Waraka wa wazi na yakinifu kwa msanii izo bizness

funguka wambuzi vina gani anavyo mshkaji kama unataka kuthibitisha sikiliza ngoma yake aliyowashirikisha shaa na barnaba kiukweli nothing special!!!

Wewe utakuwa umeusikiliza huo wimbo,toa uchambuzi wako tuone,wengine hatuja bahatika kuhusikiliza...
 
Mimi nawaambiaga watu kwamba msanii izzo ni msanii nisiyemuelewaga kabisa watu wakahisi nina hate. Hivi unaweza kumuweka FidQ na izo? Ana lame flow halafu sometimes vina havimake sense. Sio siri, kama nyimbo ya Love Me mi naipenda kwaajili ya chorus tu.
 
Mimi simkubari kwasababu simkubari tu mengine namwachia....
Nilikuwa namkubari enzi zile za huu mziki...
Sina tatizo naye japo mimi si shabiki wake lakini kuna watu wanamkubari sana so inategemea na what taste of flavour do you want.
 

'wivu wa kike",unamkubali nani sasa mwenye vina?,neema wa mitego au bonge la pusi??
hovyoooooo, +msonyo wa kizaramo!!!!!!!!!!!!!
 

unajua maana ya neno Yakinifu?

na vile vile unajua maana ya neno waraka?
 

Yeye anaazima,na we si utoe video yako na mabuti uliyonunua mwenyewe tuone,
 

huyu jamaa sijawahi muelewa kabisaa...hata nyimbo zake ninazo kwa bahati mbaya tu!!
 
'wivu wa kike",unamkubali nani sasa mwenye vina?,neema wa mitego au bonge la pusi??
hovyoooooo, +msonyo wa kizaramo!!!!!!!!!!!!!

kwa hiyo ulitaka amsifie au? Mtu akikosolewa basi ni wivu wa kike!?
 
Wivu wa kike @ work!kwani lazima usikilize nyimbo zake?tafuta hao unaona wana vina ndo uwasikilize! ;->
''Even the black folk hate to see another nigga made it ...''
 
''unajua nini mwanangu?!siyo lazima kila mtu awe KRS 1 bongo,JAY Z atakuwa nani!...yaani babako kuna mashabiki flani nimeongeza baada ya chorus kumpa mtoto barnaba!"..................................hayo ni maneno ya IZZO BIZNESS akinichana kuhusu game lake!.....kwa taarifa yako muanzisha uzi,backstage wasanii wako wa zamani wanapata stress kwa mnyamwezi IZZO B!kimuonekano wa kinyamwezi,kipamba na mpaka michano sasa sijajua wewe ni wa team gani
 
[binafsi nQUOTE=YUSUPH ISSA;7218177]funguka wambuzi vina gani anavyo mshkaji kama unataka kuthibitisha sikiliza ngoma yake aliyowashirikisha shaa na barnaba kiukweli nothing special!!![/QUOTE]
binafsi nilikua artist kitambo kidogo so muziki nausoma... anyway nitasikiliza io ngoma alafu nicheki inakuaje... but mshkaji ana staili nzuri tu sikiliza wimbo ameimba na AY na Ben Pol miss business..................................
 
jamaa hujui muziki izzo hana vina au we huvjui vina nini? haya kasiklze ball player thn uje tena
 
izo mkali jamaa anaponda asichokijua. nje ya maada: vp hemed kapona!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…