Waraka wa wazi na yakinifu kwa msanii izo bizness

kuna mijitu ina hate... Utadhania ina mi*mb*a changa

hakuna hate wala nini maana hakuna maslahi yeyote ninayoingiliana na huyo dogo...tatizo wabongo hampendi kuusikia ukweli!!
 
i dont hate kaka natokea mbeya pia but nataka kuwa muwazi katika hili!!

kutokea mbeya kama yeye hakukuzuii ku hate!ungekua mkosoaji kweli wa muziki........''jeans pana na raba za kuazima'' zisingehusika!!una attack persona ya mtu bila hata kuwa muwazi kwa sababu yako ya msingi!mistari ya kuunga unga ya Izzo ni ipi?na labda ulitaka ifanane na ya nani ili iwe hip hop ya kweli!?........Talib Kweli anafanana na Lil Wizzy!??but still unaruka ngoma za Wizzy club!??
mwanaume hapendezi kuwa mnafiki na mzandiki!
 
 

Punguza dharau , ungemkosoa na kumwelimisha iyo ishu ya jinsi sijui raba inatoka wapi , sijui mbeya ,,, daaaa ndo nyie mloingia hili jukwaa kwa bahati mbaya.
 

Kwa pamba acha tuu...izzo kila kitu!go izzo..
 
IZZO B sio mwanamuzk bali n mfanyabiashara aliyeforce kuhit kwa kutumia advantage yake ya kujuana na mchomvu..

wanamuziki wa HIPHOP bongo ni akina JAY MO,FID Q,ROHO 7,PROF.JAY,JOH MAKINI,e.t.c

lakini hawa wakina IZZO B,CHID BENZ,SUMA MNAZALETI,e.t.c n watu walozaliwa na bahati ya kutoka tu..
 

Mkuu ni kama umeufunga huu mjadala. Yaan bhaaas, case closed and well said.
 

Dah bro hapo juu kwene hiphop baada ya alama y mkato na kabla ya etc, weka BONTA broh, hafu ndio etc
 

Done deal
 
Huyu jamaa ni home boy sio.. ila mziki aliofanya enzi zile na huu anaofanya sasa ni tofauti, ngoma kama tenzi za mapenzi na miss business alikaza na flow ilikua fresh ila sasa kwa ngoma kama baby Barnaba ndo kambeba ngoma kama ballplayer the late Ngwair ndio kambeba izzo. Shortly jamaa kama mistari yake imekua light mno ila sina tatizo nae.
 

Chuki mbayaaaa saaana...
Unaifahamu comesho style?
 

Ni Mahaba yako pia,hakuna wa kukuzuia..........Ila Izzo ni emcee mkali hapa Bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…