Uchaguzi 2020 Waraka wangu kwa CHADEMA kuhusu kampeni

Mbona Lowassa 2015 alijaza uwanja wa Mbagala?? Acha kujiliwaza mkuu! Mleta Mada ametoa hoja ya uhakika mnatakiwa kuifanyia kazi lakini kwa kuwa nyinyi ni pinga pinga tu basi endeleeni kupinga mpaka 28/10/2020.
 
Mkuu unahangaika na "Utopolo" hauwezi kukuelewa!
 
Point kubwa hapo siyo picha Bali upangaji wa ratiba za kampeni usioangalia uwepo wa matukio Mengine makubwa yanayovuta attention za watu.

..ushauri wako ulikuwa ni nini?

..mikutano ya kisiasa ilizuiliwa kwa miaka minne kwa vyama vya upinzani.

..hivyo wapinzani hawatakiwa kupumzika hata siku moja kipindi hiki cha kampeni za kuelekea ktk uchaguzi.

..kwanza, ni muda mchache uliopo kabla ya siku ya uchaguzi, pili hawana uhalali wa kupumzika kwani walikuwa wamepumzika miaka 4?

..CDM wameeleza kuwa watarudi tena Dsm kwa raundi ya pili ya mikutano ya kampeni.
 
Kwa nini wabunge wenu walikuwa hawafanyi mikutano? Mwenyekiti wenu Faru John wapigakura wake walilalamika kuwa tangu achaguliwe alikuwa hafanyi mkutano hata mmoja ameona mwaka huu wa uchaguzi ndiyo anakimbia kwenda kufanya mikutano! hadi ofisi alinyang'anywa kwa kuwa alikuwa haitumii kabisa muda wote yuko Dar tuu!!
 
Dah...mwisho kabisa...kama ushauri wote wanaopewa hawazingatii...na wakiona mambo hayaendi...watafute sababu yoyote hata kama ya kipuuzi.... wajitoe au wavuruge uchaguzi [emoji2960]
Tatizo linakuja huwa wanatoa sababu za hovyo ambazo hata hushindwa kuzitekeleza. Walisema kabla ya mikutano yao watakuwa wanaanza kwa maandamano kwanza naona nalo limeyeyuka hivyo baada ya kukosa sapoti kutoka kwa wananchi.
 

..Saidi Kubenea alikuwa akinyimwa ruhusa ya kufanya mikutano ktk jimbo lake kila alipoomba kufanya hivyo.

..huo ni mfano mmoja tu wa kilichokuwa kinaendelea ktk zuio hili la mikutano. ilifika wakati hata mikutano ya ndani, na vikao vya kikatiba vya vyama vya upinzani vilikuwa vinavurugwa na vyombo vya usalama.
 
Mbona Mbowe ndiye kawafukuza TBC
 
Umenena vema Ila jiandae kwa matusi
 
Kuna SAU, CHAUMA, CUF, ACT... nao wanagombea. Nao wanahitaji mapenzi yenu hayo. Siyo CHADEMA tu.

Pili, 2015 mlisema Lowassa alikuwa anakusanya wahuni ambao hawakujiandikisha. Ama umesahau? Kwa nini tusiseme wale wa Dodoma jana ni wahuni ambao hawakujiandikisha pia?

Mmejaza nchi dhuluma. Mnafanya kazi na tume kuandaa barua za mapingamizi na kusaini majina ya wagombea wa vyama vingine, ambao wamezikana hizo barua, kule Zanzibar! Siyo uchaguzi huu. Ni uhuni. Uchaguzi ni kuwa na wagombea wa vyama mbalimbali, kueleza sera zao, na mwisho wananchi wanachagua ni nani wanayemtaka. Kama unatetea huu ufedhuli wewe ni fara tu.
Mbona Lowassa 2015 alijaza uwanja wa Mbagala?? Acha kujiliwaza mkuu! Mleta Mada ametoa hoja ya uhakika mnatakiwa kuifanyia kazi lakini kwa kuwa nyinyi ni pinga pinga tu basi endeleeni kupinga mpaka 28/10/2020.
 
Mzee Hawa BAVICHA Huwezi kuweleza Jambo LA Maana Wakakusikiliza umeongea point Sana nilitegemea wakubaliane kabisa na wewe kuwa kunashida sehemu kila sasa Eti wao Wanaona Mambo Yanakwenda saws kabisa hahaha BAVICHA WANAWEZA BISHA KUWA CHADEMA HAINA PESA YA KAMPENI
 
Well said..
Mwenye masikio asikie, siyo kupanga ratiba tuu ili mradi
 
Nyalandu amewasusa kwani? Si walisema anapesa nyingi za kutosha kwa Kampeni??
 
Umejitahidi kuwapa mbinu, washindwe wenyewe Sasa.
 

Utafiti lazima watakuwa wamefanya. Na tafoti ina angle tofauti, kwa angle yako uko sahihi na kwa angle yako wako sahihi pia.
 
Ccm ni sawa na mwanamke miguu imepinda lakini amepaka cream ya kufa mtu ili eti ndio awavutie wanaume. 😛😛😛
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…