Waraka wa wazi kwa The Finest.

sintopenda kuingia kwenye hayo maongezi zaidi..
kwa hiyo sinta jibu maswali yako ... asanteeeee.

Nashukuru kwa majibu yako.
Naona wahusika tayari wamesha pata jibu tayari tulitaka kuja kuchumbia kabisa.
 
wewe basi nakupatia sun wu au kongosho
ha ha ha haa gfsonwin I guess in such matters hauitaji mtu wa ku-defend au kushauri against..

As a friend ninachoshauri ni furaha ya mtu.., na popote anapopata furaha atakapopata furaha (nitampa baraka zangu 100%) after all her happiness is the most important issue.

Cha kumwambia ni "Follow your Heart" na popote atakapoelekea will champion her decision
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru kwa majibu yako.
Naona wahusika tayari wamesha pata jibu tayari tulitaka kuja kuchumbia kabisa.
Fidel80
nashukuru kusikia wahusika wamesha pata majibu yao..
 
Last edited by a moderator:
The Finest ........ Ingawa mlikuwa mnazungumza kwa mafumbo, lakini kutokana na jinsi mnavyoandika Thead zenu humu JF, nilianza kuunganisha DOTS na mwisho nikapata jibu kuwa nyie ni memba wa JF, lakini je ni akina nani........ was bit challenge.................Then today umenitegulia kitendawili changu...........Thank you....... NOW I KNOW YOU PEOPLE.......................lol
 
Last edited by a moderator:
:eek2::eek2::eek2:....Sio mimi utakuwa umenifananisha Mtambuzi....lol
 
Last edited by a moderator:
We will be back after a commercial break.
 
Bishanga Abashaija yaani nimecheka kweli baada ya kusoma huu waraka
 
Bishanga...
umekunywa nini tu leo?? Tongwa ama Busa?

Kwa kifupi nawapenda wengi akiwepo The Finest..

afrodenzi duh sikujua kuwa nyota yako yang'aa hivyo
Umepewa kisahani cha dhahabu wapaswa kukilinda
The Finest bora uje tuu na kwa penalti hii ya Bishanga ushindwe tena mwenyewe
Usije sema tuu huwa huna bahati
Kapu la fedha liko mlangoni mwako wapaswa uangalie je utalipeleka polisi au utaliingiza ndani mwako
 
Kumbeeeee, sawa tu . . .

Kumbe AD na AF ndo hivyo ilivyo? Au Bishanga anapaka tu?

Aisee we Superman naomba mshiko wangu. Wapiga debe Kongosho na klorokwini wamenishika pabaya. Shem wangu AshaDii naye kaniagiaza unipe mshiko wake nimpelekee tukajirushe kushangilia ubingwa wa Simba na Liverpool.
 
Last edited by a moderator:
Aisee we Superman naomba mshiko wangu. Wapiga debe Kongosho na klorokwini wamenishika pabaya. Shem wangu AshaDii naye kaniagiaza unipe mshiko wake nimpelekee tukajirushe kushangilia ubingwa wa Simba na Liverpool.

Duuuh Babu Aspirin MoY 2011 usahau? lol . . . . unakuwa kama NN Ngabu bana . . . kwani hujui hapa mjini haaaaa haaaa

Mkuu nilikuwa Mbali sana Ugagaikoko lakini sasa nimetia timu Kitaani so tutarekebisha.

Kama upo around town tuonane tu hata Monday au tuma mjumbe. Vinginevyo nakabidhi dhamana kwa Maxence . . .

Afu mbona AshaDii kasema atachukua mwenyewe? Mkuu angalia report ya CAG isije ikakuweka pabaya.
 

Hahah kweli mjini shule. Na kuhonga kote kule kwenye kampeni kumpe nimefosiwa kingi? Yoyote alokula hela yangu anirudishie fasta kabla sijamfungulia sredi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…