habari wana jamvi ni matumaini yangu wote wazima na mnaendelea vizuri na mapumziko weekend hii,nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa tasnia ya muziki wa hip hop na bongo fleva kwa kipindi kirefu na mengi yametokea kama nyimbo nzuri,wasanii wakali na makundi makali ya muziki but wanajamvi kuna huyu msanii known as izo biznes but siku baada ya siku amekua ananichosha na uandishi wa mistari yake haina vina wala mizani zaidi ya kumuona na majinsi mapana ya kuazima na raba za kichina katika video zake kusema kweli wapenzi wa muziki tunataka mziki mzuri na sio mistari ya kuunga unga ya rapper huyu toka mbeya nawasilisha!!!!!!!!!!