koku naomba nitumie username yako ya Facebook, nitumie PM hapa si unaona mshua wako macho kodoo..
Haaa haaa!
TF,naona huchelewi lol!
Hujui uchungu wa mwana aujuae mzazi?
Ishu ni kwamba account zote na password baba ndio mods wake ongea naye mkielewana atanambia nikupe username!!!
 
Pamoja baba,nishaona hadi TF anatafuta user name awe rafiki yake,
Mwambie koku bado ananyonya hata nasare hajaanza lol!

Haka kajamaa naona kafataki sana eti kanataka akumuadd FB Koku, Baba Koku ukimkutanisha Koku na hako kajamaa basi form 5 Koku anaweza asiende
 
Back
Top Bottom